Zambi ataka serikali ilazimishe wasomi wa KiTZ warudi

Yebo Yebo,

Haturudi ng'o hata mtufunge kamba. Tutaendelea kufaidi pesa zetu Ulaya kwi kwi kwi!!!

Wanatakiwa watumie power of percussion and not power of coercion.

Watuache tuendelee kubeba mabox yetu.


Uzuri wa ulaya siku hizi hata ukizeeka ukipelekwa nursing home unahudumiwa na wabongo wenzako...mambo poa kabisa.. kwa nini mtu usijisikie upo nyumbani..!!!
 
Kama Kweli Tunapinga Kwa Dhati Ufisadi Na Matumizi Ya Ovyo Wa Pesa Za Uma Zambi Anapoint Pale,kukaa Njee Bila Kuja Kuwajibika Home Ni Ufisadi Nao Huo

Mkuu naona hapa ungesema kukaa nje huku ukiwa umesomeshwa na serikali. Sie wengine huku tunaosha wazee na kulipa ada, serikali ikitaka turudi itubembeleze kwa lugha laini...!!
 
Mantiki ya maoni yangu haijapendekeza serikali iache kusomesha nilichobeza ni pale President anapowakuta wananchi wake huko nje wakitengeneza maisha yao halafu yeye ana come up na idea kwamba warudi waijenge nchi yao. Waijenge kivipi na wao wameajiriwa kule?

Mkuu,
Kwani wakiajiriwa kule hawawezi kuijenga nchi?????
Kama wameweza kuzijenga hizo nchi wanazofanyia kazi kwa maana ya walikoajiriwa, watashindwa nini kuijenga nchi yao ya kuzaliwa kama wakitaka?
 
Kama Kweli Tunapinga Kwa Dhati Ufisadi Na Matumizi Ya Ovyo Wa Pesa Za Uma Zambi Anapoint Pale,kukaa Njee Bila Kuja Kuwajibika Home Ni Ufisadi Nao Huo

Labda ufafanue kuwajibika kwako kuna maana gani? Una uhakika gani wanaokaa nje hawajibiki TZ?

Kuna tofauti gani kati ya anayefanya kazi kwa Kaburu hapo Dar na anayefanya kazi kwa Kaburu SA?

Nitaelewa kwa wale wanaofanya kazi serikalini, lakini kwa walioko private companies, huenda tofauti ni ndogo sana.

Na wanaosoma nyumbani na kwenda kufanya kazi nje itakuwaje?

Labda kilicho muhimu kwenye mjadala huu ni wanaosomeshwa na serikali kulipia baadhi ya gharama wakianza kazi mahali popote pale. lakini kwa jinsi tulivyo wazembe tutaweza kufuatilia hilo?

Kumwambia mtu ambaye ameamua kufanya kazi nje kwa mapenzi yake bila kumuibia mtu ni fisadi, nafikiri ni kupoteza maana ya neno lenyewe.
 
If this guy and his likes had their ways we would all be rotting in our own version of an archipelago of Gulags, and the rest of you all would need an internal pass to go even to Kibaha to see mjomba, forget about viwanja.

Such stooges succumb to stupid Stalinism and sell statism so surreptitiously.
 
Kama Kweli Tunapinga Kwa Dhati Ufisadi Na Matumizi Ya Ovyo Wa Pesa Za Uma Zambi Anapoint Pale,kukaa Njee Bila Kuja Kuwajibika Home Ni Ufisadi Nao Huo



Jamani zambi unasema kafanyaje ?Mimi sitamtafuta kumuuliza juu ya hili na wala sitaki kuwa wakili wake .Nia yake ilijaa fitina na majibu alipewa na CCM wenzake akiwemo Kombani .yaani anataka pesda zangu nilete CRDB na wao wanapeleka off show na hakuna hatua zozote pamoja na ushahidi mwingi ?
 
Ukisomeshwa na hela za walipa kodi baada yakugraduate ukaingia mitini ni UFISADI....Wenye hela zao wakitaka kuzidai mnasema mnalazimishwa ebo!!!!
 
Hata hivyo kila Mtanzania amesomeshwa na SERIKALI YA TANZANIA.hakuna kubaguana hapa.
Toka shule za msingi ,secondary kama hizo umezisoma pia ni serikali imekusomesha.

Hata kama umezaliwa MOSCOW na kusomea huko Baada ya baba yako kusomeshwa na serikali na kuingia mitini bado umesomeshwa na serikali.

