Zanzibar Marumbi Unga Dukani Live? Hoteli ya Msomali Adnan

Democracy999

JF-Expert Member
May 26, 2012
945
189
Wakuu nimekuwa katika safari za kikazi Zanzibar katika pwani za Marumbi na Chwaka.
Nimegundua kuna hoteli ya Msomali yenye kima monkey mkubwa mlangoni (wa kuunda) hoteli hii tumeingia na kukuta ikiwa full shwari na wafanyakazi wapo kama kawaida.
Tulichogundua hajawi kuingia mteja hata mmoja wa kulala au kula, bali wa kuja kama kutembea na kuondoka ghafla.
Kumbe hoteli hii inayomilikiwa na Msomali tuliambiwa jina moja (ADNAN) si mzalendo ila ndio hao hao Uamsho kwa hiyo wanafichwa.
Biashara ya hapo ni kuuza Madawa ya Kulevya tu.
Wakuu wenye data zaidi mtujuze au nirudi kesho kwa details zaidi.
 
Una ushahidi kama ni Muamsho na una ushahidi kua wanauza Unga au ndio ujioneshe kama na wewe upo..Haya tushakuona
 
aiseeeee babaangu mi nadhani piga 112 atapokea kamanda kova aka mzee wa intelejensia umpe haya maelezo
 
Kama umeshindwa kukamilisha uchunguzi subiri intelijensia ya Jf ije na findings
 
Wakuu nimekuwa katika safari za kikazi Zanzibar katika pwani za Marumbi na Chwaka.
Nimegundua kuna hoteli ya Msomali yenye kima monkey mkubwa mlangoni (wa kuunda) hoteli hii tumeingia na kukuta ikiwa full shwari na wafanyakazi wapo kama kawaida.
Tulichogundua hajawi kuingia mteja hata mmoja wa kulala au kula, bali wa kuja kama kutembea na kuondoka ghafla.
Kumbe hoteli hii inayomilikiwa na Msomali tuliambiwa jina moja (ADNAN) si mzalendo ila ndio hao hao Uamsho kwa hiyo wanafichwa.
Biashara ya hapo ni kuuza Madawa ya Kulevya tu.
Wakuu wenye data zaidi mtujuze au nirudi kesho kwa details zaidi.

Udaku mwingine huo!!! weye ni mwanadada au bibiye?
 
Kwani analazimisha mtu kununua.Huwezi kupata msaada polisi zaidi ya kutafuta uhasama na watu.Ref taarifa zote za nyuma
 
Una ushahidi kama ni Muamsho na una ushahidi kua wanauza Unga au ndio ujioneshe kama na wewe upo..Haya tushakuona

Kama hutaki kushiriki kutoa maoni si una acha tu sheik wangu? toa ushauri, mhusika atapima ajipange upya au vinginevyo.umechagua kutokuwa muungwana hata kwa mtu usiye mjua!!! kazi kwelikweli.
 
Kwani analazimisha mtu kununua.Huwezi kupata msaada polisi zaidi ya kutafuta uhasama na watu.Ref taarifa zote za nyuma
Kwa hiyo nisitoe taarifa sio? mimi nipo kikazi zaidi, mimi ni kati wale wasomtizama mtu sura.
 
fanya uchunguzi, ukikamilika ndo uje hapa jamvini umwage taarifa kamili with evidence na uipeleke polisi na taasisi nyingine zinazo husika.
Sio unakuja na habari nusunusu huku ukituhumu watu bila uthibitisho.
 
Unajua jambo lolote unalolisema uwe na ushahidi sio unaongea lile ambalo unaona ni right...Kwa mfano mimi nkisema kua Benki kuu ndio wanaotengeza pesa bandia, Je si utataka ushahidi au niseme kua Baharesa ndie anaeleta madawa ya kulevya...sijui umenielewa
 
fanya uchunguzi, ukikamilika ndo uje hapa jamvini umwage taarifa kamili with evidence na uipeleke polisi na taasisi nyingine zinazo husika.
Sio unakuja na habari nusunusu huku ukituhumu watu bila uthibitisho.

acha uonevu,mbn wengine wakimtaja tu mtu flan,cv yote inatiririshwa na wajumbe hapa
 
Back
Top Bottom