Zaidi ya Dk. Slaa, nani mwingine ndani ya CHADEMA anafaa urais 2015?

Joseph Selasini Phenomenon Politicion,

Mwishoni mwa miaka ya tisini nilikutana na na vijana kadhaa wa vyama vya siasa Tanzania waliokuwa ziarani marekani chini ya udhamini ya PUSH RAINBOW ya Rev Jesse Jackson. Nilikuwa Chicago katika mihanganiko yangu, tukawawa tumefikia hoteli moja na vijana wale. basi nikawakaribisha kinywaji jioni moja huku tukiongea siasa za Tanzania. Kulikuwa na kijana mmoja wa kike kutoka CCM, na wengine wote wa kiume aakiwamo mmoja wa NCCR-Mageuzi (alikuwa Selasini), wa CUF mmoja, UDP mmoja sikumbuki majina yao; nadhani CHADEMA haikuwa na mwakilishi. Yule binti wa kike wa kihaya nilikuwa namfahamu kwa vile wakati anasoma UDSM nilikuwa bado nipo pale, na nilihappen kumfahamu binafsi kutokana na mambo yake binafsi ya mitaani kule ARISA enzi hizo. Baada ya vijana kukata laga chache za Milwahukee, vijana wakaanza kumwaga sera zao; nilicheka sana jinsi Salasini alivyokuwa akiwafunika wenzake wote katika kuelezea sera za chama chake na mstakhabali wa Taifa wakati huo, mpaka jamaa wanaomba wasiendelee kuongea siasa tena. Yule kijanwa wa kike yeye alikuwa anashukuru CCM sana kwa vile ilimfanya afike Marekani!!.
 
kwa hiyo national interest zinakuuma wewe tu .... na siyo wana chadema......kama hukuzoea challenge ....hata chadema kupata mgombea wao wa urais wanautaratibu wa kumpata kwa kushindanisha .... it is free and fair anyone to discuss here na si ku jeopardize mijadala .... naendelea kuamini kwamba ubongo wako una mrengo hasi
Du Bw LAT amini km usemavyo kuwa muda wa kumpata Rais ni bado kila chama kina utaratibu wake hao wanaomtaka Bw Slaa muda bado sana ataibuka wa2 wasiotegemewa na 2twajadili humu JF HAWA WAZEE tutawasahau
 
Umefikiria? Maana isiye kichwa chako kitupu,but anyway CHADEMA kuna demokrasia kali. Atapatikana tu ingawa huyu Rais wetu wa sasa hajazeeka kama unavyodhani
 
Bado nina Imani kubwa kwamba Dr Slaa ni zaidi ya size yao CCM.
Mwaka 2015 bado atakuwa na nguvu nyingi tu za kupambana hadi kuwaondoa CCM na Mafisadi wao.


Namkubali Mnyika nadhani ni vyema akipata uzoefu mjengoni na akijiendeleza kielimu itamsaidia sana mbele ya safari.Sijui kama shujaa wangu Dr W Slaa ataweza mikimiki ya mwaka 2015 ni mapema sana kubashiri.
 
unataka nini hasa ? Dr Slaa kakwambia anahamia CUF? kama unahamu ya kupata majina basi chukua hili:SALMA KIKWETE kwani atataman aendelee kufisadi thru WAMA
 
nilicheka sana jinsi Salasini alivyokuwa akiwafunika wenzake wote katika kuelezea sera za chama chake na mstakhabali wa Taifa wakati huo, mpaka jamaa wanaomba wasiendelee kuongea siasa tena. Yule kijanwa wa kike yeye alikuwa anashukuru CCM sana kwa vile ilimfanya afike Marekani!!.

hao ndio wanaitwa viti maalum..vyeo vya kubebana bila kujali upeo wa mhusika!
 
Ndugu Bruce Lee acha hasira zisizokuwa na msingi, naomba uisome mada tena ndiyo uanze kujadili na pia utambue kuwa si lazima kila mtu afikiri kama unavyofikiri wewe. Kwa mtazamo wangu mwanzilishi wa mada ana nia njema sana ujue kama mchakato wa Slaa 2010 ungeanza mapema Slaa lazima angechukua nchi. Mwanzisha mada anatambua wazi kuwa Dr. Slaa ndiye anayefaa lakini ikitokea hayupo? ikitokea hataki kugombea tena kama alivyokua akihubiri katika kampeni zake za urais 2010? je mbowe akiendeleza nia yake ya kugombea urais tutafanyaje? Lazima tujiulize mapema na ndio mada imekuja tuijadili. Kuwa makini sana hasa unapowatukana watu usiowajua kuwa wanafiki, nchi hii ni ya kila mmoja.

