Zanzibar kusoma bajeti yao leo..

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Serikal ya Umoja wa Zanzibar leo itasoma bajeti yake kwa mara ya kwanza. Bajeti hiyo inakadiliwa kufikia Bil. 638..
 
Kwanini wanasoma maneno mengi hawana uwezo wa kuchapisha docs au kuweka online wananchi wao wasome? Unajua Tanzania imejaa watu serikalini kama vile ni shule ya vidudu. Sometime its just hard to call yourself Tanzanian, too much to associate yourself with these guys. The point here, hawataki wananchi wasome na kufuatilia huu ujinga wanasoma na ni sawa na kuwanyima wananchi elimu nzuri wakijua wazi kwamba wananchi wakipata shule nzuri wata-challenge incompetency yao....wenyewe watoto wao wapo UK na US kusoma ila wananchi wapate elimu mbovu ya serikali yao. Good job ccm ...
 
Back
Top Bottom