Zambia Elections: Opposition (SATA) wins Presidential race!!!

mashirika makubwa ya utangazaji yanatangaza kuhus zambia
inatufundisha nini,kenya kukiwa na uachaguzi vilevile wanatangaza
lakini kwa nini tanzania tukiwa na uchaguzi huwezi kuona shirika lolote kubwa duniani likitangaza?
labda wanaangalia uwezo wa wananchi wa kuelewa na elimu
au labda wanatudharau????????????????????????????????????????
 



Kumbe ni vita ya madhehebu za kikristo na vita ya kikoloni.
Huyu bwana Sata alikuwa anaungwa mkono na wakatoliki lakini anapingana na wachina kwenye sera za kiuchumi.
Kama kawaida Marekani imepata mwanya kupigana na China kwa kumuunga mkono Sata.Kutwa nzima jana US ilikuwa na kazi ya kushauri raisi aliyepita akubali kushindwa
Ni aibu kwa Afrika.Msiba kama huo unaelekea Tanzania.



Tehehethe,,,mkuu umenichekesha somehow
lakini usisahau jamaa nakubalika sana kwa watu wa zambia
hiyo ya catholic na marekani ni nyongeza tu
ni kama hapa kwetu kikwete anapata support ya mataifa ya kiarabu
 
Hatimaye wapinzani wafanya kweli zambia,Michael Sata amemshinda rais wa sasa Rupia Banda na kuibuka mshindi wa Urais,Vijana ambao hawana ajira walijitokeza kwa wingi kupiga kura zao wakiwa na matarajio ya Rais Mteule atabadilisha hali ya uchumi wa Zambia ambao umedorora.Hili ni somo kwa sisi Watanzania tujifunze kutoka kwa wazambia na tusirudie makosa tena.
 

[h=1]Populist Candidate Wins Zambian Presidency[/h]By SARAH MASLIN NIRThe opposition leader in Zambia, Michael Sata, who is known as King Cobra for his aggressive tactics and silver-tonged rhetoric, was elected president, defeating the incumbent candidate whose party had been in power for two decades, The Associated Press reported.
Mr. Sata, 73, the leader of the Patriotic Front party, won 43 percent of the votes counted so far, or about 1.2 million votes, according to the chairwoman of the Electoral Commission, Ireen Mambilima, who spoke to reporters in Lusaka, the country’s capital. The incumbent, Rupiah Banda, 74, who has been president since Levy Mwanawasa died in office three years ago, garnered 36 percent of the vote. Eight other candidates were also defeated. Mr. Sata had run for president three times previously.
The election was held on Sept. 20, and delays in counting the vote and announcing the winner led to outbursts of violence in the northern Copperbelt mining regions, where least two people are confirmed to have been killed, according to the BBC. Some in Lusaka fled for fear of violence, the site Zambian Watchdog reports. As of publication, votes from several counties had still not yet been tabulated, but Mr. Sata’s lead is a sufficiently large chunk of the total votes to guarantee his win, officials said. The results of a concurrent parliamentary election have not yet been released.
A video on YouTube from the user hlihli said to be from the Mulungushi International Conference Centre in Lusaka, showed people celebrating Mr. Sata’s victory in the street with the chant, “Sata! Let’s go!
 
Habari ya TBC wao wanasema eti matokeo ya uchaguzi huo bado ni kitendawili.

Yale yale ya Membe na Libya.
 
Bw Satta amechaguliwa na Wazambia kuwa rais wa 5 wa zambia baada ya kumbwaga mpinzani wake wa karibu bw.Banda. Nafikiri wazambia wamemchagua bw. satta;
1. kwa misimamo yake katika kulinda rasilimali za wazambia km shaba ambayo inawanufaisha wachache na wawekezaji wa kichina.
2. kwa kuchoshwa na watawala(akina Banda na wenzake) ambao hawatoi mwelekeo na mstakabali wa maisha ya wazambia walio wengi. nk.

Watanzania tuna vitu vya kujifunza kutoka zambia.

