Zanzibar Hatarini zaidi

Serikali moja bado ni balaa kwa Zanzibar. Serikali tatu ndio suluhisho la kuungana na nchi kama Zanzibar. Natamani niishi na nione muungano wa serikali tatu ikiitwa Serikali ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (SMTZ)au The United Republic of Tanganyika and Zanzibar(URTZ). Ee mwenye enzi Mungu sikia maombi yangu.

Mkuu angalia yasije kukuta yaliyomkuta mzee wetu mmoja; yeye aliapa kuwa ataishi na kuiona CCM ikifa. Siku chache baada ya kutoa kauli hiyo akagongwa na gari na kuaga dunia ikiwa CCM bado haijafa! Afadhaki wewe umemtanguliza Mungu huenda akasikia maombi yako.
 
Hapo kwenye red wakati mnajitambulisha huko ulimwenguni mnakuwa mnapeperusha bendera ya taifa lipi na pasipoti hipi?.
Kazi kwelikweli kumlea mtoto wa kambo jamaa mmoja aliniambia kuwa kama mke anakuja na mtoto wa kambo kumfahamu vizuri na kumweka katika mstari ulionyooka sharti mama mtu akupe manual yake kama ya TV ukaisome kwa makini ujue volume ilipo channel uziset vipi na mambo kadhawakadha kabla shughuri pevu haijaanza.

Hili suala zuri sana. Kwa mtu mwenye kufahamu "UKOLONI" ulivo, huna haja kuuliza suala kama hili. Sisi hatuna pasi yetu. tunatumia pasi ya shirika lakini imefika wakati ushrika wetu umekuwa si ushirika tena imekuwa ni kutunyanyasandio maana tunadai UHURU wetu. Bendera inakuwa pia ni "Big Deal", timu za mpira pia zina bendera au vipi?.
 
Unajua wazanzibar wanapenda na wanashupalia sana kuuvunja muungano ila ukizungumzia kuhusu wazanzibar waliopo bara watatakiwa warudi kwao wakaijenge nchi yao na walipo kazini waache warudi kuajiriwa kwao zanzibar hili kwao mbona linaleta kigugumizi kwao hawakubali kuzungumzia?? nini siri hapa? sijapata majibu ina maana zanzibar hakuna nafasi za kufanya biashara na kuajiriwa???

Namie kila siku huwa najiuliza, hivi mtu kama wewe umesoma? Unaijua dunia? Elimu yako umefikia level gani kiasi kwamba unakosa majibu ya maswali ulojidai watu wanakigugumizi? Hivi nikuulize, apo Tanganyika haajiriwi mkenya au Uganda? Je kuna muungano upi kati ya tanganyika na Uganda na Kenya? Hivi pia kuna sera ya kuelekea serikali 1 kati ya Tz na China? Naona wachina wanafanya biashara apo kama kwao, wana maduka kariakoo na wanakupeni ajira, kuna muungano hapo? Ushapata majibu yako? Hakuna mwenye kigugumizi kuyajibu maswali yako rahisi hata mtoto wa primary angeweza kukujibu. Nishakujibu maswali yako yanayojibika kwa urahisi tena sana! Tumia japo akili yako ya kuzaliwa ndugu, mngeanza kuwatimua wachina wanaokupeni ajira uchwara kwanza, iyo serikali yenu inawaheshimu hao wazanzibari wafanyabiashara uko kwenu, angalau mnapata kujifunza ustaarabu na heshima, pia mnafunzwa utu, usafi na ajira mnapewa bila ya kubaguliwa! Mnatuita wazanzibari wavivu lakini ndio wenye majengo kariakoo, nyinyi mnajisifia mnakula sembe, wachapa kazi, usiku mnaishia Bar kulewa, izo akili au matope?
 
B ila shaka kitambulisho cha Utanzania hakija kubalika zanzibar kwa kuwa Zanziabr pia wana vitambulisho vyao vya Uzanzibari. Kama ni nchi moja kwanini kuwe na vitzmbulishio karibu sabini?. Iko tatizo hapa hapa. Wazanzibari wana vitambulisho vyao na watanganyika wawe na vyao. Sisi wazanzibari tunajitambulisha kote ulimwenguni kama wazanzibari kwanza baadae n dio tanzania kwa shinikizo wala sio hiari.
Wazanzibari wanataka nchi yao huru. Tatizo ni ukoloni. Tunaweza kudumisha uhusiano wetu tukiwa mbalimbali kuliko hali ilivo sasa hivi.

