Zanzibar huchangia TRA 1.4% lakini hugawiwa 4.5% ya mapato ya Muungano!!

Zanzibar ni Koloni letu na kamwe hatuwezi kuliachia, Tutaendelea kuitawala Zanzibara hata ikibidi Kimabavu

Subiri kwanza UN ipitishe tulizingire, kama Lethoto vile. Tatizo hatujabuni mbinu za kulinyonya hili koloni
 
Topical,

..yako mashirika kama Posta na Simu ambayo kama yalibinafsishwa ZNZ ilipaswa kupewa stahiki yake. Shirika la Posta na Simu lilikuwa chini ya EAC iliyovunjika mwaka 1977. kwa upande mwingine sidhani kama ZNZ ilishiriki ktk kutaifisha/kuanzisha National Bank of Commerce[NBC] kwa hiyo haistahiki hisa zozote zile kutokana na mauzo ya shirika hilo.

..kuhusu suala la ajira, si kweli kwamba waZNZ wananyimwa nafasi. Ieleweke kwamba ajira ktk mashirika ya umma, yaliyo ya muungano na yasiyo ya muungano, ziko wazi kwa Mtanzania yeyote yule. Majuzi kulikuwa na malalamiko ktk baraza la wawakilishi kwamba lecturers toka Zanzibar University wanaacha kazi na kukimbilia Univ of Dodoma. Huo ni ushahidi kwamba waZNZ wenye qualifications wanapata kazi bila matatizo ktk taasisi za muungano.

..Kuna special case kama hiyo ya wakili wa mahakamu kuu ya znz vs wakili wa mahakama kuu ya Tanzania[Tanganyika] ambayo inatakiwa ifanyiwe kazi, lakini sidhani kama ni tatizo kubwa.

..Kwa mtizamo wangu,i mwandishi anataka waZNZ watengewe "QUOTA" au idadi maalum ya ajira ktk mashirika hayo. Anajua likifanyika hilo basi waZNZ wanaweza kupata nafasi nyingi wasizostahili kama ilivyofanyika kwa nafasi za wabunge.

..Kuna maelfu ya waZNZ wapo kila kona ya Tanganyika wakifanya shughuli halali za kuwapatia kipato, ni jambo la ajabu kidogo kudai kwamba waZNZ wanabanwa au hawanufaiki na muungano huu.

..Kuhusu fursa za biashara za nje, na masuala kama Free Port, Off-Shore companies, etc kinachopaswa ni kuangalia maslahi ya pande zote mbili za muungano wetu. Kwa mfano, kuna kipindi ZNZ ilitaka watoze ushuru mdogo sana kwa bidhaa zinazoteremshwa bandarini ZNZ halafu bidhaa hizo ziingizwe Tanganyika bila kulipiwa tofauti ya ushuru. Huo ndiyo umekuwa mgogoro mkubwa kati ya ZNZ na TRA.

..kuna ripoti inayoelekza kwamba misamaha ya kodi inayotolewa ZNZ ni 46% ya kinachokusanywa huko, wakati kwa TGK ni 23--24% ya tunachokusanya. Zaidi ya hayo, waZNZ hugoma kulipia huduma za mashirika ya Tanganyika kama Tanesco, na zaidi wanataka wapewe gawio kubwa zaidi kutoka kasma ya Muungano[tanganyika]. Katika mazingira hayo ni nani anayemnyonya mwenzake??!!

..mimi naomba niwape changamoto ndugu zetu wa ZNZ, na hapa nitaomba nitumie maneno ya aliyekuwa Rais wa Marekani JF Kennedy. ASK NOT WHAT THE UNION CAN DO FOR YOU, BUT WHAT YOU CAN DO FOR OUR UNION.

Mkuu wazanzibar wame forego mambo mengi sana kwenye huu muungano mimi nawapa pole sana kwa uvumilivu wao ni ukweli kwamba ingekuwa jambo hili anafanyiwa mchaga au mmasai huu muungano ungeshaleta damu nyingi

a. Huo mgawo si kwamba hawafahamu bali watanganyika hawataki hata wakikumbushwa mara ngapi? kila anayekumbusha ni mkorofi na anaadhibiwa kwa kuitwa mbwa (bad names)

b. Kuhusu kazi na fursa ni kweli kwamba ajira nyingi wanatoswa wazanzibar kwenye mashirika ya muungano nakubaliana na kupewa quota yao; na ikiwa wameshindwa kuleta a qualified person shirika liwe huru kutangaza nafasi kwa watanganyika otherwise ni unyonyaji na dhulma kubwa, mfano juzi nilienda mkutano wa shirika la muungano katika mchakato wa east africa tulikuwa watanganyika watupu hadi tukawa tunaona aibu kwa wale wenye soni...

c. Hizo fursa za biashara ndio usiseme mkuu, bandari ya zanzibar inatakiwa iwe huru ili utoze kodi zake na wafanya biashara na wananchi wafaide lakini hilo nalo watanganyika wameshaona wivu wameliharibu...

d. Mawasiliano kuwa muungano una matatizo yameanza 1965 (one year old) hadi leo vikao na commitee zaidi ya 100 zimeundwa; hakuna commitee imeweza ku-solve problem yeyote wanafanya usaniii..

Hakuna katika Tanganyika anayetaka muungano wa HAKI (NONE); wangetaka haki bin haki leo tusingekuwa na kelele na wazenj for sure; ninachoona watanganyika wanapenda kuwanyonya na kuidumaza kiuchumi zanzibar kwa uchoyo na chuki..

Zanzibar ingekuwa bila Muungano na partners wake kwenye OIC countries, wangenunua mafuta beio poa, wangefanya biashara bila riba etc..

Mimi sioni faidi ya muungano kwa mzanzibar of course muungano una faida kubwa sana kwa Mtanganyika..tunawafyonza sana wazenj ..in fact Tanzania inapata watalii wengi kwa jina la zenj ...maana Tanganyika haijulikani
 
Subiri kwanza UN ipitishe tulizingire, kama Lethoto vile. Tatizo hatujabuni mbinu za kulinyonya hili koloni

Usije kulia wakianza harakati ambazo wewe na wanao wanaweza kupata vilema au kufa..

Hata waarabu wa kaskazini waliwa zingaira sana weusi wa kusini mwisho wa siku waliona hapatoshi..

Hatuwezi ku-maintain "INJUSTICE" siku wakiamka wakadai haki zao mimi mtanganyika nitawasaidiwa waziwazi..
 
Mkuu wazanzibar wame forego mambo mengi sana kwenye huu muungano mimi nawapa pole sana kwa uvumilivu wao ni ukweli kwamba ingekuwa jambo hili anafanyiwa mchaga au mmasai huu muungano ungeshaleta damu nyingi

a. Huo mgawo si kwamba hawafahamu bali watanganyika hawataki hata wakikumbushwa mara ngapi? kila anayekumbusha ni mkorofi na anaadhibiwa kwa kuitwa mbwa (bad names)

b. Kuhusu kazi na fursa ni kweli kwamba ajira nyingi wanatoswa wazanzibar kwenye mashirika ya muungano nakubaliana na kupewa quota yao; na ikiwa wameshindwa kuleta a qualified person shirika liwe huru kutangaza nafasi kwa watanganyika otherwise ni unyonyaji na dhulma kubwa, mfano juzi nilienda mkutano wa shirika la muungano katika mchakato wa east africa tulikuwa watanganyika watupu hadi tukawa tunaona aibu kwa wale wenye soni...

c. Hizo fursa za biashara ndio usiseme mkuu, bandari ya zanzibar inatakiwa iwe huru ili utoze kodi zake na wafanya biashara na wananchi wafaide lakini hilo nalo watanganyika wameshaona wivu wameliharibu...

d. Mawasiliano kuwa muungano una matatizo yameanza 1965 (one year old) hadi leo vikao na commitee zaidi ya 100 zimeundwa; hakuna commitee imeweza ku-solve problem yeyote wanafanya usaniii..

