Zantel Ghost Bonus

Zlatanmasoud

Member
Dec 19, 2010
71
15
Wadau ni muda sasa zantel wanatangaza watu waongeze salio kupitia Mimina huku wakipata bonus ya nusu ya salio waliloongeza. Cha ajabu bonus hii ina sifa zifuatazo.
1. Kama simu yako inayo salio huwezi kuitumia.
2. Huwezi ku access internet kwa bonus hiyo.
3. Ukibahatika kuitumia kwanza utaambiwa simu yako haina salio. Hivyo kama hujui utakata simu.
4. Inapotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa hoja za hapo juu, ndo maana nasema hii ni GHOST BONUS ya kulaghai tu Wadanganyika.
 
Back
Top Bottom