Kwangu mimi Mnyika ni wa 2020/25, Zito 2020, Lisu anaweza kuwa mzuri kama tu akipunguza jazba ambayo anaipata kwa kuwa tu ni mwanaharakati na harakati haziendani na uongozi wa kisiasa. Naamini mpaka amalize muda wake wa ubunge 2015 atakuwa amesharekebishika. Kwa upande Mwingine tuombee Dr. Slaa asifanyiwe uhuni ninaouhisi kutoka kwa Mbowe ili agombee tena 2015 hata kama hatashinda lakini ataleta mabadiliko makubwa sana yaani kuongeza viti vya upinzani bungeni na kuitikisa CCM ijue kuwa watu tunataka mabadiliko siyo ya kidhana tu au ya kubadili chama bali kubadili hali halisi ya mtanzania.
 
Mimi binafsi naona sio vzr kujadili mambo ya 2015, nadhan tungejadili mambo yanayotuzunguka kwa sasa, ukizingatia ndo kwanza tumemaliza uchaguzi juzi tu, tuwapime hawa tuliowaamini na hatmae automatically mambo yatajiseti yenyewe na tutamtambua wa kutufaa baadae. Ndg zangu nchi yetu ina matatzo mengi na kwa kfp imeshapoteza mwelekeo, haya ndiyo mambo ya kujadili na si vingnevyo.
 
Namkubali Mnyika nadhani ni vyema akipata uzoefu mjengoni na akijiendeleza kielimu itamsaidia sana mbele ya safari.Sijui kama shujaa wangu Dr W Slaa ataweza mikimiki ya mwaka 2015 ni mapema sana kubashiri.

hata awe mzee vipi agombee bana...Mi kwa sasa ndo namuona rais wan hii njii..huyu baba yao akina miraji ananiyeyusha tu
 
CDM kuna vichwa kibao tu vinavyo weza kuongoza nchi hii lakini top ni Mr 2, Shibuda, Selasini na Lema au kama wanataka mwanamke yupo mwenyewe Regia sijui nani(dada makini sana anjibu hoja kwa umakinisana hapa JF tena wala hakurupuki na hutoa ushahidi kwa hoja zake..)


SHIBUDAAAAAAAAAAAAAAA???? WEWE UNA MATATIZO,NANI AMPE NCHI MFITINA,MZEMBE,MNAFKI,NA MAMLUKI WA ccm???HATA KWA RUNGU NA KWA KUBADILISHA KANUNI KWA NGUVU SHIBUDA HAWEZI HATA KUCHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA WA KIJIJI,KWA UJUMLA HATUFAIIIIIIII
 
CHADEMA kuna kichwa kimoja matata sana, mbunge wa Musoma mjini Mhe. Vicent Nyerere. Hata CCM wanamuogopa. Yule ndio future ya Tanzania, baada ya Dk Slaa ni yeye.
 
Dr. Slaa mwenyewe hafai... sasa sijui unauliza nini... for the time being... I can say Zitto is a potential president akifuatiwa na Mnyika. Rais hatakiwa kuwa mkurupukaji kama Dr. Slaa.... nadhani hata Vicent Nyerere.

But Dr. Slaa will never be a good president...

Naomba muwaulize wabunge waliongia bungeni kama wanaziona hizo milioni 12 kwenye pay slip zao au wakijumlisha mafao yote ya mwezi?
 
Dr. Slaa mwenyewe hafai... sasa sijui unauliza nini... for the time being... I can say Zitto is a potential president akifuatiwa na Mnyika. Rais hatakiwa kuwa mkurupukaji kama Dr. Slaa.... nadhani hata Vicent Nyerere.

But Dr. Slaa will never be a good president...

Naomba muwaulize wabunge waliongia bungeni kama wanaziona hizo milioni 12 kwenye pay slip zao au wakijumlisha mafao yote ya mwezi?

Milioni 90 ya Gari na milioni moja ya lunch !
 
ebu jama naomba tujadiliane ndani ya chadema nani mwingine anafaa kugombea urais maana mh slaa umri unamtupa mkono ili tumjue tuanze kumpima sasaivi
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
The right discussion at the very wrong time. Dr. Slaa is a strong uniting figure. If God wishes, Dr will still be the best choice for TZ presidency in 2015
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom