Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,316
- 677
wazaz hawaachan endelea kumlea huyo mama na mwanae acha hlo dume shamba.
Mkiambiwa muache uzinifu hamtaki. Hayo ndio baadhi ya matatizo ya uzinifu. Kila mmoja atabeba msalaba wake.
Shark
Insecurity ya huyo bwana haitaisha! Ongea na mzazi mwenzio, umchukue mtoto wako ukae naye. Kama kumsaidia mama mtoto wako mfungulue biashara kwa siri; then kata mguu.
Mtoto wangu yupi sasa?
Mkuu hujaelewa hii issue labda, mtoto wangu ninakaa nae mwenyewe, huyo aliezaliwa si wangu, ninahusiana nae tu kama mdogo wake mwanangu kwa mama mmoja.
Aah! I got u, ila honestly what do u feel about mzazi mwenzio? Maana kama ni issue ya zawadi tu, mbona kumpa mama yake ilikuwa rahisi tu!
Wazee walioshirikishwa hapa ni wa upande wa pili, but tatizo la wazee hawa ni kua tayari wana " Marking Scheme" zao kichwani, eti wananiambia nikubali kua mtoto ni wangu ili yaishe
tOA HIYO HELA NA AKIGAIN PATA KITU KUTOKA KWAKE
Heshima kwenu Wadau,
Nina mtoto ambae nlimpata Kitambo tu nkiwa Form 5 Mwaka 2000 but sikubahatika kuendelea na Mama yake kwani sikua tayari kuanza Maisha ya kujitegemea wakati huo.
Sasa yule Dada akaolewa na Jama m wengine na wakapata watoto wengine wawili akiwamo aliezaliwa last month.
Kwakua Mwanangu ana mawasiliano Na Mama yake habari zikamfikia na kuniomba nimnunulie zawadi za Baby Starter Kitampelekee Mdogo wake aliezaliwa (kwa mama yake).
Tatizo limekuja sasa Mume wa huyo X wangu amemsusa huyo mtoto mpya akidai ni wangu, eti na ndio maana nimempelekea Zawadi.
Namuonea Huruma mkewe anaingia matatizoni wakati ukweli sija-do nae toka mwaka 2000 aliponizalia mtoto. Sasa hasaidiwi kwa chochote Na mumewe kiasi ananiomba kama nina hela kidogo nimsaidie.
Nimetumiwa Wazee waje waniulize/wanishawishi niseme ukweli but kila nachowaambia hawakubali.
Vipimo vya DNA ndio kabisaa hawaviamini eti baada ya hivi laribuni kutoa matokeo kua zaidi ya nusu waliopimwa walikutwa wamesingiziwa.
Nifanyaje wadau????
Sishauri kijana kuoa mwanamke ambaye ameshazaa na mwanaume mwingine na mwanaume huyo bado yuko hai. nafikiri ni vizuri kwa mtu mwenye miaka kuanzia 50 ndio inaingia akilini kuoa mwanamke wa category hiyo, ukiwa bado kijana tafuta mwanamke ambaye yuko fresh.
Siwezi kukubali kulea mtoto asie wangu, hata kidogo, na DNA niko tayari kupima wakikubali.Dah! Hawa wazee nao noma, badala ya kutatua tatizo wao wanaongeza tatizo, ukubali mtoto wako wakati si wako, je ukifanya hivyo halafu huyo mwanaume akaamua kumuacha huyo x wako itakuwaje.
Halafu nikuulize shark, wewe umeshaoa?
Take note: mahawala huwa hawaachani bali wanatengana tu kwa some circumstance.Mkuu kwa mwanamke je? unashauri vp?