Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
mnataka kusema kazi ya Mungu ina makosa? lililopangwa kutokea litatokea.
asante.
Mimi siamini katika mungu at all, mungu ni idea tunayoitumia kulundika kila kitu ambacho hatukielewi. Soma juu hapo.
Hata ukiongelea mungu as euphemism ya the inevitability ya failure in systems, kwamba man cannot create perfect systems, utakuta hata hatujajitahidi kutengeneza systems zilizo na standards, let alone perfect.
Kwa hiyo kusema "kazi ya mungu haina makosa" ni kauli za kujifariji tu.