Zanzibar Heroes Ikituwakilisha Vyema Kwenye VIVA 2012 Kurdistan

zanzibar ina mwakilisha nani? si hawatutaki, sisi tulienda ivory coast, wao hawana hata shida na sisi wameenda zao huko kuhangaika....
 
hao si wenzetu, hata ramani si ya kwetu...sis tumeabandon ramani ya tanganyika, wao wanaleta raman na katiba ya kivyaovyao kujitenga, wa nini sasa hawa, hata aibu hawana.
 
Hapo ni mchezo wa mpira wa miguu kati ya Nchi mbili

Zanzibar - Rais , Wimbo wa Taifa, Bendera, Mipaka halali ya ZNZ. Yaanii Sijui Tanganyika imefilia wapi.. agriiiiiii...

Huu Muungano sijui ni wa aina gani kwa kweli?/????
 
Back
Top Bottom