Hata kama baba yako ni balozi ukapatikana na kusoma huko bado umesomeshwa na serikal.Hivyo likija swala la kurudi ni WOTE WATANZANIA LINATUBANA.

HOJA hapa ni kujadiliana je kurudi kunitija ama lah!!
 
Jamani zambi unasema kafanyaje ?Mimi sitamtafuta kumuuliza juu ya hili na wala sitaki kuwa wakili wake .Nia yake ilijaa fitina na majibu alipewa na CCM wenzake akiwemo Kombani .yaani anataka pesda zangu nilete CRDB na wao wanapeleka off show na hakuna hatua zozote pamoja na ushahidi mwingi ?


Offshore.......
 
Ni kweli Serikali inaweza rudisha nyumbani, iwe kwa hiari au lazima, wasomi wake isio jua wako wapi??

Kwa mfano Ubalozi wa Marekani ukiulizwa hapa Marekani kuna wasomi wangapi na wako wapi watabaki waking'aa macho, kwani kadri nijuavyo mimi hawaoni kwamba ni sehemu ya kazi yao kujua Watanzania wangapi wanaishi Marekani na wako wapi.

Juhudi za viongozi wetu kama MH Rais za kuongea nao au kuwatumia kupata ushauri au utaalamu wa kimazingira tu hakuna.
Mara nyingi misafara ya viongozi wa Tanzania huvamia miji ya chi za Dunia ya kwanza na kushiriki semina au mikutano huku kauri za kujikanyaga zikitolewa. Wenyeji siku zote tunashitukia kuona misafara hiyo ikiwa Covered kwenye Local TV kwa aibu kubwa.
Kuna mambo ambayo wakiuliza wenyeji hata kama si wasomi wa kubobea watawaambia wasiyaweke mbele.

Misafara mingi hupenda kutumia neno" As you know our country is poor" cammon!!

Sema we are from developing Country.
Poor country wakati watu wanauza Gold ya Mabilioni kila mwezi kutoka Tanzania?????

Miaka ile ya nyuma ilikuwa fahari kubwa sana kumtimua msomi kazi endapo akiomba kubakia na kuendelea na masomo zaidi.
Kwa mfano mtu akifanya Masters akajitafutia PhD program au Post PhD mwenyewe akiomba kubaki kuendelea na masomo au uzoefu fulani anakataliwa kinachofuata ni kulimwa barua na kufukuzwa kazi.
Kiongozi wa ujuha wa kufukuza wasomi ni UDSM,ushahidi upo.
Anayefuatia ni Idara za serikali na Mashirika ya umma.

Fahari ya kutimua wasomi kama mbwa imekwisha???

Wasomi wakirudi wanapangiwa kazi nje ya utaalamu wao walio somea kama namna ya kuwafanya waonekane hamnazo. Wakiomba maelekezo wanaambiwa wasilete zao na shule ya ulaya, kazi ni kazi. hapo mtu akitimaka na kurudi Ulaya akina Zambi wanasema akeletwe kwa nguvu. Sijui hilo fungu litatoka wapi wakati la kulipia wanafunzi India, Urusi China na Nchi za Ulaya mashariki mpka Tindo na nyundo zilie.

Hivi kama mbunge huna cha kuchangia au huelewi nini kinaendelea behind the scene kwa nini usile kokoto??
 
Daily News; Friday,August 15, 2008 @20:10

Habari nyingine
Kesi ya Prof. Mahalu yaahirishwa
Salma Kikwete azungumzia vikwazo vya elimu
Soko huria lawabana wakulima pamba
Milioni 278/- kutengeneza barabara za Mkinga
NSSF kujenga maghorofa 60 ya askari
Reli ya kaskazini yaanza kutumika
D.B Shapriya kutangazwa hafai
Watumishi 35 wa serikali wang'ang'ania nje
Watupwa jela miaka 30 kwa ujambazi
DC Tabora awashangaa wanaoibeza serikali

Watumishi 35 waliofadhiliwa mafunzo katika nchi mbalimbali duniani zikiwamo Uganda, Afrika Kusini, Uingereza na Marekani kati ya mwaka 1998 na 2008, hawakurejea nchini, Bunge limeelezwa.Watumishi hao na idadi yao katika mabano ni wauguzi waandamizi (17), wahadhiri fani ya uhandisi watatu, walimu wa lugha, wahadhiri fani ya ualimu, wataalamu wa teknolojia ya habari na ofisa tawala wote wawili kila fani.