1. Tunapopata nafasi za kuchagua viongozi tutafakari kwa makini ni yupi anayekerwa na UMASIKINI tuliyonayo katikati ya utajili aliotujalia MUNGU?

2. Ni yupi/(wapi) anayeweza kupaza sauti kutetea rasilimali zetu zinazoliwa na wachache kupitia mgongo wa wawekezaji?

Nawasilisha wadau.
 



Kumbe ni vita ya madhehebu za kikristo na vita ya kikoloni.
Huyu bwana Sata alikuwa anaungwa mkono na wakatoliki lakini anapingana na wachina kwenye sera za kiuchumi.
Kama kawaida Marekani imepata mwanya kupigana na China kwa kumuunga mkono Sata.Kutwa nzima jana US ilikuwa na kazi ya kushauri raisi aliyepita akubali kushindwa
Ni aibu kwa Afrika.Msiba kama huo unaelekea Tanzania.
Toa udini wako hapa.
 
Habari za sasa hivi zinaonesha mgombea wa chama cha Patriotic Front, Michael Sata maarufu "King Cobra" ameshinda chaguzi kwa kupata asilimia 43 ya kura zilizohesabiwa.

Source: BBC Website

= = = = = = = = = == =

Zambia election: Sata wins presidential race
Opposition leader Michael Sata has won Zambia's presidential election after two days of vote counting following a tight race with incumbent Rupiah Banda.
Mr Sata was declared winner by Chief Justice Ernest Sakala after polling 43% of the vote with just seven constituencies left to be counted.
The election had been marred by riots in Zambia's northern mining region.
The anger had been prompted by a ban on the media announcing results not verified by the electoral commission.
The electoral commission said it had taken the step after its website was hacked to falsely record a landslide for 74-year-old Mr Sata.
Mr Banda's Movement for Multiparty Democracy (MMD) has ruled Zambia for 20 years and this was the fourth time Patriotic Front (PF) leader Mr Sata had run for the presidency.
He lost the last election, in 2008, by just 35,000 votes which sparked rioting by some opposition supporters in the party's urban strongholds.
'King Cobra'
However, they were in jubilant mood after the victory announcement early on Friday morning. The BBC's Louise Redvers, in the capital Lusaka, said parties were expected to continue into the night.
Michael Sata - Profile
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.jpg

  • Started in politics as municipal councillor and served as governor of Lusaka under Zambia's first President, Kenneth Kaunda
  • Resigned from Kaunda's United National Independence Party in 1991 and joined Frederick Chiluba's newly-formed MMD
  • Served as MMD minister of local government, labour, and health. Was later minister without portfolio, the third-highest post in government
  • Formed Patriotic Front in 2001, losing an election that year and in 2006 and 2008
Mr Sata, who reportedly used to sweep floors at London's Victoria Station, has had a lengthy career in politics. He served as an MMD minister for local government, labour and social security, and health before quitting in 2001.
Known as "King Cobra" for his venomous tongue, foreign mining firms - often from China - have frequently been the target of his criticism about labour conditions.
While the party has disputed media reports it is anti-Chinese, it is likely to shake up the way contracts are awarded, our correspondent said.
There were suggestions Chinese firms were bankrolling Mr Banda's re-election bid in the run-up to the poll, with PF candidates expressing surprise at the amount of funds available to the MMD.
Meanwhile, international election observers criticised the MMD for abusing state resources during its campaign and noted serious media bias on the part of the state broadcaster.
However, the PF's promises of more jobs and better education appear to have won over the electorate.
 
Hii ni mwanga kwa uchaguzi wa igunga kwa CDM. na pia ni somo kwa wasimamizi wa uchaguzi.
 
Hongera yao CCM wajifunze toka MMD mambo ya kubali yaishe...yaliyopita si ndwele...et al.
Kukubali matokeo ni uungwana. Imagine kingetokea nini wangeiba kura.
Jina la Bwana libarikiwe!
 
