zantel 3 days unlimited internet hadi raha.

Mkuu hawa jamaa miyeyusho.., kwa kutumia modem yangu ya zamani ya zantel EV-D) Huawei ec168c nimeshindwa kuongeza hii bundle.., baada ya kuwapigia simu wananiletea usanii wa kwamba hizi modem za zamani haziwezi kufanya kazi..

kwahio mkuu Eraldius naomba unieleze jinsi unavyonunua hii bundle sababu mimi *149*07# imekataa

kwahio naendelea kubanjuka na TTCL kwenye issue za unlimited na kwa mambo ya kawaida naendelea na airtel (2,500/=)
 
Last edited by a moderator:
tatizo la hawa jamaa hapa kwetu hadi ukae nje ndo utapata network
 
Anamaanisha kwa malipo ya Tsh. 5,000/= within 3 days unapata access ya net bila limitations interms of speed as well as amount of data. Nimeijaribu, ni kweli wanamaanisha unlimited.

umepataje bundle sababu mimi nimeshindwa kujaza na customer care wakanipa kisingizio eti modem yangu ya zamani :(

una modem mpya na namba za mwanzo ni zipi je modem yako sio EV-DO Huawei ec168c
 
Anamaanisha kwa malipo ya Tsh. 5,000/= within 3 days unapata access ya net bila limitations interms of speed as well as amount of data. Nimeijaribu, ni kweli wanamaanisha unlimited.
Kama ni kweli, they are so cheap. Ina maana kwa mwezi utalipa 50,000/= na utapata unlimited downloads. Nijuwavyo mimi hawa jamaa bundle ya juu kabisa ni sh. 140,000 (Platinum) ambayo unapata 25GB kwa miezi miwili (70,000/= kwa mwezi na unapata kama 12.5GB) au ya chini yake kidogo ni Gold ya sh 90,000/= ambayo unapata 14GB kwa siku 45 (inamaana 60,0000/= kwa mwezi na wanakupa kama GB 9.3+). sasa kwanini nilipe 140,000/= ili kupata 25GB wakati nikiwa nalipa kila baada ya siku tatu nakuwa na uhuru zaidi na nalipa gharama ndogo? lazima kuna mahali watakuwa wanawabana kinamna. wenye uzoefu nayo mtujuze vizuri ili nasi tuweze kupunguza machungu ya mfumuko wa bei.
 
Back
Top Bottom