Hakuna katika Tanganyika anayetaka muungano wa HAKI (NONE); wangetaka haki bin haki leo tusingekuwa na kelele na wazenj for sure; ninachoona watanganyika wanapenda kuwanyonya na kuidumaza kiuchumi zanzibar kwa uchoyo na chuki..

Zanzibar ingekuwa bila Muungano na partners wake kwenye OIC countries, wangenunua mafuta beio poa, wangefanya biashara bila riba etc..

Mimi sioni faidi ya muungano kwa mzanzibar of course muungano una faida kubwa sana kwa Mtanganyika..tunawafyonza sana wazenj ..in fact Tanzania inapata watalii wengi kwa jina la zenj ...maana Tanganyika haijulikani

Topical,

..siyo kweli kwamba waZNZ wananyimwa fursa ktk muungano wetu. Nimekupa mfano wa UDOM ambayo imeajiri waZNZ wengi mno kiasi cha kupelekea wawakilishi walalamike kwamba ZNZ Univ itakosa wahadhiri. waZNZ wanapata kazi hata ktk mashirika yasiyo ya muungano, sembuse yale muungano. Zaidi, ktk fursa za biashara tunao wafanyabiashara wengi sana toka ZNZ ambao wananeemeka bila bugudha yoyote ile ktk ardhi ya Tanganyika.

..Tukisema tuweke "quota", je tutaishia wapi? How about ktk yale maeneo ambayo waZNZ are overly represented? Mimi nadhani ndani ya chombo chochote kile cha muungano sote tuwe treated equally, as Tanzanians, bila upendeleo wowote ule.

..ZNZ inapata umeme bure kutoka TGK, inalipiwa mshahara wa watumishi wa serikali yake, na zaidi inapewa mgao mkubwa kuliko inavyochangia ktk muungano. Hebu nielekeze when was the last time we got any service for free from Zanzibar Revolutionary Government. Kwa kweli ni vigumu sana kuwashawishi waTGK kwamba muungano huu hauwapendelei waZNZ.

.kuhusu kujiunga na OIC mimi napendekeza tujiunge kama Tanzania na pande zote zifaidike na fursa zitakazojitokeza.

NB:

..kuhusu UTALII if u do a google search utaona kwamba in 2008 Tanzania imepokea watalii 641,591, wakati Zanzibar wanaripoti kupata watalii 128,440, in the same year. Labda ungeitafakari upya kauli yako kwamba Zanzibar inajulikana kwa watalii kuliko Tanganyika[Ngorongoro,Serengeti,Kilimanjaro].
 
Jokakuu,

Using TRA data for revenue distribution is somehow inappropriate. This because there are other obscure sources of government income such as foreign aid.
 
Topical,

..siyo kweli kwamba waZNZ wananyimwa fursa ktk muungano wetu. Nimekupa mfano wa UDOM ambayo imeajiri waZNZ wengi mno kiasi cha kupelekea wawakilishi walalamike kwamba ZNZ Univ itakosa wahadhiri. waZNZ wanapata kazi hata ktk mashirika yasiyo ya muungano, sembuse yale muungano. Zaidi, ktk fursa za biashara tunao wafanyabiashara wengi sana toka ZNZ ambao wananeemeka bila bugudha yoyote ile ktk ardhi ya Tanganyika.

..Tukisema tuweke "quota", je tutaishia wapi? How about ktk yale maeneo ambayo waZNZ are overly represented? Mimi nadhani ndani ya chombo chochote kile cha muungano sote tuwe treated equally, as Tanzanians, bila upendeleo wowote ule.

..ZNZ inapata umeme bure kutoka TGK, inalipiwa mshahara wa watumishi wa serikali yake, na zaidi inapewa mgao mkubwa kuliko inavyochangia ktk muungano. Hebu nielekeze when was the last time we got any service for free from Zanzibar Revolutionary Government. Kwa kweli ni vigumu sana kuwashawishi waTGK kwamba muungano huu hauwapendelei waZNZ.

.kuhusu kujiunga na OIC mimi napendekeza tujiunge kama Tanzania na pande zote zifaidike na fursa zitakazojitokeza.

