Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
kama ilivyo huku bara TANGANYIKA SI ENEO SALAMA KWA WAISLAM,KILA SIKU MASHUSHUSHU WANATUSUMBUA MISIKITINI,WENGINE WAKRISTO WANAJIFANYA KUJA KUSWALI ILI KUTUSKIZA TUNAZUNGUMZA NIN?

Wanawapiga masheikh wetu risasi? Je hao mashushushu lazima wawe ni wakristo?fikiri tena!tunawapiga vita,tunamwua mmoja wanaamka mia moja,Adui yetu ni ccm,ndiye huyu anayetuonyesha kwa kidole kuwa adui yetu yupo upande tofauti,kumbe mkono wake wa pili una agenda hatari kwetu!!waislamu tushtuke,tuchukue hatua.
 
Katika hali ya kawaida kulingana na hali iliyopo zanzibar na tanzania kwa ujumla walio wengi wanaweza kuhusianisha tukio hili na UISLAM, ila sio sahihi kusema hivyo bila uchunguzi wa kina' usichokijua hupaswi kukitolea ushuhuda kwa kukisia..
 
kwa mujibu wa biblia hatupaswi kulipiza kisasi na wala kuhukumu,tuwaombee waliofanya hili tukio wakumbuke toba kwani hawajui watendalo, Rest in peace baba paroko mbele yako nyuma yetu-AMINA
 
Mnajua nini nyie makafiri,amtutishi na lolote.sisi tunacho amini kinanguvu saanaa! Nyie semeni yote lakini laiti ndo nyie makafiri tungekua jengo moja waallai vile ningejilipua mnipe tiketi safi yakwenda kumuona Molla wangu
 
Kumbe waislamu ndio wanajua kupiga risasi makubwa ya huyo kikwete aliwafikisha pabaya si ndio mlisema ni chaguo la mungu na juzi aliwazika viongozi wenu wa dini mchungaji na padri mbona kuna kiongozi mkubwa wakiislamu hawakwenda kumzika huko zanzibar kuweni wastaarabu na mfiche upumbavu wenu sio kila kitu waislamu chunguzeni kwanza nani kafanya hilo tukio mbona kuna sheikh alimwagiwa tindi kali huko zanzibar waislamu hawakusema ni wakiristo

Boko hapa wewe ndio unaonesha upumbavu. Wakristo hata siku moja hawana sababu ya kummwagia shehe tindikali. Ingekuwa hivyo hawa mashehe wote wanaohubiri chuki dhidi ya Kanisa wangeshakwisha. Huyo alikuwa ni shehe wa BAKWATA na tunajua mashehe wote wanaohubiri chuki dhidi ya Ukristo ndio wanaohubiri pia chuki dhidi ya BAKWATA.
 
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke, siku zake za kuishi ni chache!


Pumzika kwa Amani ya Bwana!
 
Ee Mungu utunusuru na hili janga linalotaka kuharibu amani ya nchi yetu! Tunatakiwa kufunga na kufanya maombi kwa Bwana wetu Yesu Kristo, anayeishi na kutawala daima na milele, Amina. R.I.P Father Evarist Mushi!
 
mzee mwanakijiji yuko wapi?mchango wake unahitajika hapa jamvini sana kipindi kama hiki.
R.I.P. Paroko E.Mushi.This country is not safe anymore,our leaders are dragging us to hell.
 
Unategemea Nchi inayoongozwa na MRISHO, chini ya makamu wake BILAL, IGP SAIDI, Mkurugenzi wa usalama wa Taifa RASHID na kanda maalum SELEMANI ,na jaji mkuu OTHMAN na rais wa Zanzbar MOHAMED na makamu wake HAMAD wamchukulie hatua sheikh...!??? ingekuwa hivyo Ilunga asingekuwa mtaani leo. For what happens today credits goes directly to JK and his gang. big up my moslem presidemt and co. we see your achievements

kama ni hivyo ponda angeshaachiwa
 
Hivi unaweza kumlazimisha mtu afuate imani yako?na nikiifuata wewe unafaidika nini?
 
I sent a message to the leader of the ruling regime to warn on the security situation in Zanzibar.He said..."Nothing like what you are saying is happening.You are just making it up out of your head". Then it has happened...R.I.P Padre Mushi.
 
Mungu ampe pumziko la amani,na wahusika watafutwe na kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria

Kwa Polisi wetu hawa, sahau! Zaidi zaidi watakuletea kichaa waseme kwamba amekwenda kwa Mama Lwakatare kuungama kumuua Padri Mushi. Hapo ndipo alipotufikisha Dhaifu na Udini wake.
 
Udini utatumaliza wakuu,tunakoelekea siyo pazuri!hizi siasa za udini majukwaani zinazofanywa na ccm itatupeleka kubaya!RIP Padri Mushi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom