Zantel vp tena?

Shaka2011

Member
Sep 20, 2011
7
2
Tangu juzi speed ya kudownload imepungua sana...yaani hata movie moja ya MB 700 haijamaliza...au ndo mgema akisifiwa tembo hulitia maji?
 
Hili tatizo limeanza tangu walipopunguza bei ya vifurushi. Kama wameona vipi bora warudishe bei ile ile ya zamani. Wameanza kutuingiza mkenge kama mitandao mingine. WIZI MTUPU!! Sasa tukimbilie wapi jamani?
 
Back
Top Bottom