Zanzibar kumekucha



:eek:

...'tuk-tuk-tuk!' the kid is just 15yrs old, have some mercy man!

Mwezi huu anamaliza miaka 16. Itabaki miwili tu nipepeleke ng'ombe wangu. Kusema ukweli kinanikumbusha yule mchezaji wa film aitwaye Gloria Reuben. Au macho yangu yamedanganya? Muone mwenyewe kwenye wikipedia.
 
attachment.php


Zenji kumekucha siku hizi hakuna ushungi ni vitop na jeans za kubana.Wazenji bado wanasema kuwa wabara ndio wanaoiaribu kwa kutokuwa na maadili wakati mwingine wanasema kuwa hata wale kaka poa sio wazenji ni wabara.

Hodi hodi visiwani!

,,,,,,,,,Aaah mbona hao cha mtoto kabisa,embu siku moja ukija unguja,nenda Disco wanaloita POOL-Bwawani Hotel,esp. siku ya jumamosi,ni kama disco la watoto hivi,manake linaanza saa 2 usiku mpaka 7,huko ni balaa,watoto wa kizenji wanatoka utafikiria wamedondoka USA leoleo,Bangi,sigara na Hashi ni kitu cha kawaida kabisa,tena ni kwa visichana na vivulana,vi lesbians navyo unaweza kuviona kwenye vi konakona huku,yaani huwezi amini.
 
,,,,,,,,,Aaah mbona hao cha mtoto kabisa,embu siku moja ukija unguja,nenda Disco wanaloita POOL-Bwawani Hotel,esp. siku ya jumamosi,ni kama disco la watoto hivi,manake linaanza saa 2 usiku mpaka 7,huko ni balaa,watoto wa kizenji wanatoka utafikiria wamedondoka USA leoleo,Bangi,sigara na Hashi ni kitu cha kawaida kabisa,tena ni kwa visichana na vivulana,vi lesbians navyo unaweza kuviona kwenye vi konakona huku,yaani huwezi amini.
nitafanya uchunguzi mkuu, very soon!
 
Wazanzibari waliaribika siku nyingi tu si leo wala haliwahusu wazanzibara.
Mimi nilitembelea huko miaka ya nyuma lakini nilichokiona si kile nilichotegemea.
madada wengi sana wamevaa ushungi lakini nyumba za kulala wamejaa wao wakizinikama kazi:(
Unga ulikuwa ukiliwa kama wanakula ngao tu.
Watuzingizie wazanzibara bwana!
unaweza kutoa ushahidi wako hapa, angalau kwa kuzitaja japo kwa uchache baadhi ya hizo nyumba za kulala wageni, ili nipate pa kuanzia na hii reserch yangu mkuu?
 
MaxShinba naona umetoka nje ya mstali kaka, Uchangiaji wako ni ule wa kuchochea chuki kwani umejaa maneno ya uchokozi na kejeli dhidi ya dini ya kiislamu. Nigeshauri uwi-thdraw mchango wako. Hata hivyo Up nje ya Topic, kwani hoja hapa ni wadada wa zenji na Vitop, sasa hili la waislam na Mtume Mohamad linatoka wapi hapa? na Mbaya zaidi unavyomsema huyo mtume na wafuasi wake. Pls, tukitaka mapinduzi ya kweli kwenye jamii zatu ya kiasiasa na kijamii, turekebishane tukiwa wamoja.
Sawa kabisa mkuu Maxsimba, lakini kumbuka kuwa Waislam tunajua JFni ya wakristo kwa kuwa reply au post nyingi mbaya kwa Waislam hufumbiwa macho.Nawapongeza Mods wote kwa kuwa kazi ya kusoma kilapost ni ngumu sana lakini mi naomba umakini uongezwe kwenye post zenye mlengo wa kidini.Ningumu kuvumilia dini lakini siasa nirahisi kuvumilia. Hivyo kuweni makini na udini.
 
Huu mi msiba mkubwa sana.

Yaani waBara wanafurahia sana kuharibika kwa maadili kwa vijana wa kizanzibar na kushabikia kwa nguvu zote.
lakini nimekuwa huko wiki iliyopita sikuona zaidi kulinganisha na Bara.

WaZnz lazima mulielewe hilo na wajue kuwa Dua la kuku halimpati .......

Poleni sana
 
Huu mi msiba mkubwa sana.Yaani waBara wanafurahia sana kuharibika kwa maadili kwa vijana wa kizanzibar na kushabikia kwa nguvu zote.lakini nimekuwa huko wiki iliyopita sikuona zaidi kulinganisha na Bara.WaZnz lazima mulielewe hilo na wajue kuwa Dua la kuku halimpati .......Poleni sana
Huu, uelewe kuwa ni kizazi cha utandawazi hakuna cha wabara wala kidudu mtu, uislamu na ukristo wende kwa kanuni hiyo ukilaza damu haya! yetu macho na misimamo yao mikali
 
If you don't what to change, changes will change you. Do not judge things by the way things look, they can wear that way and still behave good or wear the other way (buibui or whatever they call) and be devils.
Islam is not only religion, its a culture. we Islams we should now go with time..........
 
Back
Top Bottom