sasa hapa vituko viko wapi ?hata kabla ya nyinyi kuvamia zanzibar tumekuwa na destururi ya kuuza nyama katika hali hiyo ,mtajipa tabu bure choyo kimekuzidini .jiangalieni nyinyi wenywe kwanza ,hivi hujiulizi wewe kwanini wazanzibari huwasikii kufunguwa midomo yao kwa mambo yanayofanyika Tanganyika ?hata mkienda uchi sisi ahaa hatuingili mamb o yasiyotuhusu.
<br />sasa hapa vituko viko wapi ?hata kabla ya nyinyi kuvamia zanzibar tumekuwa na destururi ya kuuza nyama katika hali hiyo ,mtajipa tabu bure choyo kimekuzidini .jiangalieni nyinyi wenywe kwanza ,hivi hujiulizi wewe kwanini wazanzibari huwasikii kufunguwa midomo yao kwa mambo yanayofanyika Tanganyika ?hata mkienda uchi sisi ahaa hatuingili mamb o yasiyotuhusu.
ha haaaa haaa............kweli mkuu,hii aihuuuHapa sitaki changia kitu. Nitaambiwa napinga muungano.
Binafsi zanzibar ni kwetu na hapo umeonesha tu picha ya mtaa ambapo sioni kituko chochote! Kama ni hayo majengo hata kariakoo na sehemu zingine huku bara yapo! Au sijaelewa point yako hasa ni NINI!!
hata na style ya kula ua imeanzia huko na mombasa
<br />Style ya kula ua, Dar es salaam na Arusha sasa hivi ndiyo zinaongoza. Hili ni fundisho tosha kwamba tuache kuiga mila potofu.