NB:

..kuhusu UTALII if u do a google search utaona kwamba in 2008 Tanzania imepokea watalii 641,591, wakati Zanzibar wanaripoti kupata watalii 128,440, in the same year. Labda ungeitafakari upya kauli yako kwamba Zanzibar inajulikana kwa watalii kuliko Tanganyika[Ngorongoro,Serengeti,Kilimanjaro].

JK

a. Acha kubisha for the sake ya kubisha mkuu; ajira za walimu wa udom ni sehemu ndogo sana za mashirika yaliyoko katika muungano mfano simu, posta, jeshi, polisi, etc name it hakuna mgao unaoeleweka na wazanzibar wanategemea lobbying fulani tu..kimsingi jambo hili linatakiwa liwe quota inajulikana persee kwamba 3% ya watumishi wa mashirika ya muungano watatoka zanzibar (qualified) ina case hawapo ndio wanachukua Tanganyika hiyo ndio fair deal na hapo kweli tunataka muungano wa haki..Quota ndio equality yenyewe hiyo zaidi ya hapo ni unyanyasaji..upo

b. Mkuu hakuna Mtanganyika atagawa pesa za umma kuwapa wazenj (tema mate chini) nimekuwa serikalini muda sasa, kimsingi tunafaidi sana kama Tanganyika kutokana na biashara ya nje, utalii n.k kwa mgongo wa zenj; hizo serengeti kilimanjaro etc kuna competition kubwa sana na kenya, south africa, Zambia etc..kimsingi wakubwa wanajua watalii wengi wanavyopenda visiwa.. utalii kwenye visiwa ulivyo. anakuja Tanzania kwasababu ya kwenda zenj; halafu anapitia kwa wanyama hao ...

c. Hivyo kujiunga OIC hawawezi kujiunga Tanganyika kwasababu kuna equation ya udini (wakristo hawataki); na imewafanya wazenj kuadhibiwa kwa kuweza kupata partner wao katika biashara, elimu na mafuta ya bei poa..of course naona hii ndio ultimate target ya wachumi wa Tanganyika, kwani taifa lenye uchumi mzuri ngumu kuwatawala; jirani yako muombee njaa..ndio falsafa ya nyerere hiyo maskinisha watu ndio watakuheshimu kwamba wewe mtawala..

I am equally conviced that muungano unamfaidisha mtanganyika na kumdhoofisha kiuchumi mzenj..na maneno yangu ni kweli kwasababu kama ni gharama kwanini hawavunji muungano?? unajua nini, unavizia kufyonza tena mafuta ya wazenj..that is the Tanganyika final target.
 
Kizibao,

..kile kiwango kimepandishwa kwa 160% ili kuwepo na uwiano kati ya anacholipa mZNZ na mTGK.

..kabla ya hapo ZNZ ilikuwa inapewa umeme kwa bei sawa na bure, na juu yake shirika la umeme la ZNZ lilikuwa likiikopa ZNZ.

..kwa kweli mimi sioni sababu ya Tanesco kuuza umeme ZNZ, bora tuuze Kenya ambako wanauungwana wa kulipa.
JokaKuu,
Kwenye haya maisha kila mtu ana destination yake. Na ili kuweza kuishi kwa maelewano lazima kuna sehemu lazima compromise iwepo! Inatia shaka sana kama wazanzibar wengi wanaujua ukweli huo. Naamini pasipo shaka majeruhi mkubwa wa kuvunjika huu muungano atakuwa zanzibar. Ina cha kushangaza wanaomba sana itokee hivyo...
Without vision,people perish!
 
Ndio ujinga walio nao watu wa Tanganyika wanafikiri a. kwamba zanzibar itakufa bila muungano -hii dhana ni potofu zanzibar itakuwa neema na kimbilio la wafanyabiashara east africa wakiondoka katika muungano b. watanganyika wanafikiri wanawasaidia wazenj-kinyume chake ndio kweli kwamba watanganyika wanawafyonza wazenj.
 
Back
Top Bottom