..Mr Sata,74, polled 1,150,045 ahead of his age mate Banda's 961,796, becoming the country's fifth President since the nation's independence from Britain in 1964, according to results released by Electoral Commission of Zambia (ECZ) chairperson justice Irene Mambilima.
Duh...si mchezo! Ndio maana JK at 55 (umri wa kustaafu!) alikuwa anaitwa 'kijana'!
 
LUSAKA | Fri Sep 23, 2011 3:31am EDT
LUSAKA (Reuters) - Zambian opposition leader Michael Sata was declared the winner of the presidential election on Friday, defeating incumbent Rupiah Banda to head Africa's biggest copper producer after polls marred by violence.
Sata, 74 and nicknamed "King Cobra" because of his sharp tongue, toned down his rhetoric against foreign mining firms, especially from China, in the closing stages of the six-week campaign but his victory could still cloud the investment outlook.
Zambia's kwacha fell to a 12-month-low of 5,030 against the dollar after Sata's victory and traders said it would remain vulnerable until he has given clearer indications on his future policies.
Sata, the leader of the Patriotic Front (PF), told Reuters last week he would maintain strong commercial and diplomatic ties with China and would not introduce a minerals windfall tax, but implied he might impose some form of capital controls to keep dollars in the country.
Chief Justice Ernest Sakala declared Sata the winner after he received 1,150,045 votes compared with Banda's 961,796 with 95.3 percent of constituencies counted. Sata received 43 percent of the vote also contested by many minor parties.
Rupiah Banda, 74 and leader of the Movement for Multi-party Democracy (MMD) party that has run Zambia since one-party rule ended in 1991, was expected to make a statement about the vote.
Supporters of Sata, who will be sworn in as president later on Friday, celebrated the win.
"At long last the will of the people has been respected. The people wanted change," said street vendor Peter Musonda.
Sata secured support among the youth on the back of campaign promises of creating more jobs and his criticism that Banda's government failed to let ordinary Zambians share in the proceeds from the country's copper mines.
"We are now a relieved nation. God has finally answered our prayer," said Emmanuel Mwanza, a student at the Zambian Open University.
Election monitors from the European Union and regional grouping the Southern African Development Community said the polls were largely fair although there was some violence.
Youths fought running battles with riot police on Thursday in the towns of Ndola and Kitwe, 250 km (150 miles) north of Lusaka, setting fire to vehicles and markets in the normally peaceful mining heartland.
CHINA FACTOR
Chinese companies have become major players in Zambia's economy, with total investments by the end of 2010 topping $2 billion, according to data from the Chinese embassy.
But Sata accused Chinese mining firms in the earlier stages of the campaign of creating slave labor conditions with scant regard for safety or the local culture.
Sata had strong backing in urban areas and the economic center in the Copper Belt, while Banda, a farmer and former diplomat, relied on votes from rural areas.
Analysts said younger voters also helped propel Sata to victory with youth using the ballot box to bring about change in a continent that has seen the long-standing rulers of Egypt and Tunisia toppled by mass street protests.
In 2008 Sata lost to Banda by just 35,000 votes, or 2 percent of the electorate, in a presidential run-off triggered by the death in office of Levy Mwanawasa.
(Writing by Marius Bosch; Editing by Jon Herskovitz and Matthew Jones)
 



Kumbe ni vita ya madhehebu za kikristo na vita ya kikoloni.
Huyu bwana Sata alikuwa anaungwa mkono na wakatoliki lakini anapingana na wachina kwenye sera za kiuchumi.
Kama kawaida Marekani imepata mwanya kupigana na China kwa kumuunga mkono Sata.Kutwa nzima jana US ilikuwa na kazi ya kushauri raisi aliyepita akubali kushindwa
Ni aibu kwa Afrika.
Msiba kama huo unaelekea Tanzania.

ami, unapaswa kujua kuwa uislam zambia ni less that 2% of population. Chiruba alipoingia madarakani zambia yote ilikuwa na waislamu chini ya 20,000 na tambua kuwa Katiba ya Zambia inaeleza wazi kuwa Zambia ni nchi ya Kikristo. Usipenda kuwa driven na chuki za kidini. Tanzania ni nchi ya tofauti sana. ila watu wenye mrengo mchafu wa kidini kaka wewe ndiyo mnaoichafua na kuiharibu
 
Tume ya uchaguzi zambia imethibitisha kuwa Sata ndiye raisi mtarajiwa baada ya kuwa na 43% huku bwana bana akiwa na 36%. habari zinasema sata amepata kura 1,150,045 huku majimbo 16 yakiwa bado kura kuthibitishwa. Msemaji wa tume ta uchaguzi amesema majimbo 16 yana watu wachache ambayo hata banda akishinda kura zote hawezi kuzifikia zile za Sata.

