Zanzibar inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya MASHOGA wenye Ukimwi

Status
Not open for further replies.

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Na Nora Damian

KISIWA cha Unguja, kinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya mashoga wanaoishi na virusi vya ukimwi.

Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam na Dk Subilaga Kasesela-Kaganda wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), alipokuwa akizungumza katika kongamano kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa wafanyabiashara ya ngono, mashoga na watumia dawa za kulevya.

Alisema Zanzibar ndio eneo lenye mambo ya ushoga hapa nchini na kwamba asilimia 12 ya watu wanaoishi na virusi vya ukimwi katika Kisiwa cga Unguja ni wale wanaojishughulisha na mambo hayo.

Alisema baadhi ya sababu zinazochangia kukua kwa tatizo hilo ni vishawishi, wazazi kuwa mbali na watoto wao, yatima wanaokosa malezi mazuri, watoto wa kiume kulelewa na mama kwa kipindi kirefu na mtoto wa kiume kupenda kuvaa mavazi ya kike.

Alisema sababu nyingine zinazochangia tatizo hilo ni mazingira ya shule za bweni, ambazo baadhi yake zina wanafunzi wa kiume pekee, mwanaume kuwa na homoni nyingi za kike na wanaume wengi kukaa sehemu moja kama jeshini na magerezani.

“Na wanawake wanaopenda kufanya ngono ya haja kubwa wanapaswa nao kujua kuwa ina hatari zaidi, kwa maana ya kupata maambukizo kuliko njia ya uke,”alisema Dk Kaganda.

Alisema utafiti uliofanywa mwaka 2007/2008 umeonyesha kuwa asilimia sita ya Watanzania wanaishi na virusi vya ukimwi, wanawake wakiwa ndio waathirika wakubwa wa tatizo hilo.

Dk Kaganda alisema tatizo hilo liko zaidi katika maeneo ya mijini na ligawagusa mno watu wazima na wanawake wenye uwezo wa kufanya ngono na watoto wadogo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa shirika la TAWIF lililoandaa kongamano hilo, Fransisca Matao alisema jamii inachangia kwa kiasi kikubwa watoto wengi kuwa mashoga kufuatia kuwanyanyapaa na kuwatenga.

Imetoka: Gazeti la Mwananchi
 
Haya sasa wapemba naona mnaendekeza sana kamchezo hako. Acheni jamani mtakwisha!
 
Afu wakielezwa ukweli hawataki. Utaskia ooh, ni chuki za wabara, ni propaganda za baba mtakatifu wao? Penye mapungufu pafanyiwe kazi jamani, sio kufukia haja mchangani kama paka....
 
Huyo presenter au muandishi na atoe data zinazoeleweka. 12% ya watu wangapi kama sample size? Jee sample yake ameichukuwa wapi Zanzibar ukilinganisha labda na bara au mikoa mengine?

Asikurupuke tu na 12% isiyokuwa na mshiko.
 
Huyo dr kaganda inawezekana yeye mwenyewe ni shoga ndio maana anawajuwa wase...nge wenziwe.
 
Na Nora Damian

KISIWA cha Unguja, kinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya mashoga wanaoishi na virusi vya ukimwi.

Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam na Dk Subilaga Kasesela-Kaganda wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), alipokuwa akizungumza katika kongamano kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa wafanyabiashara ya ngono, mashoga na watumia dawa za kulevya.

Alisema Zanzibar ndio eneo lenye mambo ya ushoga hapa nchini na kwamba asilimia 12 ya watu wanaoishi na virusi vya ukimwi katika Kisiwa cga Unguja ni wale wanaojishughulisha na mambo hayo.

Alisema baadhi ya sababu zinazochangia kukua kwa tatizo hilo ni vishawishi, wazazi kuwa mbali na watoto wao, yatima wanaokosa malezi mazuri, watoto wa kiume kulelewa na mama kwa kipindi kirefu na mtoto wa kiume kupenda kuvaa mavazi ya kike.

Alisema sababu nyingine zinazochangia tatizo hilo ni mazingira ya shule za bweni, ambazo baadhi yake zina wanafunzi wa kiume pekee, mwanaume kuwa na homoni nyingi za kike na wanaume wengi kukaa sehemu moja kama jeshini na magerezani.

"Na wanawake wanaopenda kufanya ngono ya haja kubwa wanapaswa nao kujua kuwa ina hatari zaidi, kwa maana ya kupata maambukizo kuliko njia ya uke,"alisema Dk Kaganda.

Alisema utafiti uliofanywa mwaka 2007/2008 umeonyesha kuwa asilimia sita ya Watanzania wanaishi na virusi vya ukimwi, wanawake wakiwa ndio waathirika wakubwa wa tatizo hilo.

