Zanzibar wanahitaji nini hasa?

hawataki muungano nukta! serikali ikiendelea kufumbia macho kwa kuenzi fikra za nyerere... yatatokea makubwa zaidi ya yaliotokea wiki iliyopita ....

muungano unajadilika sijui tatizo nini..?

Kabisa lina uhusiano gani na Muungano?
 
Kabisa lina uhusiano gani na Muungano?

nadhani ulimaanisha kanisa..?! yeh halina uhusiano...! mtoa mada ameuliza zanzbar wanahitaji nini? hakuuliza kanisa lina uhusiano gani na muungano.. nadhani ipo thread inayozungumzia kanisa na zanzbar .. tukutane kule...
una swali jingine...?
 
hawataki muungano nukta! serikali ikiendelea kufumbia macho kwa kuenzi fikra za nyerere... yatatokea makubwa zaidi ya yaliotokea wiki iliyopita ....

muungano unajadilika sijui tatizo nini..?

Mkubwa! Kama hawataki Muungano ni haki yao ya Msingi! Hivyo basi waTg hawatakiwi na waZenj! swali langu kwako; Kwa nini isichomwe Miskiti ambamo namo Waislamu wakiwemo wTg wanaswali? Sababu hata Wakristo waZenj wanasali ndani ya Makanisa yanayochomwa!
 
nadhani ulimaanisha kanisa..?! yeh halina uhusiano...! mtoa mada ameuliza zanzbar wanahitaji nini? hakuuliza kanisa lina uhusiano gani na muungano.. nadhani ipo thread inayozungumzia kanisa na zanzbar .. tukutane kule...
una swali jingine...?

Kweli nilimaanisha Kanisa, na hapa tatizo si Muungano, otherwise tungeona angalau taasisi/ofisi za Muungano kuchomwa moto! Pia tungeona misikiti ya watu wa Bara kuchomwa moto! Sasa Kanisa lina uhusiano gani na huu Muungano? Mbona inaonekana kuwa Misikiti haina uhusiano na Muungano ila ni Makanisa tu?
 
sijui kwanini lakini jana kuna uzi nilisoma hapa JF kuna kiongozi wa kanisa alitoa tamko kulaani ule uchomaji .. huku akitetea muungano bado uwepo! sasa sijui kwanini kanisa linang`anga`nia muungano..

Back
Top Bottom