Ikumbukwe kuwa sata ameshagombea mara tatu kiti hiki cha uraisi

Zambia Opposition
 
mashirika makubwa ya utangazaji yanatangaza kuhus zambia
inatufundisha nini,kenya kukiwa na uachaguzi vilevile wanatangaza
lakini kwa nini tanzania tukiwa na uchaguzi huwezi kuona shirika lolote kubwa duniani likitangaza?
labda wanaangalia uwezo wa wananchi wa kuelewa na elimu
au labda wanatudharau????????????????????????????????????????

Tehehethe,,,mkuu umenichekesha somehow
lakini usisahau jamaa nakubalika sana kwa watu wa zambia
hiyo ya catholic na marekani ni nyongeza tu
ni kama hapa kwetu kikwete anapata support ya mataifa ya kiarabu

Wewe ndio unachekesha zaidi.Yaani ni lazima mashirika makubwa ya habari yatangaze ndio ufurahi.
Mataifa gani ya Arabuni yanayomuunga mkono Kikwete?.Inayomuunga mkono ni Marekani anakokwenda kila baada ya wiki chache.
 
Wakuu kwa mujibu wa Bloomberg news na matangazo ya redio punde hapa nilipo, Jaji Mkuu kamtangaza jamaa kashinda uchaguzi. Someni.

[h=1]Zambia Opposition’s ‘King Cobra’ Wins Presidential Election[/h] By Anthony Mukwita and Brian Latham - Sep 23, 2011 10:49 AM GMT+0300 Fri Sep 23 07:49:18 GMT 2011
Zambia's Patriotic Front Leader Michael Sata

data
Thomas Nsama/AFP/Getty Images

Zambia’s opposition leader Michael Sata won the country’s presidential election, Chief Justice Ernest Sakala said.



Zambia’s opposition leader Michael Sata won the country’s presidential election, Chief Justice Ernest Sakala said. Photographer: Thomas Nsama/AFP/Getty Images




Michael Sata, Zambia’s opposition leader known to his supporters as “King Cobra,” won a presidential election, ending two decades of rule by the Movement for Multiparty Democracy in Africa’s top copper producer.
Sata, who leads the Patriotic Front party, had 43 percent of the total votes counted, said Ireen Mambilima, chairwoman of the Electoral Commission. The 73-year-old Sata, who narrowly lost three previous elections, beat incumbent President Rupiah Banda, who secured 36 percent of the vote.
While ballots from 16 constituencies remain unverified, Sata can’t lose the election as there aren’t enough voters left to give Banda a lead, Mambilima told reporters today in the capital, Lusaka. The election was held Sept. 20, alongside a parliamentary ballot, the results of which are still to be announced. Riots erupted yesterday in the northern Copperbelt region, a Sata stronghold, as vote counting was delayed.
Sata, known by his moniker because of his aggressive campaigning style, attracted followers among the southern African nation’s youth with a promise to create jobs and spread wealth by extracting more benefits from a rapidly expanding copper industry. Banda, 74, had vowed to continue policies that have lured investors and led to average economic growth of more than 6 percent a year since he succeeded Levy Mwanawasa three years ago, when the former president died in office.
 
Taarifa kutoka Zambia zinasema baada ya matokeo kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye mgombea wa chama cha upinzani ametangazwa kuwa mshindi wa kinyang'anyiro hicho na kukipeleka likizo chama kilichoiongoza Zambia kwa miaka 20. Je, watanzania tunajifunza nini kutokana na matokeo haya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom