Zanzibar Kupongeza wachomaji, Wasaidiwe washinde kesi, Mashujaa wa Muhanga!

Kwa hiyo huyo mzee anataka kusema kuwa waTanganyika ndio wafanya ngono tu na wachafuzi wa mazingira, na waZanzibari wao je kazi yao ni kuabudu tu
 
I have stayed at Next Paradise Hotel for 12 days in January this year. The hotel is at Pwani Mchangani. I had ample time to mingle with locals. The locals (not Baras) are very low in profule...very very very very poor....less educated. Madirisha ya nyumba zao yamezibwa robo tatu, nikastaajabu maana nilitegemea wawe na madirisha makubwa tena wazi maana ni joto sana lakini nikaambiwa wakazi wa pwani mchangani kwa chabo hawajambo...la haula si ni hawa wanaojifanya waswalhina??? chabo yatoka wapi tena??? nikauliza hao wazee wa chabo ni wabar au wazenji..la haula nikaambiwa ni vijana wao wenyewe!! Tatizo hii dini ni wanafiki sana!! Maasi yakifanywa na watoto wao-sio ishu ila wabara ndio nongwa!! najua hapo pwani mchangani kuna machangudoa lakini wao wadada wanasema wazenji ndio wateja wao wakubwa na kwa vile washamba wanatoa dau kubwa sana tena kuna m'dada fulani aitwa Sharifa akaniambia wazenji wanakula sana Tigo hivyo wanatoa dau nono na la kumfichia siri maana wengi wao swala tano!! sasa waache unafiki, hao machangudoa wakikosa soko watahama!!
 
kama imewakera basi milango ipo wazi.

Tuviachie vyombo vya dola na uslama vimalize kazi yake na tunaamini sheria itachukua mkondo wake
 
Zanzibar wameanza maandalizi ya kutoa mchango na watafutwe wanasheria wakubwa wawatetee Wazanzibari waliowachomea maduka na nyumba zao na mabanda ya kulala Watanganyika, kwani hili lilijulikana kuwa litafanywa na watu wa kawaida, na maafsa wa wilaya waliwataarifu hao wabara kuwa wasiwapige hao wazanzibari wakija kuwachomea, labda walijua kuwa mayakhe kupigana hawajui.
wao ni sawa na watoto, wametimiza wanayoyasikia kwa wakubwa wao, na ndio maana viongozi wote wa Zanzibar mpaka walioko serikali ya Bara wanachekelea shavu, ikumbukwe ni serikali ya Nahodha na Karume iliyochochea chuki nyingi dhidi ya Tanganyika, japo wanaenda mwendo wa kubonyeza kwanza.
Kikwete hawezi kusema kitu kwa Wazanzibari, na inasemekana katika mzalendo.net kuwa JK yupo upande wa Zanzibar kivyovyote,ndio waliomtuma tangu mwanzo, hebu kumbukeni, Kikwete ameanzia siasa Zanzibar, ni wa bagamoyo na mwislamu, na kama kawaida muislam wa Bagamoyo hawezi jisia ndugu wa Mmasai wa Monduli kuliko mwislamu mwenzake na jirani na mvuvi mwenzake wa Zanzibar.
Rais mwinyi alifanya kila jitihada amwachie madaraka huyu kanali, baada ya kumpachika katika wizara nyeti ya nje hata kama alikuwa hana uzoefu wowote, Zanzibar anakwenda kila mwezi kama sio kila wiki, na husikii akitoa maelekezo kama kweli yeye ndie bosi, tuchukulie mfano wa CUF lipumba ndio bosi wa CUF lakini akifika Zanzibar kumwona Maalim Seif anakaa foleni kama wengine, na ofisini anakaa pembeni, hilo linajulikana Maalim ndie bosi wa Lipumba hata kama yeye ndie mwenyekiti, ndivyo hivyo Jk, mi naona Tanganyika imeuzwa, hapa nikiandika Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi ya Zanzibar yupo wingereza, kwa jina lingine wanamwita Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, lakini tukumbuke hata wa Fedha aliitwa hivyo kwanza, vilevile waziri wa Ulinzi wa Zanzibar aliitwa hivyo kwanza, sasa ni Waziri wa Vikosi vya SMZ. sasa moto unaendelea kuwateketeza Watanganyika, na wengine wenye vijiduka mjini wameshatumiwa onyo waondoke wenyewe, na sidhani kama itafika wiki nao hawajachomewa, TANGANYIKA IMEPINDULIWA tena mapinduzi baridi, Mkuu wetu Kikwete anacheka tu, au na sisi wananchi wa Tanganyika tuanze vita baridi? huyo Mpemba anayewaharibu kisha kuuwa wake za watu ameamua mwenyewe au nae ametumwa? tafuteni kwenye blogs zao mtapata jibu, au hata sisi wananchi hatuwezi kuwashikisha adabu? tuwaruhusu watufanyie mifano yao ya ushoga? ya kubonyeza kwanza, hala kama kimya unazama? natumia mfano huu kwa sababu wenyewe wazenji wanakiri kuwa wao wote mpaka waliowa bado wanafanya na wanaume wenzao, hata wakubwa kwani ni utamaduni wa tangu alipofika mwarabu..

