Zain(celtel) yapunguza wafanyakazi 141

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Over 140 Zain employees have been laid off following the company's
decision to outsource some of its services.

However the company insists it is not undergoing any financial
difficulties and the move is part of its restructuring programme.

The company says the restructuring process is meant to improve
efficiency and that it was aligning its business model in all its
operations with a view to improving delivery of services to its
customers.

Zain notes that the modular business model will enhance its delivery
of service.

Zain Africa Chief Executive Officer, Chris Gabriel, said all the legal
requirements had been followed in the laying off exercise that will
see the retrenched staff go home with a generous compensation
package.

He said the company would work within 90 days to try to absorb the
workers into other partner organizations.

Gabriel said that as part of restructuring, Zain will implement a
Modular Business Model (MBM) which will enable its operations to focus
on key customer faceting activities and delivering true market
differentiation.

Gabriel noted that the implementation of the MBM is part of Zain's
drive to become a top 10 global mobile operator by 2011.

Zain Kenya CEO, Rene Meza, said that retrenching of the staff was a
difficult decision but necessary adding that since this was a
sensitive matter they would engage counselling services for the
workers and also look into their medical insurance covers.

Meza said the MBM was a successful model implemented in Zain Saudi
Arabia where Zain launched its operations in 2008 and was successful
in attracting more than one million customers in the first month
following the launch .

He noted that Zain has invested more than 12 billion dollars in Africa
alone and will pump in further 1 to 2 billion this year adding that in
Kenya it had invested 38 billion shillings and contribution 18 billion
in taxes.

Source: - KBC Kenya Broadcasting Corporation:
 
Tusker Bariiiidi!kwani wewe upo Zain Tanzania nini?mbona inaonekana hiyo habari imekushtua sana.Shy mwenyewe hajasema kama ni Zain Tz au Kenya,Utakuja Breweries tutakuajiri.
 
Ni Zain Kenya, na Zain Tz inakuja soon kama bado taarifa rasmi hazijaifikia meza ya utawala wa Zain Tz. Ndo mambo ya ajira hayo, ukipata mshahara wako mnono ujiandae pia na risks kama hizi si kutumbua tu ukijiachia full bila kujiwekea akiba ya kutosha. Welcome to the flooded labor market.
 
Na si Zain tu, makampuni mengi kutoka nje yaliyowekeza yameathirika. Migodi kadhaa imeshafunga shughuli zake. leo nimeona kwenye gazeti moja AimGold nao wameomba kusitisha shughuli zao kutokana na matatizo ya kiuchumi. Juzijuiz hapa nilisoma cargil nao wamefunga shughuli zao. Kuna kampuni nyingine ilikuwa ianze uzalishaji wa bio-fuel, nayo ipo matatizoni. nadhani watanzania wanapaswa kuelezwa kinagaubaga madhara ya hii depression ili waweze kuchukua tahadhari kutoka ngazi ya mtu binafsi na familia kwa sababu huko tunakokwenda si kuzuri
 
Ahahhahahahaha...watu bwana..kwani nani alikuwa hajui haya yanayojiri zaini ndo mwendo wa dunia nzima???....hiyo mbona itaingia mpaka kwenye level ya familia.....zain tanzania mkae mkao wa kuliwa...voda, tigo na wengineo ambao ajira zenu zinauhusiano na multi-nation companies.
 
Wakuu naomba kuuliza,

Hizi Zain Tanzania ina ma-marketing manager wangapi?..mimi nawafahamu wanne au ni mabadiliko yanatokea na wengine kuhamishwa vitengo...au na hii ni mojawapo ya sababu ya hiyo programu kata vichwa?..
 
Taarifa nilizozipata punde Zain Tz wana outsouce Customer Care Services!! About 100 cute ladies and handsome men will loose their jobs!! Tayari official documents are in the Admin Department regarding the exercise!!! Du hali si hali.
 
tujulishwe wasije wakatucha kwenye mataa kama gtv.
zain tanzania nayo yatangaza kupunguza 100. Watakaokumbwa zaidi ni wale wa kitengo cha call centre ambacho wanatarajia kuoutsource..