Wengine ni Mtaalamu wa Jiolojia, Mchumi, Mtaalamu wa Takwimu, Mtaalamu wa Mazingira, Katibu Mahsusi na Mpishi Makazi ya Viongozi.Akijibu swali kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani alizitaja hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kuwaachisha kazi na juhudi za kuwafuatilia wengine zinaendelea ili kutambua kama wapo kwa kuwa taarifa rasmi ya wao kutorejea nchini hazijapatikana.

Katika swali lake, Mbunge wa Mfenesini, Mossy Suleiman Mussa (CCM), alitaka kauli ya serikali kuhusu hasara ya kuwasomesha watumishi wake nje kwa kuwa mara wamalizapo masomo hawarejei.Pia alitaka kujua ni hasara kiasi gani imepatikana tangu mwaka 1998 hadi 2008 kutokana na watumishi hao kutorudi nchini.

Akijibu hoja hizo, Kombani alikiri kuwa ni kweli nchi inapata hasara. Alisema wako watumishi waliopelekwa masomoni nje ya nchi kupitia wizara na taasisi mbalimbali za serikali ambao hawakurudi nchini kutoa huduma inayotokana na mafunzo hayo.
Aidha, alisema wabunge kuacha taaluma zao na kuingia kwenye siasa inawezekana ni kufuata maslahi mazuri ama kuwawakilisha wananchi.

Alikuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi (CCM). Katika swali lake la nyongeza, Zambi alihoji juu ya watumishi wa serikali wanaopelekwa masomoni nje ya nchi kutorejea baada ya kumaliza na kwa nini serikali isiziandikie barua nchi husika kutowaajiri.

Kombani alisema kuwabana sio vizuri labda wanatafuta maslahi kama baadhi ya wabunge walivyoacha taaluma zao na kuingia kwenye siasa."Kuwabana sio vizuri, huenda wanaangalia maslahi mazuri, hata baadhi ya wabunge wameacha taaluma zao na kuanza siasa labda ni maslahi au uwakilishi wa wananchi," alisema Kombani.
 
Huyu kombini na kombina kweli,yawezekana jibu lake lilimlenga moja kwa moja zambi.hii yenyewe moto kwa moto.
 
Bahati mbaya ni kuwa ukirudi hapa unaweza kuchanganyikiwa, mambo yanaenda ovyo huwezi kuamini. Naona serikali za Ulaya na Amerika zinawajali watu regardless ni rais au sio raia, lakini hapa nyumbani ni kinyume. Mzungu hata akiwa mhuni kutoka New York na hasa kutoka London anaheshimiwa sana kuliko profesa wa chuko Kikuu cha Dar es salaam achilia mbali na waliosoma Ulaya au Tanzania. I said it before and i say it again kwa sasa kama mko nje bora muendelee kuwepo huko, better for you, your families and for the country as well. Kwani huko mambo yakikuwia mazuri hata ukimtumia bibi na babu dola au paundi 500 pia ni mchango wako kwa taifa.
Kwa hiyo inabidi Zambi aanze kujiuliza kwanini hawarudi, akipata jibu ndio ndio aseme.
 
...........Alikuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi (CCM). Katika swali lake la nyongeza, Zambi alihoji juu ya watumishi wa serikali wanaopelekwa masomoni nje ya nchi kutorejea baada ya kumaliza na kwa nini serikali isiziandikie barua nchi husika kutowaajiri.

Kombani alisema kuwabana sio vizuri labda wanatafuta maslahi kama baadhi ya wabunge walivyoacha taaluma zao na kuingia kwenye siasa.“Kuwabana sio vizuri, huenda wanaangalia maslahi mazuri, hata baadhi ya wabunge wameacha taaluma zao na kuanza siasa labda ni maslahi au uwakilishi wa wananchi,” alisema Kombani.

Strong and Valid question with an extremely WEAK answer from Kombani!!

......Please Kombani you can do better than that......
 
Kama umesomeshwa na serikali inabidi urudi na kufanyakazi miaka michache kulipizia garama lakini kama umejisomesha peke yako basi uamuzi ni wako.
 
Wanaongea upupu mtupu.

Tunamjadiri msomi ambaye amesoma kwa gharama ya taifa na kushindwa kururdi kwa sababu za kiuchumi.

Mbona Mafisadi wanaiba Mabilioni ya Dola wote wanajulikana majina yao na wapo ndani ya serikali na akina Zambi hawaiambii serikali kuwalazimisha kulipa mpaka shilingi ya mwisho.

