zantel wanakuja na modem 21Mbps kwa 60000

wanataka danganya wadanganyika. kuna haja gani ya kununua modem ya 21 Mbps wakati hata hiyo speed ya 7.2 Mbps tunaisikia tu. Pambaff
 
Hiyo ya 21Mbps ni utata!

just a piece of advice. musiwe na jazba wala papara nayo, kuhusu hii ya 21Mbps nimewahi kuona comment kuwa haichukui zaidi ya mwaka inakufa. wanailalamikia hivyo, kwani ina heat sana. bora ununue mbili za 7.2 Mbps kwa buku 30 30 kuliko kutoa 60. lakini kama unataka kwa fahari ya macho, sawa.....si dhanii kama utapata angalau 15Mbps.
 
MMHHHH Download manager yako inasema transfer rate ni 778kb/sec yaani hata 1mb/sec hujafika wakati dashboard yako ya airtel inaongopa na kusema 7mb/sec hizi dashboard mpya kama za tigo, airtel na voda zinadanganya transfer rate. mimi nimeshafuatilia sana wanadanganya. uzuri nina dashboard ya zain (ile ya zamani) hii huwa inanipa transfer rate sawa sawa na download manager inavyosoma.
 
just a piece of advice. musiwe na jazba wala papara nayo, kuhusu hii ya 21Mbps nimewahi kuona comment kuwa haichukui zaidi ya mwaka inakufa. wanailalamikia hivyo, kwani ina heat sana. bora ununue mbili za 7.2 Mbps kwa buku 30 30 kuliko kutoa 60. lakini kama unataka kwa fahari ya macho, sawa.....si dhanii kama utapata angalau 15Mbps.

mkuu hebu tufafanulie hizo ni za aina airtel hizo ni zaina gani au ni hizi hizi za kawaida au kuna maujanja za kufaya
 
Ni kweli kabisa,coz mi nimehusika kwenye installation ya hiyo 3G,na this time twajiandaa kufanya DRIVE TEST yake,wadau wakae mkao wa kula tu
 
Back
Top Bottom