Zanzibar wabadilisha katiba ya kutowatambua wapinzani

Inaonekana leo hujaingiza pesa halo Lumumba unakazana kukoment ujinga ukachukue posho zako.Angalia wenzio wamekaa miezi 7 bila mshahara kwa ujinga kama wako huu

Suala la elimu yangu kuwa sawa na ya Mbowe mbona hujalijibu?
 
Wafute kabisa vyama vya upinzani! Hata zanzibar wanaburuzwa na bara hahaha
 
Mabadiliko ya katiba yaliyofanywa na baraza la wawakilishi ambayo yanamluhusu rais wa znz kuteua makamishina wa tume ya uchaguzi pamoja na watumishi wengine pasipo kuwashilikisha wapinzani kumeondoa kabisa mafanikio yaliyokuwa wameyapata wapinzani. Kuwepo kwa wapinzani ndani ya baraza la wawakilishi kulisaidia zaidi maamuzi yenye faida kwa wananchi ni dhahiri sasa CCM watafanya wa takavyo, pasipo kizuizi chochote.

Kama ni kosa kubwa ambalo maalim kawahi kulifanya katika utumishi wake ndani chama chake basi pasipo shaka ni hili la kukizuia chama chake kushiliki katika uchaguzi wa marudio ulio itishwa na mh jecha kwa kile alichodai kuvurugwa kwa uchaguzi wa mwezi Oct.

Sote tunajua kilichofanyika ktk uchaguzi ule, lakini huwezi kumsusia shamba la Mahindi nyani, nilazima utavuna mabua, na ndicho kinachofanyika hivi sasa andani ya znz. Makosa haya yamefanywa na ofisi ya katibu mkuu wa CUF
 
Nkuruzinza katika ubora wake.

MABADILIKO Z'BAR: Baraza la Wawakilishi leo lapitisha marekebisho ya katiba yanayomzuia Rais wa Z'bar kushauriana na upinzani wala kuteua wapinzani kuingia ZEC.
 
Alaaa wewe vipi..ina maana hawa ccm sio watu wenye kufikiri ?
Hivi ccm hawezi kufanya maamuzi yenye manuafaa kwa taifa mpaka wasukumwe ?
Mimi nadhani hili ni mafanikiomakubwa kwa cuf . Wameonesha wazi nani mwizi wa kura na nani. Hana haja na chaguzi.
Inasaidia kuwamsha zaidi. Wazanzibari kujua nani mtetezi wa nchi yao na nani ni mafisi wakuila nchi yao.
Maalim ameshinda kwa hili
 
Zanzibar sijui kuna kirusi gani maamuzi wanayoyachukua kuanzia juzi yanatia shaka.....

Kuna tatizo kubwa sana linaendelea...........

Kama ni udicteta huu ndio uchwara wenyewe sasa.......


Unaelewa maan ya Udikteta lakini au mnayatumia tu haya maneno? Habari inasema Baraza la Wawakilishi limepitisha (Bunge), ina maana ni maamuzi ya walio wengi sasa iweje tena uwe udikteta?
 
Tatizo lake ni umimi na nitanufaika vipi, ndio maana kashindwa kumpa mwenzake mkono kwa uroho tu na chuki.
 
Back
Top Bottom