Zanzibar yaomba msaada nishati ya umeme wa bahari

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Habari zilizopo mjini hapa unguja zanzibar imepata msaada wa nishati ya umeme utokanao na bahari,nishati hiyo ambayo itaisaisadia kiasi kikubwa kwa ukuwaji wa uchumi wa nchi ya zanzibar.

Ripoti zilizopatika kana hapa mjini,inasemekana kuwa umeme huo unao uwezo wa kutumika ndani ya visiwa hivi viwili vya zanzibar unguja na pemba.

Sample ya disgn ya umeme huo au project itakavyokuwa bonyeza hapo chini.

YouTube - Giant Sea Snake Renewable Electricity Generation

YouTube - HARNESSING THE POWER OF WAVES & TIDES

Nafikiri wa wale ambao wenye upeo mdogo watanganyika walifikiri kuwa zanzibar watakosa umeme pindi tutakapo vunja muungano hio sio big deal,,,tutawachia umeme wenu wa mgao hata wenyewe hauwatoshiii
 
All the best!
Nendeni na umeme wenu wa baharini (for now it is just a pipe dream).
Ila sisi hatuna roho mbaya kama zenu. Mkipata shida msisite kutuomba msaada. Karibu tena yakhe!
 
Hata sie tumeahidiwa mambo kibwena, na fidia zilishalipwa, lakini mpaka wa kesho zii. Flyovers, Mji Mpya Kigamboni, Kibamba, Daraja la Feri n.k. Usiwe mvivu wa kufikiri Ami, serikali yenu ilivyokuwa vivu kiutendaji, na sasa hakuna tena Jibwa la kubweka(CUF si sehemu ya Serikali). Kipindi kile mlipokaa gizani miezi kadhaa serikali ya SMZ ilichukua hatua gani kuleta hata umeme wa dharura. Ona aibu kuungana na serikali dhalimu inayowatumia vibaya. Wenzako wanataka Zanzibar huru ili wawe Marais, mawaziri, mabalozi, n.k. Wewe unaitaka just kwa ushabiki, wakati hata ukitoka Ulaya utafikia JKNIA, na sio Mkunazini.
 
Huo muda wa kufuatilia msaada
mnao? Mtacheza bao,kuimba taarab na kunywa gahawa sangapi?msaada unawafaa nyinyi ni wa kupewa tende tu mnazoletewa na mabasha wenu mnaowalalilia toka oman.mchukue nchi yenu tanganyika hatuwahitaji mapunga
 
Huo muda wa kufuatilia msaada mnao? Mtacheza bao,kuimba taarab na kunywa gahawa sangapi?msaada unawafaa nyinyi ni wa kupewa tende tu mnazoletewa na mabasha wenu mnaowalalilia toka oman.mchukue nchi yenu tanganyika hatuwahitaji mapunga
Unaonekana wewe ni bingwa wa Kitchen Party
 
@ babukijana ukija zanzibar lazima nikuvue suruali halafu nikuinamishe uchume mboga
 
Back
Top Bottom