ZANTEL: Tunaomba Maelezo katika Hili

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
ZANTEL: Tunaomba Maelezo katika Hili
Mimi ni mteja mzuri sana wa ZANTEL,hasa katika huduma za internet.....nina malalamiko mawili na hawa jamaa....kwanza: Ukiweka PLAN DAY ya siku moja (TShs 6000), kabla haujatumia MB 200 zikafika, inakata...

Pili, hivi RUVUMA mwakilishi wa hii KAMPUNI NI NANI? Sehemu iliyokuwapo ofisi yao karibu na CCM mkoa,kuna kontena limefungwa,tetesi ni kwamba muhusika alikula hela akatoroka,kuna mlinzi tu,eti ndio anasajili simu pia,ukifika unapewa karatasi ukatoe copy wewe mwenyewe,then ndo uandikishwe,ukiondoka hupewi hata udhibitisho kwamba umeandikishwa!!!

CUSTOMER CARE IKO WAPI HAPA JAMANIIII!!! Tafadhalini tunaomba watueleze haya mambo yanaenda vp,huduma zao za DATA tunazikubali,lakini haya mengine ni utata!!!!!​
 
Tshs 10,000 = 200 MB so Tshs 6,000 itakuwa 100-150 MB ni sawa inavyoisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom