Elections 2010 Zama Mpya: Blogu Yamu-endorse Dkt Slaa

Tafsiri ya moja kwa moja sidhani kama utapata inayoridhisha na ndio maana nikasema ni muhimu sana kuangalia muktadha la sivyo vitu vitakuwa lost in translation...

Yea I agree with you mkuu na si siku zote neno la Kiingereza linaweza kuwa na direct translation ya Kiswahili and vice-versa yenye conservative maening of just one word. Think of Candidate, simply that can be translated conservatively as "Mgombea"
 
Wala sitafuti tafsiri ya moja kwa moja, swala la ku endorse in this context lenyewe ni geni kwetu kwa hiyo sitegemei kuwepo neno linalomatch exactly.

Ila kuna "the closest word" ambalo bado sijaliona hapa.
 
Hata hilo "the closest word" lako litakuwa debatable vilevile....kwa hiyo so much for knocking mine....
 
Wala sitafuti tafsiri ya moja kwa moja, swala la ku endorse in this context lenyewe ni geni kwetu kwa hiyo sitegemei kuwepo neno linalomatch exactly.

Ila kuna "the closest word" ambalo bado sijaliona hapa.

Sasa kwa nini unauliza tafsiri ya neno "endorse" kwa kiswahili ihali unafahamu suala hili ni geni kwa watanzania??? Probably that is why jamaa wameamua kuliacha hivyo hivyo kwa kiinglish. Na possibly this time litaeleweka na kukubalika. Kama ilivyokuwa kwa maneno kung'atuka, kingunge, tapeli, TV, ofkozi, pati,ac etc.
 
Huwezi kupata tafsiri ya 100% kwa maneno ya lugha mbili, hususan zilizotoka katika matawi mawili tofauti kabisa ya mti wa lugha kama vile Kiingereza (Indo European languages) na Kiswahili (Bantu/ Arabic )

Ndiyo maana nikasema mwanzo kabisa ni vigumu kupata tafsiri inayooana kabisa, kwa sababu hata hizi siasa za bottom up ndiyo kwanza tunaanza, siasa zetu original za top down.

Lakini hili halimaanishi kwamba hatuna maneno yanayoweza kuwa yanafaa kuliko mengine, na kutumia neno lenye ku match 80 wakati kuna neno linalo match 90% si accurate.
 
Lipi hilo linalo match 90% na kwa mujibu wa nani? wa Kiranga?
 
Du! mkuu sasa this is too deep, unaweza kutufafanulia with the so called established laws of linguistics neno "tapeli" na maana yake?

Inashangaza mtu anayekosoa matumizi ya mwenzake ya neno 'endorse' kutumia maneno ya Kiingereza ambayo yana tafsiri za Kiswahili zinazoeleweka!!
 
Vipi ungesema 'kwa mujibu wa kanuni za isimu'? Nadhani ingependeza zaidi....

That wouldn't be entirely approaching accurate, labda "kwa mujibu wa kanuni za lugha" "isimu" is unnecessarily pretentious, does not add value, could prove inaccessible and is not bound to language.

All disadvantages, no advantage.
 
Kumbe JF kuna wataalam wa lugha, hii safi sana maana hata nasisi tunapata kuokota okota nga kidogo.
 
That wouldn't be entirely approaching accurate, labda "kwa mujibu wa kanuni za lugha" "isimu" is unnecessarily pretentious, does not add value, could prove inaccessible and is not bound to language.

Du!!!!! mshikaji inaonyesha wewe ni mtu wa ligi kinoma, I am just wondering if it is a face to face converstaion!
 
That wouldn't be entirely approaching accurate, labda "kwa mujibu wa kanuni za lugha" "isimu" is unnecessarily pretentious, does not add value, could prove inaccessible and is not bound to language.

All disadvantages, no advantage.

Linguistics = isimu

From Merriam Webster: Linguistics - the study of human speech including the units, nature, structure, and modification of language

Therefore linguistics (isimu) has everything to do with language/ lugha. So keep on splitting hairs ma dude...
 
Du!!!!! mshikaji inaonyesha wewe ni mtu wa ligi kinoma, I am just wondering if it is a face to face converstaion!

Hahahaha jamaa ligi jadi yake lakini ngoja niende naye sambamba mpaka kieleweke. Hata ahamishe magoli kiasi gani nitakula naye sahani moja....
 
Inashangaza mtu anayekosoa matumizi ya mwenzake ya neno 'endorse' kutumia maneno ya Kiingereza ambayo yana tafsiri za Kiswahili zinazoeleweka!!

Uzuri ni kwamba mimi sijataka kujipa official airs za kuja na ki blog kinachotaka ku endorse wagombea urahisi (oops, urais)

Ukijiweka katika position ya kutuambia kwamba tuangalie blog yako unavyo m endorse mgombea urais, bar ya expectation inakuwa raised kutoka expectation za mtu mmoja anayekuja kuandika JF kama Kiranga.

Ndiyo maana mimi na wewe tuna room ya kuchemsha na kucheka, lakini Regia Mtema anayegombea ubunge na hawa ma bloggers wanaotaka ku endorse wagombea urais hawana hiyo room.
 
Back
Top Bottom