Zanzibar become member of united nation - kumbukumbu

Sio kama ulaya kuliko ulaya,,,muungano ndio umeturejesha nyuma sana sana,,,ipo haja ya kuvunjwa....
 
Kama sio uvamizi wa Tanganyika wangekuwa kama ulaya

Sio kama ulaya kuliko ulaya,,,muungano ndio umeturejesha nyuma sana sana,,,ipo haja ya kuvunjwa....

nyie watu,rudini kwanza huko kwenu kisiwani ndio mlilie kuvunjwa muungano,hapo mlipo mmewezeshwa na bara japo kidogo bado mnapiga kelele.ni bora hata mliingia muungano,vinginevyo huko kwenu kungekuwa kama mogadishu hivi sasa.:hatari:
 
Kwanini babaangu? Nyie ndio mliozuia Zanzibar wasiuwane na huko kwenu mkiuwana? Ni kichekesho kidogo au vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom