Zanzibar - Hotel (for a Group Tour/Vacation)

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Wanajamvi ...

Sijui kama hili ni jukwa sahihi lakini naomba msaada...

Ninafanya maadalizi ya kuwapeleka wafanyakazi wenzagu (15) visiwani Zanzibar (bila familia zao) kupumzika siku nne na pamoja na mambo mengine kufanya hili zoezi la kufahamiana vizuri (Team Building)..

Kwa yoyote anayefahamu hoteli nzuri visiwani humo (Unguja) naomba msaada wa contacts, e.t.c. Ningejaribua kutumia "google" and the likes lakini sitapata maelezo sahihi kama kwa mtu ambaye alishakwenda na kukaa mahala pale..

Natanguliza shukrani
 
Baba Enock ningependa kujua umekadiria kiasi gani kwa garama za accomodation ili niweze kukupa list ya hotel inayoenda na range za garama zako
 
nimekaa KIWENGWA APARTMENTS ni pazuri na pia ni affordable kwa mtu wa kawaida...wasiliana kwa namba 0715 859633
you will enjoy greatly.... UKITAKA VYAKULA VYA KINYUMBANI AU VYA KI-MAGHARIBI NI WEWE TU...... WAWEZA ISHI UPENDAVYO
 
Back
Top Bottom