Elections 2010 Zakia alipongeza Uhuru kufanikisha ushindi wa CCM....................

Yanauzwa wapi aiseee sijawahi kuliona miaka mingi au huku kijijini haliuzwi,alafu ni bei gani hilo gazeti sisi huku tumezoea mwanahalisi ,na raia mwema,ukipata mda mama zakia unijibu
 
Tembelea wauza maandazi na vitumbua huwa wanayo kwa ajili ya kuwahudumia wateja wao.
 
Back
Top Bottom