Zaidi ya wabunge 100 wa CCM hawauziki - Msabaha

List iendelee mimi namjua Mzee Jackson Makweta (ninawahakikishia kama atagombea 2010 Upinzani utashinda hata bila kampeni).
najua wako wengi akina msindai majimbo yao yanatia aibu kwa umasikini na hii inamaanisha hawana mbinu na ni mzigo kwa ccm lakini eti mwenyewe kanenepeana anashindwa hadi kutembea kwa ulafi this is the end
 
Back
Top Bottom