Mkuu umenichekesha sana, 16:50 unaona watu 'waliovalia kiarabu' + polisi wanakwenda mbio north ya zanzibar town! 17:01 uko huko viwanja vya Lumumba! Vipi na wewe uliungana na mbio za hao waliovaa kiarabu?! Angalia polisi dhaifu wa huko wasije wakakuunganisha na uamsho wakati hata hayo maneno wanayosema huyaelewi!Nipo hapa Viwanja vya Lumumba wamejaa askari kila pahala pa kuingilia na hamna pa kuingilia ndani wamejaa polisi na waandamanaji wa Uamsho wamerudi mbio kuelekea maeneo ya Malindi wakisema maneno ya Kuruani mi sielewi
Uamshoooooooooooooooooooooooooooooo.......
Things fall apart (Chinua Achebe)
ingekuwa bara wangesema mkon
o wa cdm! Zenji je ni nini?
Mimi nawaunga mkono. Acha wapiganie nchi wajitenge na huu usanii wa viongozi wa JMT. Zanzibar wako seriuos na they can do better in absence of tanganyika
Walipooa mwanamke mkorofi ili kuwakata ngebe majirani, walitegemea nini? Mke sasa ndo huyo na anakujua vizuri mpaka udhaifu wako uko wapi.Nasikia wanailaumu CUF!!
Ingekuwa bara wangesema mkon
o wa CDM! Zenji je ni nini?
Nimefika sasahivi Zanzibar, ninachokiona LIVE ni mbio za Polisi na Wananchi waliovalia kiarabu cha ajabu wanaelekea North ya Zanzibar town eti Uamsho wanakutana hapo katika Viwanja vya Lumumba je Mkutano ni halali au haramu? magari mengi yenye kelele na bendera za Uamsho
Ni vigumu kutofautisha malengo ya kisiasa na malengo ya kidini..
kumbe Yesu alikuwa clever sana aliposema 'ya Kaizari mpeni Kaizari, ya Mungu mpeni Mungu'
Huko ni mkono wa cuf wao ndo magaidi wenyewe