Zawadi Mwanangu alizompelekea Mama yake (My -X) zimezua utata

inaoneka wewe bado hujaoa sasa kwa ajili ya mwanao na huyo dogo aliye zaliwa mludie tu zilipendwa wako, kwa nn apate shida na wewe upo
 
Shark Pole sana kwa matatizo. Naona ulisahau kuwa Watanzania wengi hawajafikia kukubaliana na ile concept ya "you can remain friends with your X (baby mama)...even when she is married" It's obvious una kipato zaidi ya huyo baba, ambae kwake yeye kachukulia kama vile ni dharau, kutia timu nyumbani kwake tena na zawadi ambayo labda yeye mwenyewe asingeweza ku-afford. My take is, let your X handle her husband. In the long run, huruma zako zitamuongezea matatizo badala ya kumpunguzia..Ni jukumu lake yeye kumhakikishia mumewe kuwa there is nothing going on between the two of you...Ni ngumu haswa kwavile inaonekana unamuonea huruma but believe you me, your intervention on this will only complicate matters!
 
Back
Top Bottom