Bonnie1974
JF-Expert Member
- Mar 19, 2008
- 407
- 16
Tanzania Investments Act 1997Imeondolewa na sheria gani mkuu, tufahamishane pls.
Tanzania Investments Act 1997Imeondolewa na sheria gani mkuu, tufahamishane pls.
Kwanini serikali isiamue kuichukua Zain na kuiunganisha na TTCL?
Kwanini serikali isiamue kuichukua Zain na kuiunganisha na TTCL?
nakubaliana na wewe kiongozi,wahindi wako mbali sana ktk mawasiliano.tungoje tuone nadhani wataleta mapinduzi mazuri!Hawajafulia wala nini....Ujio wa hawa jamaa wa Airtel waweza kuwa mapinduzi kwa huduma ya simu za mikononi Tanzania(hasa katika suala zima la gharama za simu za mikononi ambalo ni tatizo kubwa Bongo,jamaa wanatuibia sana)...Tusiwahukumu mapema,tusubiri tu na tuwaone
so the deal is not a done deal yet..
Kweli, kampuni hii inasemekana itauzwa kwa kiasi cha shilingi dola bilioni 11,na jina lake jipya itaitwa AIRTEL
hii kampuni siielewi sijui ni wasanii au ndo vipi?iliingia tanzania desemba 2001,ikiitwa celtel,wakitumia nembo ya dizaini flani hivi,then wakabadili nembo mwaka 2002 au 2003,kisha 2008 wakabadili jina na kuitwa zain,sasa wanauzwa wataitwa bharti sasa sijui ndo ukuaji au ?maana sababu ya kuuzwa wanadai wanapata hasara especially kenya na nigeria ndo wamepata hasara zaidi
bora iuzwe tu, manake watu wengi walikuwa wanaogopa kuitumia kwasababu inamilikiwa na waarabu, si unajua mambo yao ya kishirikia wanaweza wakakutep hata kwa kutumia simu tu. ZAIN ikiwa na maana ya ZAINABU kwa uelewa wa wengi, inatoa jina la kibaguzi na wengi walikuwa hawaitumii kwasababu hiyo. kitu kingine ni kutuletea mimeseji ya kuran wakati mwingine.