Hapo kwenye Bold/underlined sikubaliani na agenda mufu japo huwa sikubaliani na ****** ila inaonekana umetumwa kuja hapa na hoja mufu na yawezekana ww ni CCM maana ndio wanaoleta agenda za udini na ukabila huku wakizifanaya za Wapinzani na ndio maana kila anae challenge na kusimamia haki,uzalendo na maslahi ya Taifa hata kama hana Chama anaitwa Mpizani na sasa hivi wameingiza na JF ni kwa sababu ya wapuuzi kama ww!!!!!!!!!!!!!!1

CRAP!!!
 
Zanzibar wameanza maandalizi ya kutoa mchango na watafutwe wanasheria wakubwa wawatetee Wazanzibari waliowachomea maduka na nyumba zao na mabanda ya kulala Watanganyika, kwani hili lilijulikana kuwa litafanywa na watu wa kawaida, na maafsa wa wilaya waliwataarifu hao wabara kuwa wasiwapige hao wazanzibari wakija kuwachomea, labda walijua kuwa mayakhe kupigana hawajui.
wao ni sawa na watoto, wametimiza wanayoyasikia kwa wakubwa wao, na ndio maana viongozi wote wa Zanzibar mpaka walioko serikali ya Bara wanachekelea shavu, ikumbukwe ni serikali ya Nahodha na Karume iliyochochea chuki nyingi dhidi ya Tanganyika, japo wanaenda mwendo wa kubonyeza kwanza.
Kikwete hawezi kusema kitu kwa Wazanzibari, na inasemekana katika mzalendo.net kuwa JK yupo upande wa Zanzibar kivyovyote,ndio waliomtuma tangu mwanzo, hebu kumbukeni, Kikwete ameanzia siasa Zanzibar, ni wa bagamoyo na mwislamu, na kama kawaida muislam wa Bagamoyo hawezi jisia ndugu wa Mmasai wa Monduli kuliko mwislamu mwenzake na jirani na mvuvi mwenzake wa Zanzibar.
Rais mwinyi alifanya kila jitihada amwachie madaraka huyu kanali, baada ya kumpachika katika wizara nyeti ya nje hata kama alikuwa hana uzoefu wowote, Zanzibar anakwenda kila mwezi kama sio kila wiki, na husikii akitoa maelekezo kama kweli yeye ndie bosi, tuchukulie mfano wa CUF lipumba ndio bosi wa CUF lakini akifika Zanzibar kumwona Maalim Seif anakaa foleni kama wengine, na ofisini anakaa pembeni, hilo linajulikana Maalim ndie bosi wa Lipumba hata kama yeye ndie mwenyekiti, ndivyo hivyo Jk, mi naona Tanganyika imeuzwa, hapa nikiandika Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi ya Zanzibar yupo wingereza, kwa jina lingine wanamwita Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, lakini tukumbuke hata wa Fedha aliitwa hivyo kwanza, vilevile waziri wa Ulinzi wa Zanzibar aliitwa hivyo kwanza, sasa ni Waziri wa Vikosi vya SMZ. sasa moto unaendelea kuwateketeza Watanganyika, na wengine wenye vijiduka mjini wameshatumiwa onyo waondoke wenyewe, na sidhani kama itafika wiki nao hawajachomewa, TANGANYIKA IMEPINDULIWA tena mapinduzi baridi, Mkuu wetu Kikwete anacheka tu, au na sisi wananchi wa Tanganyika tuanze vita baridi? huyo Mpemba anayewaharibu kisha kuuwa wake za watu ameamua mwenyewe au nae ametumwa? tafuteni kwenye blogs zao mtapata jibu, au hata sisi wananchi hatuwezi kuwashikisha adabu? tuwaruhusu watufanyie mifano yao ya ushoga? ya kubonyeza kwanza, hala kama kimya unazama? natumia mfano huu kwa sababu wenyewe wazenji wanakiri kuwa wao wote mpaka waliowa bado wanafanya na wanaume wenzao, hata wakubwa kwani ni utamaduni wa tangu alipofika mwarabu..

Hapo kwenye Bold/underlined sikubaliani na agenda mufu japo huwa sikubaliani na ****** ila inaonekana umetumwa kuja hapa na hoja mufu na yawezekana ww ni CCM maana ndio wanaoleta agenda za udini na ukabila huku wakizifanaya za Wapinzani na ndio maana kila anae challenge na kusimamia haki,uzalendo na maslahi ya Taifa hata kama hana Chama anaitwa Mpizani na sasa hivi wameingiza na JF ni kwa sababu ya wapuuzi kama ww!!!!!!!!!!!!!!

CRAP!!!
 
Tuacheni ushabiki na ukereketwa usio kuwa na maana. Hao waliochoma moto maduka ni watu waliojichukulia sheria mkononi na sheria inatakiwa ichukue mkondo wake.

Mwanzilishi wa hii thread anajichanganya, mara wapemba, mara Mwinyi na waislamu na mara Kikwete na waislamu. Hii inaonyesha tu kuwa ana chuki na wazanzibari na waislamu kwa ujumla. Kitu ambacho mimi naona ni immaturity ndio inayomsumbua.
mwanzilishi wa thread hii.
Kwa nini unawatukana kuwa eti wana practice ushoga, huu ni upuuzi tena upuuzi kwani huna uthibitisho na hakuna ukweli. Mbona viongozi wa dini ya Kikristo hasa wakatoliki kote duniani wanakabiliwa na kashfa ya kuwaingilia watoto wa kiume kinyume na maubile? na wamelipa fidia lakini bado wanaendelea na utumishi kanisani?

Mbona kanisa anglikana ulaya na baadhi ya majimbo ya marekani sasa limeamua rasmi kuwa na maaskofu mashoga na sasa ndoa za mashoga zinafungwa rasmi kanisani?
 
mhh hiyo meseji imepelekwa kikatili kwa nini wasichome moto viongozi wao eti ndugu yangu? Mi nafikiri tuache ushabiki imagine hawa wabara waanze kuchoma mali za wapemba kuanzia kkoo hadi mikoani kote ..

Itabidi mutege bomu la kiripua dar ili kurahisisha kazi mana wamejaa kila pahala.
 
Itabidi mutege bomu la kiripua dar ili kurahisisha kazi mana wamejaa kila pahala.

watanganyika nnin wa staarabu na wameelimika hawawezi wakaawa na chuki za aina hiyo! kama mlizo nazo ninyi... umekumbusha yule mzanzibar aliyekwenda kulipuwa ubalozi wa marekani..! in short ni gaidi alafu mwadai wa tangayika ni majambazi ..
 
Wastaarabu? Wameelimika? I doubt it.

Na wale mnaowachuna ngozi?

Na Maalbino mnapowakata viungo kwa ushirikina?

I doubt it!!!!
 
Ndugu zangu wa Tanganyika naona emotions zinakuchukuweni sana. Wengine hata hamjuwi mnazungumza nini, mamo tu kwenye mdundiko. Fanyeni utafiti wa haya mambo. Quran ilichomwa moto huko Zanzibar na Mtanganyika na hatukuona hamasa au emotions kama hizi na wala hatukuvisikia vyombo vya habari vikishabikia kama linavyoshabikia suala hili. Kama ni Wapemba au Wazanzibar kuwepo Tanganyika, wao wanaheshimu mila na silka za Watanganyika. Baadhi ya malalamiko ya wananchi wa huko Kaskazini Unguja, mmeyasikia . Inaoneshea ndugu zetu kutoka Tanganyika walijisahau sana. Wengi tunametawanyika nchi mbalimbali lakini tunaheshimu mila na desturi za watu. Naamini sana, mabanda ya wafanyabiashara hayakuchomwa moto kwa sababu za Utanganyika na Uzanzibari, lakini ni kuwa wanakijiji walikuwa yamewafika shingo mambo ya Watanganyika hao. Bahati mbaya, wanakijiji walishindwa kujuwa wapi waelekee ili kupata ufumbuzi wa suala hilo. Na si mnazijuwa Serikali zetu mambo yake?
 
hebu acheni uchochezi mnataka muungano uvunjike ili iweje mijitu mingine mikubwa lakini akili hakuna kichwani pumbaaaaaaaaaav
 
hebu acheni uchochezi mnataka muungano uvunjike ili iweje mijitu mingine mikubwa lakini akili hakuna kichwani pumbaaaaaaaaaav

Na uendelee kuwepo kwa faida gani na kwa nani?

Jadili hoja Don, usitukane watu Mkuu.
 
for a good sake .... kila mtu afunge biashara zake na arudi katika upande wake wa muungano ...... naomba nijuzwe nani atakaye athirika....?

LAT ?
Huna mpya? Wazanzibar wameukana Muungano tokea kufa kwa Tanganyika, wewe ilipashwa kuwa upande wao kutetea Tanganyika yenu irudi? wewe huoni ufahari kujita Mtanganyika?.

Tanganyika ina historia yake ya uhuru na watu wake 9 December 1961 kwa nini munaikataa nchi yenu na kuparatikia Tanzania?.

LAT wakujuta ni nyiyi Watanganyika munao ikana nchi yenu na kukumbatia Tanzania isio na kichwa wala miguu, ukiulizwa uhuru wa Tanzania na historia ya Tanzania hujuwi uanze wapi?.

Lakini ukiwauliza Wazanzibar watakwambia uhuru wao na historia yao bila ya kuparatia U-Tanzania.

Kwa Wazanzibar U-Zanzibar ni fahari kwao.
 
Back
Top Bottom