propagandist
Member
- Aug 12, 2011
- 93
- 9
mpinzani michael satta ameshinda uchaguzi wa Rais wa zambia kwa 43%, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Habari ya Channel ten
Usiku wa manane kuamkia Ijumaa, tume ya uchaguzi Zambia imemtangaza rasmi Michael Sata mgombea wa upinzani toka PF kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu kwa kupata kura 1,150,000 huku mpinzani wake Rais Rupia Banda akipata kuta 960,000. Ni darasa zuri kwa siasa za Tanzania na somo kwa Tume yetu ya uchaguzi!
Amani wapi?
Sema watanzania tu tumekua wavumilivu kupitiliza,
Hakuna cha amani yoyote!!
Mchina anatafuta metals kwa maviwanda yao na mamitaji wanayo attract kutoka US na nchi nyinginezo. Sidhani kama kuwafukuza ni dawa bali kuingia nao mikataba yenye maslahi kwetu. Wachina wako desperate sana na chuma na metals, na naskia wana-import hadi scrapers metals kutoka nchi jirani.Nafikiri watakuwa na uhusiano mbaya sana na china,lakini bila china hamna maendeleo??tutajifunza mengi kutoka zambia
Director naamini kua umefarijika sababu unajaribu kufananisha Zambia na Tanzania upande wa Siasa hasa nafasi za Vyama pinzani.... What you should take note ni kua hicho Chama ambacho kimepinduliwa (MMD) na hicho Chama kipya katika uongozi cha (PF) ndio chama ambacho katika ufananishaji waweza fananisha na CDM (yaani MMD)....
For CCM ya Zambia a.k.a UNIP chini ya Raisi Mstaafu K. Kaunda kilishatolewa kwa kishindo 1991... In other words chama ambacho kilikua kimeshika na kusukwa mizizi kama vile CCM ni UNIP.... Hawa MMD ni wachanga na wao kuondelewa ilikua ni rahisi tokana na disappointments toka Kwa Chiliba (malimbikizi ya mali), Kifo cha Mwanawasa - na ukweli kwamba hakuna changes ambazo ni za maana zimekua evident toka Kaunda atoke madarakani..... Hivo basi hawa MMD wapo hapo kwa miaka 20 ikipitiwa na Maraisi watatu.....
Zambia ni one of the countries ambayo inatupa picha saana nafasi ya Chama kilicho jidhatiti (i.e CCM) nafasi ya vyama pinzani (i.e CDM) na nafasi ya mwananchi.... Hivo as much as Kweli PF wameshinda hio tu ni moja ya processes ya heading to the better but it does not mean better lifes for the majority YET!
kati ya mchina na mmarekani yupi bora..