Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Kampuni ya Zantel imepandisha huduma ya internet kutoka sh.50 kwa MB sasa imefika sh.120 kwa MB.
Sijajua wametumia vigezo vp kupandisha gharama kwa kiasi kikubwa nilivyo wapigia cmu wanadai serikali imeongeza gharama za uendeshaji...Hivi ni kweli hii?Mlio karibu na hawa watu tunaomba muwaulize sawa hatukatai ni bishara lakini kupandisha gharama kwa zaidi ya 100% mara nyingi kampuni ikisha pata wateja wengi ndo tabia yake kupandisha bei.
Wanadai wao ndo wenye bei chee hiyo ya 120 kwa MB kuliko kampuni nyingine mnao jua bei za makampuni mwengine naomba DATA.
Waangalie wanaweza wakawa wanawafukuza wateja tukahama kama tulivyo kimbia TTCL na tulivyo kimbia kwenye cmu za mkononi za ZANTEL huyu meneja wa masoko awe mbunifu kidogo.
Naomba mwenye uelewa wa kampuni inayo toza bei nafuu ya Internet anipe contact zake nihame ZANTEL kwani huu ni ufisadi wa hali ya juu itafika kipindi hata kuingia JF tutakuwa tunaingia kimachale kama gharama ndo hivi ni maumivu.
Napenda kuwakilisha.