Zanzibar Katiba tunayo yetu, hatutaki Katiba Mpya

Umma kubadilika kama upepo..nimeipenda sana hiyo..pia napenda watu wa zenj...nami nasema nikiwa mtanganyika....tumechoka na muungano wa chuna buzi..hatuutakiiiiiii....na mkone kutegemea tanganyika sb sio nchi yenu.
 

Wewe ndo huutaki wenzio tunaitaka na ni moja kati ya tunu zile 5 za taifa, wewe jifurahishe tu lkn mwisho wa siku jua kwamba Muungano wetu kamwe hautovunjwa na watu wachache wasioupenda. muuungano oyeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Tanganika akili za mwewe.Zenji fanjeni yenu.
Acha kutetea ujinga wewe kijana au umetumwa humu ndani kufanya hivyo? Njaa itakuua kijana angalia na kuwa makini, Muungano wetu utadumu kama inakuuma kanywe sumu ufe tuachie muungano wetu.
 
Umma kubadilika kama upepo..nimeipenda sana hiyo..pia napenda watu wa zenj...nami nasema nikiwa mtanganyika....tumechoka na muungano wa chuna buzi..hatuutakiiiiiii....na mkone kutegemea tanganyika sb sio nchi yenu.
Wewe ndo ulichunwa na buzi lako lkn sio uusemee vbaya huu Muungano, kama huna hoja bora ukae kimya tu.
 
Jay Milionea 19:45 Yesterday
By sijalih:
Koti la muungano wamevaa
wazanzibar,
Acha kuota wewe, Muungano ni
wetu sote hata wewe
unaeukana, hata mfanye nini
Muungano huu hauwezi
kuvunjika ng'oooo
Reply Report Post
Bukama Batoko 22:10
Yesterday
By sijalih:
Koti la muungano wamevaa
wazanzibar,
Wananchi wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
tumeamua rasmi na kwa dhati
kujenga katika nchi yetu. Wewe
watoka wapi yakhe kutuletea
vimbwanga vyako?
 
Jay Milionea 19:45 Yesterday
By sijalih:
Koti la muungano wamevaa
wazanzibar,
Acha kuota wewe, Muungano ni
wetu sote hata wewe
unaeukana, hata mfanye nini
Muungano huu hauwezi
kuvunjika ng'oooo
Reply Report Post
Bukama Batoko 22:10
Yesterday
By sijalih:
Koti la muungano wamevaa
wazanzibar,
Wananchi wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
tumeamua rasmi na kwa dhati
kujenga katika nchi yetu. Wewe
watoka wapi yakhe kutuletea
vimbwanga vyako?
Kijana umekunywa viroba nini? Mbna hueleweki ulichokiweka hapo juu? Jipange tena mana hatukuelewi wenzio
 
Zanzibar ni sehemu ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wewe unayesema Zanzibar
hamtaki Katiba mpya sijui mtoa post
unaongea ukiwa umesimama pande
zipi?au na wewe umetoroka milembe?
 
Back
Top Bottom