Zainabu Kawawa

Murrah

Senior Member
May 28, 2011
189
42
Hana hoja anastate fact za darasa la kwanza anafurahia tanzania kuwa kwenye plan ya G8 hajui ni kama kufahi mtt wako akiwa icu. Kweli ccm imekwisha its impossible to develop if this is type of MP
 
Kuna wakati nashindwa kumlaumu Heche akiwashughulikia hawa vijana kama alivyotaka kumshughulikia Kasmil
 
Anapanua mapafu kupigia kelele kilimo lakini hajui ABC za kilimo! bila zana(machinery) mfumo wa umwagiliaji(irrigation systems) mbegu bora ( improved seeds) pembejeo ( mbolea, madawa) watalaamu na utafiti na huduma za ugani processing industries, masoko access to credit systems n.k kilimo kitabakia kuongelewa kama agenda ya kisiasa kila mwaka, hakuna mtu mwenye nia ya dhati ya kuimarisha kilimo! ukizungumzia kilimo zungumzia kwanza wizara imetengewa kiasi gani na mchanganuo upoje lakini kupanua mapafu tuu wala haina tija, huyu mama angekuwa ni mdau kweli wa kilimo kwenye bajeti kuu angepinga hadi kilimo kitengewe pesa ya kutosha! she is a mediocre!!
 
Halafu ni kawaida ya wabunge wa CCM kuwa na confidence kwenye hoja za kitoto sana. Yani nilikuwa naangalia bunge nikazima kwanza amalize. Sijui hawa jamaa wana matatizo gani kichwani.
 
Hana hoja anastate fact za darasa la kwanza anafurahia tanzania kuwa kwenye plan ya G8 hajui ni kama kufahi mtt wako akiwa icu. Kweli ccm imekwisha its impossible to develop if this is type of MP

Mkuu hapo unagusa interest za watu bana! hao vitu maalumu za Chama Cha Mapenzi vipo kwa kazi maalumu!
 
Sjui ni mimi peke yangu ninayepata shida na aina ya michango ya hawa watoto wa marehemu Mzee Kawawa. Wanaongea vitu vya hovyo sana. Week iliyopita kama mtu-Vita Kawawa alikuwa anasema hakuna shida na deni letu na kuna wakati akalinganisha na level ya madeni ya Marekani na Japan! Leo hii dada mtu anasema kitendo cha Tanzania kualikwa kwenye G8 ni heshma kubwa!

Ukiangalia nchi zinazounda G8 zote zina maslahi Tanzania. Kilichofanyika pale ni uchief-Mangungo na hawa watoto wangejishughulisha kusoma wangejua sio jambo la heshma kama ambavyo wanadai. Nchi kama Brazil, India, South Africa na China etc zimeunda umoja wao- BRICKS, wanaona kabisa G8 sio mahali pao. Kusema tushangilie kuitwa G8 ni sawa na kusema mama ntilie afurahie kuitwa kwenye kikao cha Bakheresa na Mengi! Ni dhahiri huyu mama ntilie atajikita zaidi kuomba na lazima a-trade off something. Sisi tume-trade off nini hawa big boys?
 
alivyokua anaongea kwa mapafu nikajua ataongea la maana!
 
Silly session, natamani kodi zetu zionewe huruma kidogo kwa kufupisha muda wa hili bunge la kipuuzi. CCM mnakera, kimawazo mmekufa yamabaki matusi, vijembe na ufisadi.

Unajua wabunge wengi wa ccm hawajui madhumuni wala wajibu wao kuwa bungeni, wanadhani wako pale kuisaidia serikali yao udhaifu kuficha madudu yao. Wanalinda heshima ya chama, wanaonesha mshikamano ktk kuifisadi nchi hii, wanaonesha wingi wao katika mambo yasiyo na tija kwa taifa....wao ni maadui wa Taifa hili.
 
Licha ya uana ccm yangu nalazimika kusema screening yetu wa wabunge especially viti maalum imezaa wapumbavu wengi sana bungeni, matokeo yake ni aina wabunge kama zainabu!!! Tatizo la hawa vijana wa waasisi wetu wanasahau sana kuwa wazazi ndio tunaowaheshimu na kwa mienendo yao walijipatia moral authority ambayo huwa hairithithishwi ....tatizo la huyu bint ni kutaka kujivika u rashid kawawa!!!! Nilimuangalia pale tcra siku alimpomdhalilisha prof. Nkoma na hata tib kwa bwana noni nikajiuliza huyu yeye ni nani ktk nchi hii?!!! Niliumia sana baada kutoona media wala wahusika kuitolea uvivu hulka ya bint huyu ila ni bwana zitto aliyekuja na lugha ya kistaarabu dhidi ya tcra.....jamani ccm tuchuje hawa watu kwakweli. Si kila mtoto wa mkapa ndie mkapa benjamin jamani
 
Tunakuta akina nchemba wakijibu hoja kwa kejeli na kuwaaacha akina mzee wasira wajizolee umaarufu kwa kuingia ktk hoja zote kwa hekima na siasa ya juu sana.....tuzalishe wabunge watakaoikosoa serikali na kuisaidia serikali na siyo mabwana/mabibi wakubwa kisa eti watoto wa waasisi ...hii hapana
 
hayo ni maono yako! ulipaswa kuyatoa kwa lengo la kujenga na si kulihusisha na chama, pili nakubali kuwa watu wenye fikra mgando kama wenye mawazo yako mpo wengi na wakati mwingine mnaweza hata kuligharimu taifa?
 
viongozi wetu wengi ni wasaniiiii na mbaya zaidi hawakwenda chuo cha bagamoyo
 
Ubunge walipewa kutokana na heshima ya wazazi wao nasi kwa uwezo walio nao.sasa tutegemee kitu cha maana hapo.
 
hayo ni maono yako! ulipaswa kuyatoa kwa lengo la kujenga na si kulihusisha na chama, pili nakubali kuwa watu wenye fikra mgando kama wenye mawazo yako mpo wengi na wakati mwingine mnaweza hata kuligharimu taifa?

Sijui unamjibu nani ila wacha nikupe yako makavu mapema kabla hujaenda kulala mkuu.
NI SISI CCM TULIOWAPITISHA HATA AKINA MAJI MAREFU KWENDA BUNGENI, NI SISI TULIWAPATIA AKINA ZAINAB NAFASI HIZO....UNAKUMBUKA AKINA MO DEWJI,ABOOD WALINYIMWA KUGOMBEA UBUNGE MARA NGAPI LICHA YA KUSHINDA MAONI? NI CCM ILISEMA HAPANA KWA HAWA JAMAA WHY NOT HAWA VITI MAALUM AMBAO HAWAKISAIDII CHAMA ZAIDI KULETA CONTRADICTIONS KILA KUKICHA DHIDI YA CCM? KUMBUKA PALE KUNA MECHANISM ZOTE ZA KU SCREEN WAGOMBEA KWANINI NYENZO HIZO HAZITUMIKI ? WE NEED TO CHANGE NA UACHE MENTALITY YA KINAFIKI WAKATI WAIJUA KUJIKOSOA NI FALSAFA YETU CCM ..DAIMA DUMU?
 
Naunga mkono hoja, mia kwa mia! Lakini naomba nitoe yangu machache.........sitaki kuamlizia dhihaka na kejeli za wabunge, hasa wa CCM, wanakula pesa yetu bure! Hakuna tija yoyote kwa utitiri wa wabunge wengi wa viti maal um. Wanakula pesa tu. Pumbaf sana, katiba mpya huu upuuzi inabidi uondoke. Kisa mtu ni mtoto wa fulani ndo anapewa nafasi katika kuteuliwa!
 
Hana hoja anastate fact za darasa la kwanza anafurahia tanzania kuwa kwenye plan ya G8 hajui ni kama kufahi mtt wako akiwa icu. Kweli ccm imekwisha its impossible to develop if this is type of MP

wakuu,

kumjadili mtu ambaye hata alivyopata nafasi hiyo ni magumashi, ni kupoteza muda. hilo ni tutusa yeye na kakaye wamebebwa sababu ya jina la marhum baba yao. mia
 
wandugu tuwe realistic tatizo sio viti maalum kwani kuna wengine wanachangia vizuri ingawa ni wachache sana ila huyu binti kawawa leo kafanya vichechekesho kalipotezea taifa muda kwa kuongea kitu kilekile akikirudia kwa kiswangilish mwishoni anajitapa kuwa alizaliwa akiwa politician ana uwezo wa kuongea kwa hiyo atampigia debe pinda sasa sijui kama pinda yeye kuongea hajui mpaka asaidiwe?
 
Sijui unamjibu nani ila wacha nikupe yako makavu mapema kabla hujaenda kulala mkuu.
NI SISI CCM TULIOWAPITISHA HATA AKINA MAJI MAREFU KWENDA BUNGENI, NI SISI TULIWAPATIA AKINA ZAINAB NAFASI HIZO....UNAKUMBUKA AKINA MO DEWJI,ABOOD WALINYIMWA KUGOMBEA UBUNGE MARA NGAPI LICHA YA KUSHINDA MAONI? NI CCM ILISEMA HAPANA KWA HAWA JAMAA WHY NOT HAWA VITI MAALUM AMBAO HAWAKISAIDII CHAMA ZAIDI KULETA CONTRADICTIONS KILA KUKICHA DHIDI YA CCM? KUMBUKA PALE KUNA MECHANISM ZOTE ZA KU SCREEN WAGOMBEA KWANINI NYENZO HIZO HAZITUMIKI ? WE NEED TO CHANGE NA UACHE MENTALITY YA KINAFIKI WAKATI WAIJUA KUJIKOSOA NI FALSAFA YETU CCM ..DAIMA DUMU?

Umemjibu vema!
 
Licha ya uana ccm yangu nalazimika kusema screening yetu wa wabunge especially viti maalum imezaa wapumbavu wengi sana bungeni, matokeo yake ni aina wabunge kama zainabu!!! Tatizo la hawa vijana wa waasisi wetu wanasahau sana kuwa wazazi ndio tunaowaheshimu na kwa mienendo yao walijipatia moral authority ambayo huwa hairithithishwi ....tatizo la huyu bint ni kutaka kujivika u rashid kawawa!!!! Nilimuangalia pale tcra siku alimpomdhalilisha prof. Nkoma na hata tib kwa bwana noni nikajiuliza huyu yeye ni nani ktk nchi hii?!!! Niliumia sana baada kutoona media wala wahusika kuitolea uvivu hulka ya bint huyu ila ni bwana zitto aliyekuja na lugha ya kistaarabu dhidi ya tcra.....jamani ccm tuchuje hawa watu kwakweli. Si kila mtoto wa mkapa ndie mkapa benjamin jamani

Aiseeeee!! kumbe huenda ndo maana mama yake wa kambo alimtupia simu imbamize kwenye ugomvi wa nyumba dodoma!!!!
 
Back
Top Bottom