Zanzibar from a sovereign nation to a region of Grand Tanganyika(Tanzania)- a step back-ward.
Baada ya kutembelea hizi sites, kwa hakika sasa ninaelewa kwa nini ndugu zetu wazanzibari wanapiga kelele ya kuwa hatuwatendei haki.
Kama sisi Tanganyika tungeungana na Kenya halafu wakatuambia "ninyi muwe mkoa wa Kenya!" Tungefanya nini?
Jamani tunawaumiza ndugu zetu wa zenj, mimi naona wana madai ya msingi.
Pitia hizi pages uone, jinsi tulivyowarudisha nyuma hawa jamaa. Tunawatawala. Na hivi tunataka kuifuta serikali yao. Tuwaonee huruma, tuwatendee haki.
Tembelea hii page, halafu sikiliza siku wanajoin UN in 1963 halafu leo tunawaambia kuwa wao sio nchi bali ni kasehemu kadogo tu kama jimbo la Kawe
Hapa unapata sauti
http://www.mzalendo.net/sauti/sheikh-mohammed-shamte-akihutubia-un
na hapa unapata transcript
http://www.zanzinet.org/journal/shamte_speech.html
Tuisome historia ya nchi yetu,jamani, hawa watawala wetu wanaturushia mchanga wa macho tu. Halafu tunaishia kwenye ushabiki. Tuipitie historia ya Tanzania, halafu turekebishe palipo na makosa.
Mimi ninachotaka tukitilie maanani ni kuwatendea haki na usawa Wazenj na sisi tuifufue Tanganyika ndani ya Muungano.
Mkataa asili yake .Mimi nataka niwe Mtanzania, Mtanganyika kama wao wanavyojiita Mtanzania, Mzanzibari
Nawasilisha.