Sijui ni woga au ni kuonea Dagaa na kuwakwepa papa???
 
This is manufactured outrage! Hivi naomba niulize hawa wasomi waliokataa kurudi wameingizia taifa hasara kiasi gani ukilinganisha na ufisadi ambao tunaambiwa is tip of the iceberg? Hao watumishi wa umma waliozamia walikuwa wanaona ni jinsi gani mabosi wao wanavyowabana na wivu za kijinga, mabosi wanaiba wanawalazimisha surrogates wao kufanya vitu vya ajabu, kughusi documents etc. Sasa mtumishi akipata mwanya wa kutoka nje hataki kurudi to the same crammy office.
Mi nakubaliana na hoja, waacheni, this is the era of pursuit of individual happiness. Kila mtu anatafuta happiness in their own way. Kama wewe utakuwa happy kwa kuwa mzalendo na kutumikia umma, well and good, if not don't do it, maana utakuta mwuguzi au dokta kalazimishwa kurudi anakuwa frustrated anaanza business, ananyanyasika they become alcoholics! Ya nini? We can't generalize. Each person to his/her own path to happiness.
 
Leo mapema nikiwa ndani ya ukumbi wa Bunge , ndugu Zambi alisimama kuchangia na akataka kujua kwa nini Serikali isitumie nguvu kuwarudisha nyumbani ma expert wote watanzania wanaofanya kazi nje ya Nchi na kupata kipato kikubwa .Haya yalizuka baada ya Bunge kuelezwa kwamba watu wakisha soma Ulaya hubakia na kupata mishahara minono huko .
Kombani kasimama na kusema serikali inaweza kusema nasi kwa utaratibu wa kutuomba na si kuomba kwa nguvu tunyimwa ajira .Huyu Zambi nimeshangaa uwezo wake wa kuelewa mambo .Mwaka 2008 yeye anafikiria miaka ya 60 ? Wewe unasemaje ?

Talk about stupidity, this is why I will support a Kamati or tume to probe the brains of our Parliamentary and Government leaders!

It seems Tanzania is just full of rotten and moribund leaders that w=one would dare to issue such statement publicly!

Stupidity, Ignorance, ujuhua, ujinga, upumbavu etc. etc.!
 
If this guy and his likes had their ways we would all be rotting in our own version of an archipelago of Gulags, and the rest of you all would need an internal pass to go even to Kibaha to see mjomba, forget about viwanja.

Such stooges succumb to stupid Stalinism and sell statism so surreptitiously.

Pundit,

I have stated several times, Tanzania and tanzanian are lost in translation. Ujamaa which I adored the philosophy, tricked alot of Watanzania in believing that being poor is being patriotic and loyal to the Fathyerland.

Same to the irrational decaying minds and statements and actions that you see today year 2008 from our so called representative and leaders even from some of people here at JF.

Why didn't Zambi demand the Government to confsicate all properties of Lowassa and Chenge who are Mafisadi or alleged to be Mafisadi?

Talk about irrelevant, tunadhani kuwa uzalendo ni lazima usote mpaka kwapa linuke mkao wa kauzu na chibuku!

It is a new world and as long as Zambi and others are bitter about the hali halisi nchini, they should vacate the seats and allow us the wasomi the exiled Tanzania to come back and make our country better.

Reading what Masau, Mrema of Tanroads and so many others who have had to endure alot of cow manure just to get by, why should I come and toil for insecurity of my life and livelyhood while I can afford to carry Maboksi and get medical services without mikingamo?

Si kwamba hatutaki kujenga Taifa, ila ni wao ambao hawataki sisi Tujenge Taifa letu na sasa wanataka tulazimishwe kurudi nyumbani! Mimi nikirudi nitadharauliwa, toka Udasa mpaka Kariakoo, lakini kaja Barick kapewa ulia la sufi!

Damn, Damn Damn as Florida Evans would say, Tanzania imejaa majuha na vihiyo kwenye usukani!
 
Strong and Valid question with an extremely WEAK answer from Kombani!!

......Please Kombani you can do better than that......

Ogah,

Hivi waki-opt kupoteza ajira kuna sheria gani kuwashurtisha warudi?

Ikiwa tunashindwa kurudisha fedha za uhujumu na uzembe wa viongozi wa Serikali leo tunasema tuunde sheria na kulazimisha waliochoka ajira za Jamhuri warudishwe kitemi?
 
Back
Top Bottom