Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 752
Wadau,
Mpaka sasa CUF wameshachukua majimbo mawili ya Unguja ambayo ni Mji Mkongwa na Mwanakwerekwe. Kumbuka Unguja ndiyo kambi ya CCM.
CCM hawategemei kuchukua jimbo lolote lile kule Pemba. Hivyo Maalim Seif anaweza kuunda Serikali ya Mseto safari hii....!!!
SOURCE: Radio One kupitia NEC.
Tupeane taarifa zaidi.