Jamani wale dada zetu pale mayfair...............................lol

ama kweli gfc yatuumizaaaaaaaaaaa
 
Hao wadada hapo Zain Kijitonyama warembo mno!

Tuwaonee huruma wandelee na kazi!

Kama wakipunguzwa basi Mimi nitaappeal!!

Mko tayari kuniunga mkono??

kwi kwi kwi!!
 
Wakuu naomba kuuliza,

Hizi Zain Tanzania ina ma-marketing manager wangapi?..mimi nawafahamu wanne au ni mabadiliko yanatokea na wengine kuhamishwa vitengo...au na hii ni mojawapo ya sababu ya hiyo programu kata vichwa?..
Vyeo vyao vikoje?
 
Tujulishwe wasije wakatucha kwenye mataa kama GTV.
Siyo rahisi kuachwa kwenye mataa kama walivyofanya GTV na hasa kwa wateja wake.
Kwa upande wa ZAIN na nukuu,"Zain Africa Chief Executive Officer, Chris Gabriel, said all the legal
requirements had been followed in the laying off exercise that will
see the retrenched staff go home with a generous compensation
package.

He said the company would work within 90 days to try to absorb the
workers into other partner organizations."
Nafikiri umeelewa nini maana ya hiyo kauli hapo juu;unless ajira ya kibarua/vibarua.
 
Taarifa nilizozipata punde Zain Tz wana outsouce Customer Care Services!! About 100 cute ladies and handsome men will loose their jobs!! Tayari official documents are in the Admin Department regarding the exercise!!! Du hali si hali.

Forget about MBM for now, Outsource is not about cutting down the work force, it is about managing the work force to deliver and that is absolutely what Zain is all about. As far as I understand Zain may have already formed another entity - call it - ZainCC and this entity will be handling the "customer care/services" unit which will include all the call-centres across the Zain operations.

During the formation of ZainCC (of which Zain may be a share holder) there will be SLAs laid down, and also the KPIs for each customer care/service staff will be set and these will be used as basis for measuring the performance of ZainCC and ZainCC staff.

What will be happening now is that, these cute ladies and handsome boys will be given an option to be employed/seconded to ZainCC (and probably be paid less) OR be paid there terminal benefits and there they go!

Out of this setup - losing a job is likely if at all you have been staying idle in the previous job setup. Outsorcing or Insourcing does not keep workers because they are cute or handsome, it keeps only those who are SMART and that is it. Also there few chances in outsourced environment kuajili mtoto wa shangazi, mjomba, e.t.c au Miss Nkaka au anything of that sort!!!

In the outsourced environment you report to yourself and deliver the service globally.
 
Siyo rahisi kuachwa kwenye mataa kama walivyofanya GTV na hasa kwa wateja wake.
Kwa upande wa ZAIN na nukuu,"Zain Africa Chief Executive Officer, Chris Gabriel, said all the legal
requirements had been followed in the laying off exercise that will
see the retrenched staff go home with a generous compensation
package.

He said the company would work within 90 days to try to absorb the
workers into other partner organizations."

Nafikiri umeelewa nini maana ya hiyo kauli hapo juu;unless ajira ya kibarua/vibarua.

...And You WholeHeartidly Believe That....??
 
Over 140 Zain employees have been laid off following the company's
decision to outsource some of its services.

However the company insists it is not undergoing any financial
difficulties and the move is part of its restructuring programme.

The company says the restructuring process is meant to improve
efficiency and that it was aligning its business model in all its
operations with a view to improving delivery of services to its
customers.

Zain notes that the modular business model will enhance its delivery
of service.
.
.
.
.
.
Source: - KBC Kenya Broadcasting Corporation:

I do not like that part a single bit. Hii ni sanaa!
 
Mimi sio staff wa Zain lakini nawafahamu wengi... Ila natumai kutokana na sisi kukulia katika siasa ya ujamaa mabadiliko haya yataathiri wafanyakazi wazalendo kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom