Zantel wapunguza gharama za internet

mdhalendo

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
282
273
Wadau tangu juzi Zantel wameongeza vifurushi vyao vya intanet as follows 2 GB sasa ni sh 15,000 kwa mwezi, 3 days UNLIMITED kwa SIKU 3 ni Tsh 5000, NA ile bundle ya Highlife imekuwa ni 5GB kwa 35,000 Tsh kwa Mwezi, pia kuna 1GB kwa Tsh 7000 kwa WIKI, Pia kuna bundle nyingine nyongi zinazowafanya wao kuwa the most affordable in the market as we know Airtel wameshoot bei zao.p
 
Goodnews, let me visit their home page for more information. Kama ndio hivyo, big up zantel, mdumu zaidi. Ila wajaribu kuboresha modem zao za CDMA kwa wale tulio mikoani, iwe na uwezo wa kuomba bundles kupitia the same default dashboard na isiwe mpaka uwe na laini nyingine tofauti.
 
Wadau tangu juzi Zantel wameongeza vifurushi vyao vya intanet as follows 2 GB sasa ni sh 15,000 kwa mwezi, 3 days UNLIMITED kwa SIKU 3 ni Tsh 5000, NA ile bundle ya Highlife imekuwa ni 5GB kwa 35,000 Tsh kwa Mwezi, pia kuna 1GB kwa Tsh 7000 kwa WIKI, Pia kuna bundle nyingine nyongi zinazowafanya wao kuwa the most affordable in the market as we know Airtel wameshoot bei zao.p
Hapo nilipo RED jumlisha na Tsh 15000 ambayo nilazima uwe umetumia kwa mwezi. jumla utapata Tsh 50000 for 5GB kwa month.
 
hiyo HighLife naona sasa ntaachana nayo.
Weekend itanifaa unlimited ya buku 5 hiyo.
Ladba ntahitaji modem nyingine. Kwa ajili ya normal connection, sijui ipi itanifaa.
 
Bado kwa hapa bongo internet services ni expensive sana hasa kwa wenye matumizi makubwa ya internet.
Airtel 400mb inafaa kwa ku surf na matumizi madogo madogo tu, lakini si kwa matumizi makubwa.
I think we still have a long way to go.
 
Wadau tangu juzi Zantel wameongeza vifurushi vyao vya intanet as follows 2 GB sasa ni sh 15,000 kwa mwezi, 3 days UNLIMITED kwa SIKU 3 ni Tsh 5000, NA ile bundle ya Highlife imekuwa ni 5GB kwa 35,000 Tsh kwa Mwezi, pia kuna 1GB kwa Tsh 7000 kwa WIKI, Pia kuna bundle nyingine nyongi zinazowafanya wao kuwa the most affordable in the market as we know Airtel wameshoot bei zao.p

Vipi hiyo UNLIMITED vigezo na masharti havijazingatiwa? Maana tunaona kwa Voda, Tigo na TTCL speed inakuwa limited.
 
Nipeni ujanja wa ku subscribe hizi bundle kwa kutumia Ipad 2, 3G.
 
zantel ni waongo sana. wanasema bundle ya wiki wakati wanakuuzia 300mb ambazo zinaisha baada ya siku2! bora tigo na voda ambako ukinunua week internet haikatiki mpaka muda uishe japo wanapunguza speed ya kudownload. ukiwapigia wanakwambia umetumia sana. huu ni wizi na wao wenyewe wanakubali kwamba ni makosa kumwambia mtu unamuuzia bundle ya wiki au mwezi halafu inakatika ndani ya muda mfupi. watu wengine hawaelewi kabisa na wanaishi kugombana nao
 
Tatizo hawa jamaa hawafiki wilaya zote..ukiennda mkoa modem zao hazifanyi kazi
 
tatizo la zantel ukimaliza bundle ndo nayo inakata lets say uranunua hiyo 2gb ukimaliza hauendelei kutumia bure kwa speed ndogo ila wana ku disconect kabisa tofauti na tigo na voda

For my opinion bundle za tigo ndo zipo kitaalam zaidi
 
Wadau tangu juzi Zantel wameongeza vifurushi vyao vya intanet as follows 2 GB sasa ni sh 15,000 kwa mwezi, 3 days UNLIMITED kwa SIKU 3 ni Tsh 5000, NA ile bundle ya Highlife imekuwa ni 5GB kwa 35,000 Tsh kwa Mwezi, pia kuna 1GB kwa Tsh 7000 kwa WIKI, Pia kuna bundle nyingine nyongi zinazowafanya wao kuwa the most affordable in the market as we know Airtel wameshoot bei zao.p
bado hawajanishawishi-waje kivingine tena
 
Ha ha ha haa Zantel !!! am coming back home (baada ya kuwapiga chini na kutupa modem yenu, ngoja nikaitafute na kuifuta futa vumbi).., Niliwakimbia baada ya kuforce kwamba lazima niongee kwa buku tano ili niweke highlife ya buku 10 kupata 2gb kwa wiki...

LAKINI

I hope hii unlimited kwa siku tatu haina ule ujinga wa kwamba lazima niongee masaa fulani, au vigezo vyovyote vile..,:(

Sasa nadhani taweka kando na BANJUKA yangu ya TTCL (ambayo wana minimum ya 500/= kwa saa usiku unlimited..)

Ukiangalia hii ni more value for money kuliko ile highlife ya zamani ya 2GB kwa wiki kwa buku kumi..., sababu sasa taweka buku tano (takula siku tatu) nikiweka tena buku tano (nakula siku tatu) buku 10 kwa siku sita unlimited.., So long as speed sio ya kinyonga au sio Unlimited ya Voda ya 700Mb
 
Back
Top Bottom