Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,189 Jul 28, 2011 #21 Watu wa tech 3G, GSM ni vitu gani?
T tizo1 JF-Expert Member Mar 9, 2011 856 145 Jul 29, 2011 #22 Jamani wadau sina setting za ZANTEL INTERNET KWENYE SIMU YANGU.Je nitazipataje wadau?
L ludoworld86 Member Apr 28, 2013 28 21 May 11, 2013 #23 tizo1 said: Jamani wadau sina setting za ZANTEL INTERNET KWENYE SIMU YANGU.Je nitazipataje wadau? Click to expand... nenda kwenye mobile networks, access point then jaza NAME: Zantel. APN: znet, save, kwisha kazi.
tizo1 said: Jamani wadau sina setting za ZANTEL INTERNET KWENYE SIMU YANGU.Je nitazipataje wadau? Click to expand... nenda kwenye mobile networks, access point then jaza NAME: Zantel. APN: znet, save, kwisha kazi.
Shaffin Simbamwene JF-Expert Member Nov 16, 2008 2,156 1,519 May 11, 2013 #24 ludoworld86 said: nenda kwenye mobile networks, access point then jaza NAME: Zantel. APN: znet, save, kwisha kazi. Click to expand... weye mkavu kweli yaani hiyo post ya miaka unakuja kuifufua leo duh!!
ludoworld86 said: nenda kwenye mobile networks, access point then jaza NAME: Zantel. APN: znet, save, kwisha kazi. Click to expand... weye mkavu kweli yaani hiyo post ya miaka unakuja kuifufua leo duh!!