Zanzibar haihitaji UN kuvunja muungano: Mbinu ni hii hapa!

RMA

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
409
87
Umoja wa mataifa unatambua haki ya kila nchi kujitawala yenyewe. Na hivi iwapo Zanzibar itapeleka mapendekezo yake, ni wazi yatatiliwa maanani. Lakini kwa hoja za demokrasia na style za diplomacy walizonazo UN, jambo hilo laweza kurudishwa nchini kwa ajili ya mchakato wa kidemokrasia. Wasipoangalia suala la muungano laweza kupigwa danadana na ccm kama lilivyo suala la katiba.

Nionavyo mimi kazi ni ndogo tu hapo! Zanzibar saidieni kukiweka madarakani chama cha upinzani huko bara na mwanga mtauona asubuhi na mapema maana sote tunajua huo ni muungano wa ccm! Bila kuiondoa ccm Zanzibar kujitenga ni ndoto. Bila kujali itikadi za vyama wala dini, ungeni mkono upinzani huko bara! Hiyo ndiyo dawa!
 
Zanzibar ni mzigo kwa muungano huu wa kinafiki. Ntashukuru kama tutautua huu mzigo tumechoka
 
Wataweka serikali ya upinzani wakati ndio kwanza ndoa na CCM imenoga. Ndo kwanza Maalim anafurahia glasi ya wisky kadiri ya Nape. Upinzani wa CUF Zenj utabaki zilipendwa za miaka ya 1995-2005/2010. Pole yao.
Kuhusu kujitenga natamani waharakishe. Tunajua baadaye zitazaliwa nchi mbili huko Zenj. Pemba haitakubali kutawaliwa na Unguja. Watatamani kuwa na Nchi yao wenyewe, au watatamani wabaki ndani ya Tanganyika kuliko kuwa chini ya utawala wa Unguja.
Na Watanganyika tulioachwa kwa Wazenj kujitenga tutabaki salama. Na hapo ndipo unabii wa baba wa Taifa unatimia......
 
Umoja wa mataifa unatambua haki ya kila nchi kujitawala yenyewe. Na hivi iwapo Zanzibar itapeleka mapendekezo yake, ni wazi yatatiliwa maanani. Lakini kwa hoja za demokrasia na style za diplomacy walizonazo UN, jambo hilo laweza kurudishwa nchini kwa ajili ya mchakato wa kidemokrasia. Wasipoangalia suala la muungano laweza kupigwa danadana na ccm kama lilivyo suala la katiba.

Nionavyo mimi kazi ni ndogo tu hapo! Zanzibar saidieni kukiweka madarakani chama cha upinzani huko bara na mwanga mtauona asubuhi na mapema maana sote tunajua huo ni muungano wa ccm! Bila kuiondoa ccm Zanzibar kujitenga ni ndoto. Bila kujali itikadi za vyama wala dini, ungeni mkono upinzani huko bara! Hiyo ndiyo dawa!
kwanza ndio wanaipenda sana ccm ...wamemezesha na hapo hapo wanailaumu wizara ya elimu iliyowekwa na mabwana zao ccm na mfumo ccm wanauita mfumo krosto huku umewekwa na mabwana zao cm
 
Umoja wa mataifa unatambua haki ya kila nchi kujitawala yenyewe. Na hivi iwapo Zanzibar itapeleka mapendekezo yake, ni wazi yatatiliwa maanani. Lakini kwa hoja za demokrasia na style za diplomacy walizonazo UN, jambo hilo laweza kurudishwa nchini kwa ajili ya mchakato wa kidemokrasia. Wasipoangalia suala la muungano laweza kupigwa danadana na ccm kama lilivyo suala la katiba.

Nionavyo mimi kazi ni ndogo tu hapo! Zanzibar saidieni kukiweka madarakani chama cha upinzani huko bara na mwanga mtauona asubuhi na mapema maana sote tunajua huo ni muungano wa ccm! Bila kuiondoa ccm Zanzibar kujitenga ni ndoto. Bila kujali itikadi za vyama wala dini, ungeni mkono upinzani huko bara! Hiyo ndiyo dawa!

WaZnz wameshindwa kuiondoa CCM Znz miaka yote hii kwa tofauti ya 1% ya kura then Leo ati wake kusaidia Bara?!!
 
Zanzibar ni mzigo kwa muungano huu wa kinafiki. Ntashukuru kama tutautua huu mzigo tumechoka

Na jinsi hali ilivyo, wakishafanikiwa kuvunja kuungano, kitakachofuata ni kugawana visiwa!!!
Waarabu na waafrica
 
wataweka serikali ya upinzani wakati ndio kwanza ndoa na ccm imenoga. Ndo kwanza maalim anafurahia glasi ya wisky kadiri ya nape. Upinzani wa cuf zenj utabaki zilipendwa za miaka ya 1995-2005/2010. Pole yao.
Kuhusu kujitenga natamani waharakishe. Tunajua baadaye zitazaliwa nchi mbili huko zenj. Pemba haitakubali kutawaliwa na unguja. Watatamani kuwa na nchi yao wenyewe, au watatamani wabaki ndani ya tanganyika kuliko kuwa chini ya utawala wa unguja.
Na watanganyika tulioachwa kwa wazenj kujitenga tutabaki salama. Na hapo ndipo unabii wa baba wa taifa unatimia......
asante kiongozi
 
Umoja wa mataifa unatambua haki ya kila nchi kujitawala yenyewe. Na hivi iwapo Zanzibar itapeleka mapendekezo yake, ni wazi yatatiliwa maanani. Lakini kwa hoja za demokrasia na style za diplomacy walizonazo UN, jambo hilo laweza kurudishwa nchini kwa ajili ya mchakato wa kidemokrasia. Wasipoangalia suala la muungano laweza kupigwa danadana na ccm kama lilivyo suala la katiba.

Nionavyo mimi kazi ni ndogo tu hapo! Zanzibar saidieni kukiweka madarakani chama cha upinzani huko bara na mwanga mtauona asubuhi na mapema maana sote tunajua huo ni muungano wa ccm! Bila kuiondoa ccm Zanzibar kujitenga ni ndoto. Bila kujali itikadi za vyama wala dini, ungeni mkono upinzani huko bara! Hiyo ndiyo dawa!
hawa zanzibar kwanza nimeshawachoka,hawa sio watu wa kujadiliana nao ,wakijiunga chadema mimi nitatafuta chama kingine yaani mindset yao watakiuwa tu chama hawa ,yaani ni kichwa ngumu ,ni kama mwanamke anayetembea na kimini bila kuvaa chupi hata umfunde vipi utamkuta kajitanua tu.
 
Wapemba hawana lolote la kutuambia, kama kweli wapo siriaz watoe hii nchi kwa Pipoz pawa wapewe kakipande kao wasepe, kwanza wanatutia jasho tu, waende zao huko wakale urojo.
 
Kuvunja muungano kwa sasa kutakuwa na hasara kubwa kuliko faida...... tufikirie mara mbili mbili
 
Back
Top Bottom