Dk Kaganda alisema tatizo hilo liko zaidi katika maeneo ya mijini na ligawagusa mno watu wazima na wanawake wenye uwezo wa kufanya ngono na watoto wadogo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa shirika la TAWIF lililoandaa kongamano hilo, Fransisca Matao alisema jamii inachangia kwa kiasi kikubwa watoto wengi kuwa mashoga kufuatia kuwanyanyapaa na kuwatenga.

Imetoka: Gazeti la Mwananchi

Inawezekana huu utafiti aliufanyia ofisini, kwani ninavyoelewa mimi Zanzibar hakuna shule za bweni, kama zipo basi ni mpya na chache (kuanzia 2005) ambazo haziaanza kutoa mashoga kama anavyodai moja ya sababu. Hatukatai kama hakuna mashoga, mashoga wapo kila pahala, hata anakotoka yeye Dr. Kaganda wapo mashoga kadhaa...
 
ni kweli swala la Ukimwi nasikia zanzibar linatisha sana siku hizi wala sio utani jamani
ndio maana wameanzisha lazima uwe na cheti cha ndoa kwenda nyumba ya wageni
hali ni mbaya sana huko sio mchezo
 
Inawezekana huu utafiti aliufanyia ofisini, kwani ninavyoelewa mimi Zanzibar hakuna shule za bweni, kama zipo basi ni mpya na chache (kuanzia 2005) ambazo haziaanza kutoa mashoga kama anavyodai moja ya sababu. Hatukatai kama hakuna mashoga, mashoga wapo kila pahala, hata anakotoka yeye Dr. Kaganda wapo mashoga kadhaa...
unayoipinga mbona ni sababu moja wapo tu?
zingine je?
ni ukweli usiopingika kuwa zenji kuna mashoga wa kumwaga
 
Huyo dr kaganda inawezekana yeye mwenyewe ni shoga ndio maana anawajuwa wase...nge wenziwe.
huo ni utafiti,ukuali ukatae hiyo ndiyo hali halisi
hili ni tatizo wala halihitaji,kukimbiwa au kuonewa aibu
bali tunahitaji sisi wote kama binadamu kusimama na kusema HAPANA,kulipinga ktk nyanja zote ndio kitatusaidia
kama utaendelea kufiicha uschi sio siri hutaazaa
 
Afu wakielezwa ukweli hawataki. Utaskia ooh, ni chuki za wabara, ni propaganda za baba mtakatifu wao? Penye mapungufu pafanyiwe kazi jamani, sio kufukia haja mchangani kama paka....
waeleze waelewe maana hawa jamaa kila kitu ni kulaumu tu
huwa hawakubali kitu bila kulaaumu au kusingizia kitu fulani
haya yapo kila sehemu,bata bara yapo
kama utafiti umeelezea hivyo ni bora kufanya utaratibu wa kuinusuru hiyo jamii isije kuishia kwenye laana
 
since when?

"One Muslim was heard saying, ‘We have cleansed our area by destroying the two churches, and now we are on our mission to kill individual members of these two churches – we shall not allow the church to be built again,'" said one church member who requested anonymity. (Christian Today)
 
Sioni kama kuna haja ya kuwahukumu waislamu wote! ninavyojua ni din nzuri tu! nimelelewa na kukuzwa na hii dini even if i am a christian lakini kuna wahuni wanaotumia uhuni wao kulazimisha upumbavu! naomba ieleweke! Tanzania is for Tanzanians na sisi wote ni ndugu!!
 
Lazima nguvu ya ziada ifanyike kuokoa kizazi kijacho, kutakuwa na sababu nyingine behind the scene . Kama watoto kulelewa na mama, shule za bweni, magereza ,jeshini, hata bara vipo! I think they need to do something with culture. Mfano Pwani ya kiwengwa ni uchafu mtupu wa mashoga . Serikali ya ZNZ ina strategy gani kupambana na hilo??. Its so sad hata jamii inaona ni sawa tu compared to Bara ukiwa shoga.
 
Huyo presenter au muandishi na atoe data zinazoeleweka. 12% ya watu wangapi kama sample size? Jee sample yake ameichukuwa wapi Zanzibar ukilinganisha labda na bara au mikoa mengine?

Asikurupuke tu na 12% isiyokuwa na mshiko.

Huo jamani ni utafiti, kama yanayosemwa hayako kwenye Zanzibar unayoishi wewe, basi yako upande mwingine wa Zanzibar. Na katika kuwasilisha ripoti ya utafiti, lazima aliongea kwa kutoa takwimu zote sema tu muandishi, kaandika kulingana na space aliyopewa na mhariri wake. Kama unataka kupata ripoti halisi muone huyo Dr Subilaga yuko TACAIDS! Inajulikana kabisa Zanzibar kwa ushoga inaongoza sasa badala ya kuangalia jinsi ya kuondokana na tatizo hilo wenzetu mnapinga kwa nguvu zote! Au nanyi ni mashoga???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom