Zanzibar wabadilisha katiba ya kutowatambua wapinzani

Unaelewa maan ya Udikteta lakini au mnayatumia tu haya maneno? Habari inasema Baraza la Wawakilishi limepitisha (Bunge), ina maana ni maamuzi ya walio wengi sasa iweje tena uwe udikteta?
Hata kwenye udikteta kuna wapiga muhuri
 
Zanzibar haitambuliki UN,kuna muwakilishi wa Zanzibar nchi yoyote??,uliwahi sikia balozi wa Zanzibar Italy,Us,UK nk???,kwahiyo matatizo ya Znz yanatakiwa kumalizwa na Jamhuri ya Muungano wa TZ,ndo maana safari za Maalim zinaishia uvunguni tu,anazunguka kula ruzuku za chama tu.Acheni kujidanganya Mara ICC Mara UN.Na CUF ipo mbioni kumshinda,time will tell.Achana na mtu aliyeshikilia mpini.
 
UN is just a coffee bar nobody neither listens nor does respect what those time and money wasters say.. Our JPM don't even attend to these pourlours!!!!
Hata korea kaskazini wanaongeaga kinyumbu kama wewe. Wao kazi kusifia kiongozi wao dikteta kama vile solely ndo atawaletea maendeleo. Huwaga mnafundishwa kuwa wajinga?
 
Katika makosa makubwa kisiasa Maalim alioyafanya ni kujiondoa na kuondoa wabunge na madiwani katika uchaguzi uliorudiwa. Ni kweli kwa macho ulikua umegubikwa na figisu figisu ila bado ungepitisha wabunge na madiwani wengi na kuzuia mambo kama haya yanayofanyika sasa. Kibaya zaidi mgogoro wa CUF ni wakupoteza maboya. Wahenga walisema heri nusu shari kuliko shari kamili. Maalimu umepoteza pakubwa sana
Ili kuhalalisha wizi?
 
unajua wanasahau as if wao ndo wako juu ya viumbe vyote siku watakapokuwa wapinzani wao wataanza kuilalamikia katiba walio ipitisha wao wenyewe.wasubiri kibanano cha UN kinakuja soon kita wanyorosha,

Hiyo siku ni lini mkuu mana kwa staili yao ya kususa sioni siku unayotaka kusema yaja
 
Huu sio utekelezaji wa ushauri wa Rais JPM? Hali itakuwa mbaya zaidi na sidhani kama 2020 kutakuwa na Uchaguzi Mkuu wa Vyama vingi.

Vv
bora tu uchaguzi uwe wa chama kimoja. vyama vingi haisaidii kwa zanzibar ila kuleta uhasama. wapemba wameamua kua na chama cha kikabila/kibaguzi.
 
Hiyo siku ni lini mkuu mana kwa staili yao ya kususa sioni siku unayotaka kusema yaja
Tatizo mnashabikia upumbavu kama vile mnafundishwaga kuwa wajinga. Wakimaliza kukandamiza upinzani mnaanza kutafunana nyie kwa nyie. Hii dunia haitoshi kwa utawala wa kiimla. Mnashangilia sasa ila ni suala la muda kabla zamu yenu haijafika. Hata kama mnalipwa au kwa sasa mna maslahi flani.

Na zamu yako itapofika, itakua chungu zaidi maana hutakua na wa kukukutetea ulishiriki waangamie.

Kama haupo kwenye mfumo unaonufaika kimkakati na hali ngumu zilizopo, paaza sauti kukemea. Ni ushauri tu.

Usisahau. Hakuna utawala wa kiimla (soma KIDKTETA) ambao umeishia salama.

Huyo alipokuambia ipo siku, kama nawe hujafundishwa kuwa mjinga, kumbuka historia.
 
Kwa hiyo mkuu hoja yako ya msingi ni nini hasa naona unazunguka zunguka tuu!?
 
Zanzibar sijui kuna kirusi gani maamuzi wanayoyachukua kuanzia juzi yanatia shaka.....

Kuna tatizo kubwa sana linaendelea...........

Kama ni udicteta huu ndio uchwara wenyewe sasa.......
Hakuna kirusi wala tatizo kule... na wala usiwe na shaka na hayo marekebisho yanaipa Zanzibar hadhi yake tuu.
 
...nakumbuka walisema mabadiliko yoyote ya katiba lazima yafanyiwe kura ya maoni, au nimepoteza network...
Mkuu kupitisha katiba mpya ndio inahitaji kura ya maoni ya wana wanchi na sio marekebisho ya katiba iliopo.
 
Back
Top Bottom