Yaani ningekuwa najua kizungu ningekutukana kwa kizungu wewe, bila kuhofia ban.
 


Chama CHA MAPINDUZI hakiwezi kuongoza TENA; Viongozi wake hawawezi kuhamasisha WANANCHI hata kidogo bila Wananchi kuwa na DUKUDUKU lao;

Sasa VITAMBULISHO vya TAIFA DR. SHEIN na SERIKALI yake YASHINDWA kuwaelezea Wananchi wa Zanzibar UMUHIMU wa VITAMBULISHO vya TAIFA

Ma-AMIR WAMEWEZA KUWAELEZEA WANANCHI NIA YA SERIKALI YA CCM na IMEWAELEZEA NIA YA SERIKALI SIO NZURI KWA UPANDE WA ZANZIBAR

Sasa Wananchi Wa Zanzibar Watagomea... Ni nani wa kulaumiwa HAPO? UBUTU WA serikali KUU... Rais wa Jamhuri ya Muungano Kikwete yeye anaenjoy

Safari za Ndege na kumbeba ZITTO KABWE... Kweli Hawajui ni nini kinachoisakama NCHI? Rais Hasemi Chochote hata akisema hawamsikilizi?

INASIKITISHA...
Mkuu nngu007 hapo penye red ndio nini hicho?
 
Last edited by a moderator:
Znz sio nchi na kamwe hatutawaruhusu kina Sultan wa Oman watunyang'anye kolon letu.
 
Haya yetu macho, hakuna kitu kibaya kama nchi kuunganishwa kwa uadui na nchi nyingine, uniting to fight a common enemy Tanganyika. Mkimaliza hapo mtarudi kule kule mlikotokea.

Hapo walipo hali mbaya sana,yaani kuna upemba na uzanzibari wakimaliza ugomvi na utanganyika watarudi kumalizana huko.
 
Hizi fikra mie zinanitia hofu ,sijui watanganyika wazuiwe wasifanye kazi zanzibar au kwenye makampuni na mashirika ya kizanzibari? kama jawabu ni zanzibar kama nchi basi sawa, lakini ikiwa ni makampuni ,hicho kitakuwa kindumbwe ndumbwe maana makampuni mengi yanamilikiwa na wageni kutoka nje ya nchi(Italians ,Chinese,Dutch,South Africans etc) na wageni kutoka Tanganyika!
Je wazanzibari yapaswa kujiuliza ajira gani mnazungumzia kukwea minazi ,kuuza madafu au kuokota chaza?
 
Hakuna mtanganyka anaezuiliwa kwenda na kuishi Zanzibar.
Stop!

Wrong...!


THE LAND TENURE ACT, 12 - 1992
ENACTED by the House of Representatives of Zanzibar.


Right of a Grant of land.

24.(1) The right of occupancy shall only be granted to
Zanzibaris who are above the age of eighteen.

“Zanzibari” means:

(a) any person who is a citizen of Tanzania in
accordance with the laws relating to citizenship
and that he was born or has been residing in
Zanzibar before and up to the 12th of January
1964;

(b) any person who, as from the 26th day of April,
1964 is a citizen of Tanzania and was born in
Zanzibar with both of his parents being
Zanzibaris or either his father or mother being
Zanzibari in accordance with the Zanzibari Act,
1985;

(c) any person who is a citizen of Tanzania and was
born or has been residing in Zanzibar before the
26th day of April, 1964; and

(d) any person who is a citizen of Tanzania with
both of his parents being Zanzibaris or either his
father or mother being Zanzibari in accordance
with paragraph (a), (b) or (c) above.

SECTION 57:
Ukifumwa unafukuzwa sekunde hiyo hiyo:

If it is determined that:

(a) any grantee is, at any time, proved to be a non-Zanzibari; or


(b) an interest holder-makes, or attempts to make, a
transfer of his right of occupancy to a non-Zanzibari;

an order of termination shall be issued by the Minister which
shall provide that the right of occupancy is terminated and
the land shall be vacated forthwith.


Umenitungia sheria inasema siruhusiwi kuuziwa shamba Zanzibar halafu unanambia "hakuna Mtanzania Bara aliyezuiliwa kuishi Zanzibar," you kidding me?

Let Tanganyika go!
 
Naililia Tanganyika, kwa kuwa upande wa pili kuna Zanzibari. Ikiwa Zanzibari itaungana na Tanganyika na kuwa nchi moja (Tanzania), isiyo kuwa na vipande vipande vya Zanzibari, basi huo ndio utakuwa Muungano wa kweli, na hicho ndiyo kilio cha Watanganyika. Tunaomba Serikali moja, Tunataka Muungano wa kweli, na Tunahitaji serikali moja ya dhati. Tunacho ombea ni kuwa na umoja. Mungu awabariki wote wanaopenda umoja.
 
Stop!

Wrong...!


THE LAND TENURE ACT, 12 - 1992
ENACTED by the House of Representatives of Zanzibar.


Right of a Grant of land.

24.(1) The right of occupancy shall only be granted to
Zanzibaris who are above the age of eighteen.

"Zanzibari" means:

(a) any person who is a citizen of Tanzania in
accordance with the laws relating to citizenship
and that he was born or has been residing in
Zanzibar before and up to the 12th of January
1964;

(b) any person who, as from the 26th day of April,
1964 is a citizen of Tanzania and was born in
Zanzibar with both of his parents being
Zanzibaris or either his father or mother being
Zanzibari in accordance with the Zanzibari Act,
1985;

(c) any person who is a citizen of Tanzania and was
born or has been residing in Zanzibar before the
26th day of April, 1964; and

(d) any person who is a citizen of Tanzania with
both of his parents being Zanzibaris or either his
father or mother being Zanzibari in accordance
with paragraph (a), (b) or (c) above.

SECTION 57:
Ukifumwa unafukuzwa sekunde hiyo hiyo:

If it is determined that:

(a) any grantee is, at any time, proved to be a non-Zanzibari; or


(b) an interest holder-makes, or attempts to make, a
transfer of his right of occupancy to a non-Zanzibari;

an order of termination shall be issued by the Minister which
shall provide that the right of occupancy is terminated and
the land shall be vacated forthwith.


Umenitungia sheria inasema siruhusiwi kuuziwa shamba Zanzibar halafu unanambia "hakuna Mtanzania Bara aliyezuiliwa kuishi Zanzibar," you kidding me?

Let Tanganyika go!

ulichokionyesha wewe ni uraia wa Zanzibar...to be a citizen ...Hapa wako wakenya ,wazungu wa mataifa mabalili wanaishi... Sheria za umiliki wa ardhi ndio zinakataza mgeni kumiliki ardhi akiwemo Mtanganyika. Hayo yalikuwa miongoni mwa makubaliano ya Muungano.

Let tanganyika go!!!
 
we ujui? Zanzibar uislamu ndo kila kitu, ndo maana cuf wanatumia Uamsho! Wanataka waarabu waje zanzibar kwa mgongo wa nyuma, kwa kisingizio cha kudai zanzibar!

Sasa unataka mfumo kristo utawale hadi Zanzibar wakati sisi ni waislamu...Fanyeni muungano na warundi na wakenya hao watakubali mfumo kristo bila ya mashaka.
 
Sheria za umiliki wa ardhi ndio zinakataza mgeni kumiliki ardhi akiwemo Mtanganyika. Hayo yalikuwa miongoni mwa makubaliano ya Muungano.
but that's exactly my point, that's what I put up there, I am barred by law to own land in Zanzibar, unawezaje kunambia "hakuna Mtanganyika anaekatazwa kuishi Zanzibar"??

Huu Muungano lazima tuuue. Leo Maalim Seif amemwaga radhi Pemba, kasema Wazanzibari wanadai bendera yao ipepee Umoja wa Mataifa, haka kabendera ka Zanzibar ka sasa hivi Maalim Seif amesema "mwisho wake Chumbe"!

DOWN WITH THE UNION!
 
but that's exactly my point, that's what I put up there, I am barred by law to own land in Zanzibar, unawezaje kunambia "hakuna Mtanganyika anaekatazwa kuishi Zanzibar"??

Huu Muungano lazima tuuue. Leo Maalim Seif amemwaga radhi Pemba, kasema Wazanzibari wanadai bendera yao ipepee Umoja wa Mataifa, haka kabendera ka sasa hivi Maalim Seif amesema "mwisho wake Chumbe"!

DOWN WITH THE UNION!

Haki ya kuishi na haki ya kumiliki ardhi ni tofauti...unaweza kumiliki nyumba lakini usimiliki ardhi...unaweza kuishi hata miaka mia bila ya kulazimika kumilki ardhi...

Tamaa aliifanya Nyerere , alijua baada ya miaka 20 au 30 atakuwa amemaliza kazi ya kuimeza Zanzibar, masikini kaondoka yeye Zanzibar bado ipo na itarudi hadhi yake iliyokuwa kabla ya Muungano...

Let tanganyika go and let mfumo kristo go!
 
Back
Top Bottom