Zawadi gani tutampatia JK?

Zawadi kwa JK!

Bembea. Inabidi nimpe bembea ili aweze kubembea for Life.

Ukizingatia hatakuwa na nafasi ya kusafiri kwenda Jamaica, that will be a perfect one.
 
Tumpe tu kamusic system and some CDs of bongo flava ataenjoy sana najua mzee wetu anapenda sana hivi vitu, kiwezeka na kabinti kamoja alikocopiti kwenye umiss Tz 2009.
 
Aha!! Aha!!! mimi napenda stail ya kwake ya Uongozi wake kwani hakuna Rais kama huyu alivyoongoza vyema ila tu ameshindwa kuwafunga mafisadi ambao ni rafiki zake. Kwani nyuma ya Pazia na yeye anahusika sasa akiwahukumu na yeye atawekwa ubaoni. Hongera Rais wetu kwa kutuongoza vyema staili yako ambayo inahitaji muda wanainji wajifunze ili waweze kuboresha maisha yao kwani katika sera zako walifikiri utawaletea ugali mlango ndo maana wanakuandika vibaya mshindwa kwa jina la Yesu kristo.
 
Zawadi?

Lini zawadi ikaongelewa kwenye forum?

Zawadi ni siri ya wanaomzawadia?

Zawadi kubwa ni kumchagua 2010! I guess
 
Back
Top Bottom