Zaidi ya Dr Slaa, nani mwingine CDM mwenye uwezo wa kupinga 12m kwa mwezi?

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Alijizolea umaarufu sana. Binafsi hata mimi nilimuunga mkono Dr Slaa pale aalipoamua kupinga mishahara na posho nono za wabunge wetu. Kwa sasa wapiganaji wetu wa CDM hakuna hata mmoja ambaye anaonekana kukerwa na hili suala.
Nani mwenye uwezo wa japo kukemea tu though anaendelea kuchukua.
 
Back
Top Bottom