Zantel yatoa punguzo la modem zake 50%

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158

Zantel wamepunguza bei za modem zao kwa
50% na sasa zinauzwa kwa TSH 25,000 badala ya TSH 49,900. Vile vile wameongeza baadhi yavifurushi vimeongezwa kwa 100% bilakuongeza bei.
 
Mkuu samahani 'MODEM' ni nini? Na kazi zake ni zipi?
 
Naomba kuuliza, inawezekana kuunlock hiyo modem ya zantel kwa sababu coverage ya zantel ni ndogo mno
 
Zantel wamepunguza bei za modem zao kwa
50% na sasa zinauzwa kwa TSH 25,000 badala ya TSH 49,900. Vile vile wameongeza baadhi yavifurushi vimeongezwa kwa 100% bilakuongeza bei.

is this tecnology news or its an advert?kuna subforum ya matangazo madogo madogo.
 
nafikiri cyo mbaya kuwekwa hapa coz wanajukwaa hili hatujambo kwa kuchakachua.
 
Aise sasa hawa jamaa wamebakiza kuzigawa bure 2 mitaani. Yaani hapo ukiichakachua ukweka Airtel with 400MB for 2500/= sijui unataka nn zaidi. I love it,ila wachakachuaji waichakachue kwanza.
 
et 500Mb 8000! Hahaha hlf wanaita spcl bundle! For sure kwa sasa huduma ya data nzur na ya uhakika ni airtel na ttcl tu!
 
Mkuu samahani 'MODEM' ni nini? Na kazi zake ni zipi?

Ungekuwa karibu ningekuzaba kibao halafu nikakwambia samahani. Wewe una access ya internet halafu haujui maana ya modem!!!!! Ama kweli kuna watanzania wavivu balaa! Huwa unatumia Google Kama umejibu ndy nakuzaba kibao kingine!
Im sorry.:bored:
 
Amoeba inaelekea unapiga sana......duh
 
Amoeba inaelekea unapiga sana(......)duh
Hivi shemeji umemfahamisha wakati unataka ku-comment hiyo kwa amoeba?! teh teh
Hapo kweny mabano hebu fafanua ni kitu gani, ewe malkia wa mugongomugongo!:panda:
 
et 500Mb 8000! Hahaha hlf wanaita spcl bundle! For sure kwa sasa huduma ya data nzur na ya uhakika ni airtel na ttcl tu!

Na 2GB kwa Tsh 10,000, sidhani kama kuna affordable bundle kama hii Tanzania
 
Back
Top Bottom