Wazo lako ni zuri ila liangalie upande mwingine " ukiacha kulipa fadhila kwa wapambe waliokupigia debe wapambe watakuacha na siku ya kuwahitaji hawatapatikana " madhara yake ni kupata ushindi wa kishindo wa 50.1%/61% ; sasa kwa kuwa kishindo ni kishindo hata cha mende ni kishindo pia naamini watawala wangependa kishindo cha 80+% hivyo hizo hosp. za rufaa watazijenga kwa phases (mf. phase I : wanaweza kuitangaza hosp. moja ya wilaya kuwa hosp. ya rufaa ; phase II : fedha kiasi kwa ajili ya kuleta madaktari na vifaa kuifanya hosp. hiyo itoe huduma za rufaa etc.)