Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
Kwetu hatuwezi wachakachuaji wanataka watuchakachue hadi mwisho. But it is good concept
Kweli tuna kazi sana, tumeumizwa na ufisadi kifikra kiasi kwamba hatuwezi kujaribu kuruka tena. Hivi Reli ya Tazara ilijengwa kwa sababu gani? Kwanini barabara ya Morogoro ilijengwa na kuunganisha na sehemu kama Ruvuma wakati watu walikuwa wanapita pale Lukumbulu? Hivi, barabara ya kuunganisha Mwanza na Dar sasa hivi ilijengwa kwa ajili gani?
Watu wanataka ati upunguzwe msongamano Dar, wakati watu wa Dar msongamano wenyewe hauwasumbui, hawasumbuliwi na mifereji mibovu, hawasumbuliwi na lolote. Wamejifunza kuishi katika hali hiyo. Naanza kuwa na wasiwasi na kuamini kweli Nyerere alikuwa mbali sana ya muda wake.. he really was.
Kweli tuna kazi sana, tumeumizwa na ufisadi kifikra kiasi kwamba hatuwezi kujaribu kuruka tena. Hivi Reli ya Tazara ilijengwa kwa sababu gani? Kwanini barabara ya Morogoro ilijengwa na kuunganisha na sehemu kama Ruvuma wakati watu walikuwa wanapita pale Lukumbulu? Hivi, barabara ya kuunganisha Mwanza na Dar sasa hivi ilijengwa kwa ajili gani?
Watu wanataka ati upunguzwe msongamano Dar, wakati watu wa Dar msongamano wenyewe hauwasumbui, hawasumbuliwi na mifereji mibovu, hawasumbuliwi na lolote. Wamejifunza kuishi katika hali hiyo. Naanza kuwa na wasiwasi na kuamini kweli Nyerere alikuwa mbali sana ya muda wake.. he really was.
Binaadamu hupenda sana kitu kitakachompunguzia shida au kitamrahisishia mambo yake lakini binaadamu huyohuyo analazimika kuwa na mipaka ya kutaka raha kutokana na sababu mbalimbali. Pengine hizo sababu wewe unaziona ndio kufikiri kidogo kwetu tofauti na kufikiri kusadikika unakotaka sote tuwer nako. La hasha Bagamoyo kumejengwa barabara unaonaje kama kungejengwa kiwanja cha ndege si ingekuwa bora zaidi? Lakini ikiangalia kujengwa kwa usafiri wa ndege na barabara utaona kuwa huu wa barabara ni wa faida zaidi ingawa kama ni raha ingekuwa zaidi kwa ndege.
Sasa tunajenga daraja la kwenda Zanzibar kwa sababu gani? Mbona hakuna shida ya usafiri wa majini na wa ndege? Tunapoangalia hapo na tukiangalia mambo yaliyo muhimu ambayo hatuna ndio tunafikia huo mtazamo mdogo unaoufikiria. Hujuwi wenzetu walijenga daraja hiyo kwa kusukumwa na nini. Pengine ni kutaka kujitambulisha kwa dunia tu.
Sasa tunajenga daraja la kwenda Zanzibar kwa sababu gani? Mbona hakuna shida ya usafiri wa majini na wa ndege? [/B]Tunapoangalia hapo na tukiangalia mambo yaliyo muhimu ambayo hatuna ndio tunafikia huo mtazamo mdogo unaoufikiria. Hujuwi wenzetu walijenga daraja hiyo kwa kusukumwa na nini. Pengine ni kutaka kujitambulisha kwa dunia tu.
Mwanakijiji how about the fastes train? Si zinakwenda pamoja hizi kwa hawa wenzetu wa China?
Yaani nimependa jibu lako hadi nimecheka moyoni; kwa hiyo mtaanza kujenga daraja mkisha kuwa na tatizo na usafiri wa majini na wa ndege. Hadi msongamano wa magari utokee ndio mnafikiria kupanua barabara, hadi kina mama walale sakafuni baada ya kujifungua ndio mnafikiria kuongeza vyumba na huduma Temeke? Hadi watoto walundikane kwenye mashule ndio shule za kata zinapokuja, na hizo shule hadi hivi sasa zijae matatizo ndio watu wataanza kutafuta suluhisho. Hadi majumba yajengwe ovyo bila kufuata taratibu ndio magenius wetu waanze kuja na kampeni ya bomoa bomoa. Of course hakuna tatizo la usafiri sasa hivi katika ya Zanzibar na Dar si yapo maboti yaendayo kwa kasi? Hivi ikijengwa barabara kati ya bara na visiwani volumu na speed ya watu na vitu inaweza hata kulinganishwa na hali iliyopo sasa? Kweli mnafikiria Uchumi wa Zanzibar utakuwa ulivyo tena?
Hahahaha
Serikali imeshindwa kutengeza daraja la kigamboni iweze la kuunganisha na zanzibar ? Seriaki imeshindwa kuwapa umeme wa uhakika iweze daraja ? Serikali imeshindw akukupa sehemu ya kulala na elimu bure,afya ijenge daraja kwa misingi ipi ?
Hivi zanzibar na wazanzibari wenyewe tupo katika kujipapatua,ikiwezekana muungano tunauvunja,hatutaki hasa kuungani na nyinyi kwa sababu hamuna nia njema kama vile walivyokubwalina viongozi wetu karume na nyerere walipounganisha mataifa haya mawili tanganyika na zanzibar.
Kwa hiyo tumeshuhudia sasa hivi vingozi wenu wanaikandamamiza zanzibar kiuchumi,pia hata kuizalilisha zanzbar na watu wake,sisi wazanzbar tumeuchuikia muungano,nafikiri muandishi jenga hoja kujengwa rail za kisasa kuwanganisha mikoa yenu, pamoja na taraja la kigamboni.
CHINA.. inaendelea kuleta mabadaliko ya ujenzi..toka..GREAT WALL..sasa hili daraja..
..Tanzania sidhani km tunaweza kuthubutu kufanya hivyo..na ile mito yao ilivyopitishwa kwenye miji..we Tanzania tunasubiri bana
Distance ya Zanzibar to Dar ni km42?
Daraja refu zaidi kupita bahari gani? Unaandika kama Prof. Shayo na blog la michuzi, hebu usishushe viwango hapa please.Bila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa