Zama za CCM na serikali yake kuwazunguka watanzania zimekwisha

yisega

New Member
Jul 26, 2011
3
0
Nafikiria kwa makin na kukumbuka jinsi serikali ya ccm ilivokuwa na fikira mbovu miaka ya nyuma
hasa ukizingatia kuwa iliwaona wananchi kama ni watu wasioelewa na waliokuwa hawana mtazamo mbele
tena ambao hawakuwa wanajua kitu.

hali ni tofauti. hivi katika ulimwengu wa sasa unamwambiaje mtu kuwa wabunge wanaongezewa posho kwa
sababu gharama za maisha zimepanda katika eneo fulani la nchi na ilihali ilo eneo kuna watanzania tena sio
wa kipindi kile? ama watu wanafikira mgando, ccm kwa kweli wanaenda katika kipindi kigumu hasa kama wanafikiri watanzania awajabadilika.

nawaonea huruma kwa kweli na bado watakiona.
 
tatizo lao kubwa ni kushindwa kusoma alama za nyakati. unawezaje kumwambia mwananchi wa kawaida kuwa huna pesa zakumlipa daktari lakini unazo pesa za kuwalipa wabunge ?? that is one million dolar question.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom