Zanzibar Hatarini zaidi

Mwisho wa malumbano haya ni kuona tatizo hili linatatuliwa na kila upanse uridhike na maamuzi yatakayochukuliwa,kama Zanzibar inataka kujitenga haina haja ya kulazimisha jambo hilo ni kuwapa kile ambacho wanataka,kuendelea kutaka kuuendeleza muungano wakati matatizo hayapati ufumbuzi ipo siku tutaangukia kwenye machafuko ambayo si ya lazima
 
vijamaa flani ivi.

Unakumbuka Wakati wanaanza kusema kutakuwa na VITAMBULISHO? MA-AMIR ( kwa SUNNI Muslim wanatambulika kama ni Viongozi wa kisiasa ndani ya dini; Wengi wao saa Nyingine wanahamasisha kufuata Sheria za Nchi au la; na Unajua Mwanzoni Ma-Amir hawakupenda VITAMBULISHO kwa kusema kuwa ni Mpango wa Tanganyika kuwa control wa Zanzibar Mpaka hapo waliposikia pia Watu Wa Bara hataingia Zanzibar BILA VITAMBULISHO...
 
we ujui? Zanzibar uislamu ndo kila kitu, ndo maana cuf wanatumia Uamsho! Wanataka waarabu waje zanzibar kwa mgongo wa nyuma, kwa kisingizio cha kudai zanzibar!

Unakumbuka Wakati wanaanza kusema kutakuwa na VITAMBULISHO? MA-AMIR ( kwa SUNNI Muslim wanatambulika kama ni Viongozi wa kisiasa ndani ya dini; Wengi wao saa Nyingine wanahamasisha kufuata Sheria za Nchi au la; na Unajua Mwanzoni Ma-Amir hawakupenda VITAMBULISHO kwa kusema kuwa ni Mpango wa Tanganyika kuwa control wa Zanzibar Mpaka hapo waliposikia pia Watu Wa Bara hataingia Zanzibar BILA VITAMBULISHO...
 
usiwe na wasiwasi kutukana unaweza lakini mada hii sikumtukana mtu. Ila nawaambieni wenzetu kuwa hadi hii sasa maoni ya katiba, 75% ya wazanzibari hawataki muungano wa hivi ulivo. WEanataka serikali yao yenye kutambilka nje na ndani na kiti chao umoja wa mataifa na pasi yao na pesa yao na UHURU wao. Kama hupendi hayo, tafuta kundi la kupinga 75% ya wazanzibari. Ukinitukana mimi inakuwa unapoteza muda wako bure.
 
Chama CHA MAPINDUZI hakiwezi kuongoza TENA; Viongozi wake hawawezi kuhamasisha WANANCHI hata kidogo bila Wananchi kuwa na DUKUDUKU lao;

Sasa VITAMBULISHO vya TAIFA DR. SHEIN na SERIKALI yake YASHINDWA kuwaelezea Wananchi wa Zanzibar UMUHIMU wa VITAMBULISHO vya TAIFA

Ma-AMIR WAMEWEZA KUWAELEZEA WANANCHI NIA YA SERIKALI YA CCM na IMEWAELEZEA NIA YA SERIKALI SIO NZURI KWA UPANDE WA ZANZIBAR

Sasa Wananchi Wa Zanzibar Watagomea... Ni nani wa kulaumiwa HAPO? UBUTU WA serikali KUU... Rais wa Jamhuri ya Muungano Kikwete yeye anaenjoy

Safari za Ndege na kumbeba ZITTO KABWE... Kweli Hawajui ni nini kinachoisakama NCHI? Rais Hasemi Chochote hata akisema hawamsikilizi?

INASIKITISHA...
wenye akili zao walishaona mbali na ndio maana wakatahadharisha kuwa kuna mtu chama hiki kitamfia mkononi mwake.kiukweli walikuwa wana maanisha yeye.nadra sana kuweka maslahi ya Nchi mbele.kule FACEBOOK kuna watoto wanamnanga balaa.jana nimeona kuna kijana kapost kichekesho kumhusu lakini kina ujmbe mzito!! nanukuu;
madakitari watatu mmoja ni mjerumani,mchina na mwingine mtanzania kila mmoja alikuwa na kitu cha kujivunia kwenye fani yake.mjerumani,kwetu sisi tumefanikiwa kumfanyia oparatin mtu aliye zaliwa bila miguu na sasa ni mkimbiaji maarufu sana.mchina, kwetu sisi tumemfanyi oparation mtu aliye zaliwa bila mikono na sasa ni mpiga karate maaru na ameshinda medali kadhaa.mtanzania kwetu sisi kule bagamoyo alizaliwa mtu bila kichwa tukamwekea BOGA na sasa ni rais.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom