WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 57
nilisoma thread ya INVSIBLE juu ya zantel kupunguza bei za net kuwa sasa wana packge ya tsh 10,000 kwa 2GB. Mwanzoni walikuwa na packge ya 200MB kwa shs 10,000 ambayo ndo nilikuwa najinafasi nayo ,lakini majzi nilijaribu kuipata na kufuata utaratibu wao wa kuzi acces ikagoma ila ilikuwa kabla sijasoma thread ya invisible .sasa napenda wadau wanijuze ina maana unaponunua vocha za elfu kumi na kuzitumbukiza unakuwa tayari umepata hizo 2GB AU unafuata process yao ya ku send sms 0775XXXXX PLAN STAR kwenda 0776300300.